mashariki

The Eastern Province (Swahili: Mashariki) of Kenya was one of 8 Provinces of Kenya. Its northern boundary ran along with that of Ethiopia; the North Eastern Province and Coast Province lay to the east and south; and the remainder of Kenya's provinces, including Central Province, ran along its western border. The provincial capital was Embu.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tukiweka ushabiki maandazi pembeni, pale Mashariki ya Kati zinaongea akili ukubwa tu!

    Ndio, tukiweka ujinga ujinga mwingi pembeni pale mashariki ya kati zinaongea akili kubwa tu. Hebu fikiria Iran inarusha kombora linavuka Iraq na Siria na kutua Israel tena mjini kabisa. Hata kama halijaua mtu lakini fikiria watu waliokaa mpaka wakaja na hiyo silaha! Wenzetu wanatumia akili...
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa majeshi wa Uganda, Gen. Muhoozi Kainerugaba, anapanda mbegu gani kisiasa na anatoa ujumbe gani kwa demokrasia ya Afrika Mashariki?

    C&P Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza rasmi kuwa hatagombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2026, isipokuwa ataelekeza nguvu zake jeshini huku akimuunga mkono baba yake, Rais Yoweri Museveni, ambaye anatarajiwa kugombea tena urais mwaka huo. Kupitia akaunti yake...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Tanzania ikitaka kuwa salama ijiepushe kushirikiana na nchi za Mashariki ya Kati

    Ukiondoa magaidi ya madawa ya kulevya yaliyopo nchi za Caribbean na America ya Kati ambao wanaendesha biashara ya madawa ya kulevya, nchi hatari zaidi dunia kushirikiana nazo na hasa kwa nchi za Kiafrika ni za Mashariki ya Kati. Vita vyote vinavyopiganwa Afrika hivi sasa vina mkono wa UAE...
  4. JamiiForums Tanzania Meli za kivita za Marekani na miji ya Israel kuendelea kushambuliwa Mashariki ya Kati ni ujumbe mzito wa mustakbali wa usalama wa dunia

    Huku eneo la Gaza likiwa limezingirwa na Israel na viongozi kadhaa wa Hizbullah na Hamas kuuliwa inatoa ishara ya ushindi kwa Israel. Hata hivyo kushambuliwa kwa meli za kivita za Marekani na kushambuliwa kwa miji mikubwa yote ya Israel hakutoi ishara nzuri kwa usalama wa mataifa hayo na...
  5. JamiiForums Tanzania Mauaji ya Israel kwa viongozi wa makundi yaliyopo mashariki ya kati yanafanana na mauaji kwa wakomunisti wakati ukomunisti unasambaa.

    Mauaji haya yanayo tekelezwa na Israel kwenda kwa viongozi wa makundi hasimu yanayo washambulia na kuharibu mipango yao yanafanana na mauaji yaliyokuwa yakifanywa na serikali mbalimbali dhidi ya viongozi wa vyama vya kisiasa vya kikomunisti vilivyo kuwa na vikundi(jeshi la mapambano) dhidi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Netanyahu aipiga mkwara mzito Iran na nchi zote za mashariki ya kati

    Anasema hakuna sehemu Iran na middle east yote ambapo mkono wa jeshi la Israel hauwezi kufika. My take Kuna haja ya Iran na wadau wake waweke tofauti zao na Israel pembeni. Maana Israel kwa sasa anaweza hata kuua nusu ya raia wa middle east na watu wote wakabaki wanamchekea. Hakuna mtu wa...
  7. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea sasa hivi Mashariki ya Kati ni Mapenzi ya Iran

    Nimepata kupitia speech ya rais mpya wa Iran, wakati nikiendelea kumfuatilia hapo awali alikuwa nani na alitokea wapi. Nilichogundua anajitahidi sana katika maelezo yake kujitofautisha na serikali ya awali ya Hayati Raisi aliekuwa mfuasi kindakindaki wa Hayatollah na mapinduzi. Anajaribu...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania huenda kuna hila kuigeuza Congo mashariki kwa ghasia ili wavune maliasili.

    Ukifikiria sana haya mauaji na utekaji watu usio na jibu na kisha chama kimoja cha siasa kuiandama serikali kama ndio inahusika unaweza kujiuliza maswahi mengi bila kupata majibu. Tunavyojua wale tunaojua nchi za magharibi wameazimia nchi za Afrika lazima wasiweze kuendelea kwa kutumia maliasili...
  9. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Milion 780 kuboresha huduma ya Maji Marangu Mashariki

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi ( MUWSA) imekusudia kutekeleza mradi wa majisafi wenye lengo la kuboresha hali ya upatikanaji wa huduma ya majisafi kwenye vijiji vya Samanga, Rauya pamoja na Ashira vilivyoko kwenye Kata ya Marangu Mashariki Wilaya ya Moshi Vijijini Kilimanjaro...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Marekani yapeleka. Vikosi vya wanajeshi wenye weledi maalumu huko Mashariki ya kati

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Marekani inatuma vikosi vya wanajeshi wake huko Mashariki huku Hali ya Usalama ikiwa tete Bado haijajulikana vikosi hivyo vya wanajeshi wake vinaenda kusaidia upande upi, kwa malengo gani na kwa Idadi ipi. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: US...
  11. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona beki mjinga kama Thiery Manzi,unaumizaje mwana Africa Mashariki kikatili

    Jamaa ni kama alitumwa na uto kuwavunja wachezaji wa Simba. Refa nae akawa fair sana yule alitakiwa red card kwa uchezaji wake wa kikatili. Alichosahau yuko Libya kikazi ila huku Tanzania watutsi wenzake wamejazana , dada zake tunawamwagisha maji kwa kale kamchezo ketu huku Ngara. Si ajabu ana...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa 'Dua Shtakia Mungu' itakayosomwa Afrika Mashariki huenda kuna Chama Kikakosa Mgombea Urais wake katika Uchaguzi Mkuu ujao

    Haya tuanze mapema kumtafuta wa Kumrithi.
  13. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Biteko, ufunguzi wa Jukwaa la 16 la Ununuzi wa Umma la Afrika Mashariki na Uzinduzi wa Mfumo wa NEST

    HOTUBA YA MHE. DKT. DOTO BITEKO, NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI, AKIMWAKILISHA MHE. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA UFUNGUZI WA JUKWAA LA 16 LA UNUNUZI WA UMMA LA AFRIKA MASHARIKI NA UZINDUZI WA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA UNUNUZI WA UMMA (NEST), TAREHE 9 SEPTEMBA 2024...
  14. JamiiForums Tanzania Wazo: Tanzania iwe shirikisho la nchi nne. Tanzania kusini, Tanzania Kaskazini, Tanzania Magharibi na Tanzania Mashariki

    Wazo liko hivi; Tanzania iwe shirikisho la nchi nne. Nchi zigawike kwa kuzingatia kanda kuu 4. Kanda ya Kaskazini, kanda ya kusini, Kanda ya Magharibi na Kanda ya mashariki. Tunaweza kuzipa majina mapya au tukaziita majina kulingana na location zake. Tanzania kama shirikisho itakuwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Natamani Siku kuwe na Mashindano ya Makomandoo wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ili tujue nani hasa yuko vizuri kwa Mtiti pale Kikinuka

    Kuna nchi moja nilikuwa Ninajidanganya nikidhania Wao ni bora kwa Kuwaona mara kwa mara kumbe ni Wachumba.
  16. JamiiForums Tanzania Boda ya Tunduma ipo busy kuliko boda zote Afrika Mashariki

    "70% ya mzigo unaoshuka bandari ya Dar-es-Salaam kwenda nchi za jirani unatoka Tanzania kupitia Boda ya Tunduma. Ile ndio boda ambayo iko bize kuliko boda zote Afrika Mashariki hivyo hii tayari ni fursa kwa mwekezaji" - @Davidkafulila0 Mkurugenzi wa kituo cha ubia kati ya sekta ya umma na sekta...
  17. JamiiForums Tanzania Chikulupi Kasaka Achukua Fomu ya Kugomea Ubunge, Bunge la Afrika Mashariki (EALA)

    Chikulupi Njelu Kasaka ambaye ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) tarehe 14.08.2024. Chikulupi Njelu Kasaka amechukua fomu katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi iliyopo jijini Dodoma akisindikizwa na makada mbalimbali wa...
  18. JamiiForums Tanzania Mpaka muda huu hizi ndizo nchi za Afrika Mashariki zilizochukua medal ya Gold kwenye Olympic 2024

    Olympics Gold Medal tally Tanzania: 0 Kenya: 4 Ethiopia: 1 Uganda: 1 Burundi: 0 Rwanda:0 DRC: 0 S. Sudan: 0
  19. JamiiForums Tanzania Kenya wanatuwakilisha vizuri sana Africa Mashariki kwenye Olympics.

    Mpaka sasa Kenya wameshavuna medali nne za dhahabu katika michezo ya Olympics ya Paris na hivyo kutuwakilisha vizuri Jumuiya ya Africa Mashariki, hata hivyo tuwakanye wasituringie sana majirani zao kwani sote ni wamoja, mafanikio yao ni mafanikio yetu pia.
  20. JamiiForums Tanzania VOA; Mshirika wa Putin afanya mazungumzo nchini Iran huku Mashariki ya Kati ikielekea ukingoni mwa vita vikubwa

    Wanaukumbi. MOSCOW - Mshirika mkuu wa Rais Vladmir Putin aliwasili mjini Tehran siku ya Jumatatu kwa mazungumzo na viongozi wa Iran akiwemo rais na maafisa wa ngazi za juu wa usalama huku Jamhuri ya Kiislamu ikitathmini majibu yake kwa mauaji ya kiongozi wa Hamas. Urusi imelaani mauaji ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…