mashujaa

Heroes' Day or National Heroes' Day may refer to a number of commemorations of national heroes in different countries. It is often held on the birthday of a national hero or heroine, or the anniversary of their great deeds that made them heroes.

View More On Wikipedia.org
  1. Maneno ya Ally Kamwe baada ya matokeo ya mechi ya Simba vs Mashujaa asema "tuwaheshimu viongozi wetu"

    Meneja wa Habari na Mawasiliano Ally Kamwe kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ✍🏿 "Kwa mlioyaona Leo Wanayanga na bado Timu yetu inaongoza Ligi .. Ni Ishara kuwa Tunapaswa kuwaheshimu na Kuwaombea sana VIONGOZI WETU Sio rahisi hata kidogo, Ingekuwa ni watu dhaifu wangeshakata Tamaa...
  2. Mashujaa nendeni mkashtaki CAS huko ndo mtapata matokeo kama sisi

    Kama huridhiki na TFF, waamuzi, mashabiki, wananchi,serikali,jirani yako,nduguyo,mumeo,rafikiyo,mtotoyo,mzaziyo. Yanga tuna wanasheria wazuri waone watawaandikia barua CAS utapata haki yako. Mashujaa leo kama hatunaridhika na haya matokeo mi nadhani tuwaone wanasheria wa Yanga wabobezi...
  3. Mimi nikiwa Rais wa Tanzania huu ujinga wa mechi ya Simba vs Mashujaa kamwe hautakuwepo

    Kwa kinachoendelea kwenye ligi ya Tanzania ni aibu kubwa sana uongozi uko wapi serious Moja ya mambo ntakayofanya ni kuhakikisha huu ujinga mamlaka ya kupambana na kuzuia rushwa inachunguza mienendo ya rushwa ndani ya timu za mpira bila uoga yaani wanakuwa na meno tofauti na ilivyo sasa
  4. FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

    Litakufa Jitu Leo... #nguvumoja# VIKOSI VYA LEO 1. SIMBA 2. MASHUJAA FC Updates... Dk 04' Simba wanafanya shambulizi kali , inakuwa kona. Inapigwa haileti madhara. Valentino.. DK 05' Goooooooal Mashujaaa Wanaweka chuma cha Kwanza. Hapa 0-1 HT Simba 0-1 Mashujaa. 2nd Half Simba wamefanya...
  5. Wachezaji wa Mashujaa kulamba Milioni 100 wakimfunga Simba

    Wachezaji wa Kikosi cha Mashujaa FC wamewekewa kiasi cha shilingi millioni 100 kama wataifunga Simba SC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC ambao utachezwa Ijumaa Mei 2. Wachezaji hao wameahidiwa milioni 100 kwa ushindi na milioni 50 kwa sare dhidi ya Simba SC. Source: Nassib Mkomwa kupitia...
  6. Mashujaa wa Vita ya Kagera Wanaendelea Kulipwa Pensheni

    MASHUJAA VITA YA KAGERA WANAENDELEA KULIPWA PENSHENI Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax amesema mashujaa wote waliopigana Vita ya Kagera na waliostahili malipo ya viinua mgongo na pensheni walikwishalipwa na wengine wanaendelea kulipwa kwa mujibu wa Sheria ya...
  7. Leo ni siku ya mashujaa- Israel

    Leo Siku ya Jumanne jioni, Israeli itaadhimisha Siku ya Ukumbusho kwa askari waliokufa na wahasiriwa wa ugaidi, na ving'ora vya kitaifa saa 8:00 PM na Jumatano saa 11:00 asubuhi. Tangu 1948, wanajeshi 24,981 na raia 4,070 wamekufa, wakiwemo 716 katika vita vinavyoendelea sasa vya "Upanga wa...
  8. Meneja wa Yanga akiteta jambo na kiongozi wa Mashujaa

    Mipango inaenda vizuri
  9. Mashujaa inaenda kumfunga Yanga

    Tunajua Mashujaa ni moja ya timu zenye udhamini wa GSM na tunajua yale yanayofanyika nyuma ya pazia kwa timu zote zinazodhaminiwa na GSM pale zinapocheza na Yanga. Hili halina ubishi maana tumepata ushahidi usio na shaka. Hata hivyo, katika mechi hii inayokuja ya Mashujaa vs Yanga inayoenda...
  10. Orodha ya Wanawake kumi (10) mashujaa na viongozi bora kuwahi kutokea Tanzania

    10. Liti Kidanka. Mzaliwa wa Singida Tanganyika miaka ya 1860 na mwaka 1903 aliongoza majeshi ya jadi dhidi ya uvamizi wa Wajerumani hadi mwaka 1907 ambapo alikatwa kichwa na Wajerumani na mpaka leo hii fuvu la kichwa chake liko huko Ujerumani. Aliunganisha watu na alitumia nyuki kupambana na...
  11. Kwakua Sasa Damu ya JWTZ imemwaga, Tukirudi Nyuma, tutakua tumewakosea Mashujaa wetu waliofia Vitani , Kagame APIGWE ,DRC alindwe.

    Sifa kuu ya JWTZ Duniani ni kua hajawahi kushindwa , tulimshinda Idi Amini, Tulirejesha Amani Comoro, Tuliwafurusha M23 miaka Kadhaa nyuma , Tumeilinda Burudi dhidi ya mapinduzi ya Kagame, Kusini yetu Ina Amani, Dalili zozote za vikundi vya kigaidi zilizimwa mara Moja. Kagame apigwe, M23...
  12. Mwaifunga: Wajumbe tukimchagua Mbowe hata Kama hatujahongwa Wananchi Watasema tumehongwa tu tukimchagua Lissu Wananchi Watatuita sisi ni "Mashujaa"

    Anaandika Moses Mwaifunga === MUONEKANO WA WAJUMBE ENDAPO MBOWE ATATANGAZWA MSHINDI KWA WADAU NA WAPENDA MAGEUZI, Wakimuona tu mjumbe anacheka watamwangalia mdomoni je alilambiswa nini,wakiona tu mifuko imetuna watamwangalia kwa makini awemeka nini kwenye pochi,mjumbe akipita kwenye ATM ndo...
  13. Bomoabomoa iliyofanyika Stendi ya Jamatini na Uwanja wa Mashujaa Mwaka 2018 iliwaathiri Watu wengi kisha hakuna kilichofanyika

    Mwaka 2018, Shirika la Reli Tanzania (TRC) chini ya usimamizi wa Mkurugenzi wake, Masanja Kadogosa lilifanya bomoabomoa kubwa katika maeneo mbalimbali kando ya Reli ya Kati, likiwa na lengo la kuhifadhi na kulinda miundombinu ya reli. Zoezi hilo liliathiri maeneo muhimu ya biashara na makazi...
  14. Mashujaa wa Meli ya Titanic

    Wakati meli ya Titanic inazama ilikua imembeba Billionare John Jacob Astor IV, Pesa aliyokua nayo alikua ana uwezo wa kujenga Meli zaidi ya 30 kama hiyo ya Titanic, Titanic ilijengwa kwa mwaka 1912 kwa $7.5 million ambayo kwa sasa ni sawa na $ 400 million ambayo ni sawa na Tsh...
  15. Tathmini fupi mechi ya Yanga vs Mashujaa

    Coach Saed Ramovic Sasa tumeanza kumwelewa Wachezaji wa Yanga wameongeza fitness Prince Dube Hat trick ya kwanza kwenye NBC pl mwaka huu, nilimwambia ni suala la muda Sasa naamini tumemwona top scorer wa ligi, sio mpaka avizie kufunga penalties Job & Bacca Wamefanya vyema kama kawaida Yao...
  16. Mashujaa leo kipigo chao si chini ya bao 2 toka Yanga. Dube anatupia ameshafunguliwa

    Wachezaji hawa 1. Prince Dube 2. Aziz Ki 3. Chama Lazima wote au baadhi wa/atupie. Hilo lipo wazi limepitishwa. Na Dube alifanyiwa maombi majini yaliyotupwa kwake na wazee wa Zanzibar yameondolewa. Sasa yupo huru kweli kweli atakuwa anatupia tu. Aziz Ki naye amekaa sawa hakutakuwa na shida...
  17. FT: NBC Premier League | Yanga SC 3 - 2 Mashujaa FC | KMC Complex | 19.12.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SCπŸ†šMashujaa FC πŸ“† 19.12.2024 🏟 KMC Complex πŸ•– 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO.
  18. Mechi ya Ligi, Yanga na Mashujaa kuamriwa na Polisi kesho Disemba 19

    Kesho, Alhamisi Disemba 19, 2024, mashabiki wa soka watashuhudia Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga na Mashujaa, mechi ambayo itaamuriwa na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Sady Mrope. Mwamuzi huyu, ambaye pia ni miongoni mwa waamuzi waliothibitishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania...
  19. Namkumbuka Saddam Hussein na Muamar Ghadaf. Walikuwa Mashujaa kweli kweli

    Ghadaffi alikataa kukimbia nchi akapambana mpaka tone la mwisho. Alipambana akafa akipambana. Hakukimbilia kwa mabeberu, alipambana akashinda. Saddam Hussein naye alikataa kukimbia. Alipambana mpaka mwisho. Mpaka naye akapambana na kupambana akashinda. Assad, khaaaaah! Salaleeeeeh awezaje...
  20. Waziri Chana Awataka Watanzania Kuwaenzi Mashujaa

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewataka Watanzania kuwaenzi mashujaa kwa kuendeleza utu, amani na ubinadamu walioupigania ili kuifanya dunia kuwa mahali salama pa kuishi. Ametoa kauli hiyo leo alipokuwa mgeni rasmi katika Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…