Siri Iliyofichwa Kwenye Ramani Yako ya Kuzaliwa
Katika ulimwengu huu wa ajabu, uliojaa mwanga, giza, na misukosuko, kuna ukweli mmoja mkubwa ambao watu wengi hawajawahi kuambiwa
Hakuna binadamu hata mmoja aliyezaliwa masikini.
Masikini si hali ya fedha mfukoni. Masikini ni hali ya kutokujua...