mashariki ya kati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tuendelee kuuombea amani ulimwengu hasa wakristo na mashariki ya kati

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Dunia kwa sasa si mahala salama kwa kuishi wakristo hili kila mtu anajuwa , basi tuwaombee sana wakristo wote hasa wa Nigeria, Lebanon, iran, mali, bukinafaso, na kwingine kote wanakowindwa na magaid ya kiislamu Lakini pia tuwaombee watu...
  2. Vita kati ya Marekani na Iran kuna dalili yoyote ya kuepukika au muda wowote toka sasa kuna lipuka huko mashariki ya kati?

    Wakuu kwa yanayo endelea huko mashariki ya kati kuna dalili yoyote ya vita kati ya Marekani na Iran kushindwa kutokea au tuwe tayari kwa breaking news kubwa muda wowote kutoka sasa ? Updates na uchambuzi kuhusu mgogoro wa muda mrefu kati ya Marekani,Israel na Iran shusheni wakuu hapa tupate...
  3. Nchi za Mashariki ya kati huwenda zisisimame Milele wakimruhusu Marekani kutumia Anga zao

    Marekani siku zote inalinda Maslahi yake kwa nguvu Kubwa katika kujilinda huku ameigawanya Dunia katika angle za kijographia ili kuhisisha mawasiliano na kuendelea kumiliki uchumi wa Dunia na kuendelea kujitanua pitia ardhi za wengine Kupitia sera za kimataifa. Katika ugawaji huu wa Maeneo...
  4. Amani ya Mashariki ya Kati itaongezeka, siku huyu Kiongozi akinyakuliwa

    Amebaki huyu sasa Amani ya mashariki ya kati itaongezeka kwa hata asilimia 60% siku akinyakuliwa 👇👇
  5. Israel ni kidume huko Mashariki ya Kati hadi Uajemi!!!

    Nimekuwa nikiwaambia Wafuga Midevu na Majini kila wakati kuwa Majeshi ya Israel ni miamba isiyotikisika huko Mashariki ya Kati mpaka huko kwa wa aje I!! Pichani hapo ni Damascus Syria hebu waangalie askari wa Syria wanavyozimenya mbio kukimbia baada ya ndege-vita za Israel kute Bełda jiji hilo...
  6. Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

    Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu. Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate. Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia...
  7. Nashangaa Wale Wanaoshobokea Waarabu — Hivi Mnajua Kwao Hamuoi Wala Hamuolewi? Mnatambua Kwamba Kuoa na Kuolewa Nao ni Kuchafua Koo Zao na Damu Zao?

    Na: Mjumbe wa Nafsi za Watu Katika zama hizi za mchanganyiko wa mitazamo na hamaki za kimatamanio, watu wengi wanajikuta wanashindwa kutofautisha kati ya upendo wa kweli na tamaa ya kimfumo. Kinachonishangaza, tena kunipa mshituko wa kifikra, ni kizazi cha sasa – wasomi, wapendeza, wa...
  8. Kwa yanayoendelea Mashariki ya kati, bado unaamini kuwa Yaweh (Israel) na Allah (Muslim) wana nguvu???

    1) Yahweh name for the God of the Israelites, representing the biblical pronunciation of “YHWH,” https://www.britannica.com/topic/Yahweh Iran missiles cause multiple casualties after strikes in Israel https://www.bbc.com/news/live/c93ydeqyq71t Israeli hospital hit by Iranian missile strike...
  9. Kusafiri kwenda au kupita mashariki ya kati ni hatari.Tahadhari yatolewa

    Mashambulizi kwenye maeneo ya Israel yameshika kasi tangu jana wakati Marekani iliposhambulia vinu vya nyuklia vya Iran.Maafa ndani ya Israel yameongezeka sana na katika kila eneo la ardhi hiyo. Wafuatiliaji wa usalama wa usafiri wa anga wametoa tahadhari kwa wasafiri kuchukua tahadhari...
  10. Israel kagusa mzizi, muda si mrefu mashariki ya kati itapata amani ya Muda mrefu, uenda kizazi chetu kisione tena machafuko

    Iko wazi kuwa Iran ndie sponsor mkubwa wa vikundi vya kupambana na Israel huko Mashariki ya kati, Iran ndie supplier mkubwa wa silaha kwa Hamas, Hezbollah na Houthi. Katika safari ya vita ya Israel, alianza kupambana na matawi kwanza (makundi ya kigaidi) kabla ya kuhamia kwenye sponsor wao...
  11. W

    Msafara wa ndege za kivita za Marekani waelekea Mashariki ya kati baada ya Trump kutoa agizo la dharura raia wa Iran kuondoka Tehran, foleni imeshona

    Baada ya agizo la Dharura, Foleni ya kuondoka Tehran imekuwa ni kubwa sana, Trump kalazimika kukatisha mkutano unaoendelea nchini Canada wa G7 na kurudi haraka Marekani, Amewaagiza wajumbe wa Baraza la Usalama wa Taifa (NSC) wawe tayari kwenye chumba cha dharura (Situation Room)...
  12. U

    Mwanasayansi mwingine wa nyuklia auliwa katika mashambulizi ya anga ya Israel

    Wadau hamjamboni Mwanasayansi mwingine wa nyuklia aliuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel, afisa wa eneo hilo anasema Mwanasayansi mwingine wa nyuklia wa Iran, Ali Mansour Bakouei, ameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel, gavana mkuu wa jimbo la Mazandaran nchini Iran alitangaza...
  13. N

    Tuendelee kuwaombea wenzetu wa Mashariki ya kati

    Jamani tuendelee kuwaombea wenzetu mashariki ya kati watu wasio na hatia wanateseka. vita sio vizuri, watoto wanateseka sana, naandika hapa machoz yananitoka. wakati nikiwa secondary nilisoma kazi moja wapo ya UNO, iliyo anzishwa mwaka 1945 nilikariri neno moja tu "To promote peace in the...
  14. Uhasama kati ya Saudi Arabia na mataifa kama Iran, Syria, na sehemu ya Iraq unatokana na sababu za kidini bali pia za kisiasa, kijeshi na kimkakati

    Saudi Arabia ni taifa la Waislamu wa Sunni (kabila la Wahhabi) na Iran ni taifa la Waislamu wa Shia, na ndiyo ngome kuu ya Shia duniani. Syria, chini ya utawala wa Bashar al-Assad, inaongozwa na Alawite — tawi la Shia. Iraq, baada ya Saddam Hussein (Sunni), sasa ina serikali yenye ushawishi...
  15. Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

    Israel yatangaza kufanya mashambulizi nchini Iran Milipuko ya mabomu yasikika katika mji mkuu wa Iran wa Tehran Usiku wa kuamkia leo Juni 13 Israel imefanya mashambulizi ya anga kwa nchi ya Irani huku ikilenga maeneo muhimu na viongozi katika mji wa Tehran. Shirika la Habari la Tasnim la Iran...
  16. U

    Marekani yaagiza raia wake kukimbia Mashariki ya kati, Israel kuitandika Iran kabla ya Jumapili, maandalizi tayari

    Wadau hamjamboni nyote? Ni suala muda Trump baadaye alithibitisha kwamba baadhi ya wafanyakazi wa Marekani wanahamishwa kutoka Mashariki ya Kati "kwa sababu inaweza kuwa mahali hatari." "Tutaona kitakachotokea... Tumetoa notisi... Iran haiwezi kuwa na silaha ya nyuklia," aliwaambia waandishi...
  17. Ayatollah Khamenei aahidi kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia!

    Leo, katikati ya mazungumzo ya nyuklia, Khamenei aliitishia Marekani kihalisi na kuahidi kulifuta Taifa la Israel - huku akiwatetea magaidi wa Hamas huko Gaza Alisema "Utawala wa Kizayuni ambao ni Saratani hatari na ni saratani ya eneo la Mashariki ya kati lazima bila shaka Itaondolewa na...
  18. U

    Amani itapatikana Mashariki ya Kati kwa Wapalestina kukiri Israel ni Familia teule, takatifu yenye baraka zote za Mungu wao aliye wa kweli

    Wadau hamjamboni nyote? Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa ndugu zetu Wapalestina na waarabu kwa ujumla wao Njia pekee ya kumaliza vita Mashariki ya kati na kuishi kwa amani ni kutambua na kukubali kuwa Mayahudi ni taifa teule lenye baraka zote za Mungu Watambue kuwa kushindana na wsteule hao...
  19. Donald Trump atangaza kusitisha mapigano na Wahouthi baada ya Wahouthi ya "kujisalimisha"

    Wakuu, Donald Trump alisema kwamba Marekani itasitisha mashambulizi dhidi ya Wahouthi nchini Yemen kwa sababu kundi hilo "limejisalimisha", huku Oman ikithibitisha kuwa makubaliano ya "kusitisha mapigano" yamefikiwa na kundi hilo linaloungwa mkono na Iran ili likome kulenga meli katika Bahari...
  20. Israel inavuna ilichopanda mashariki ya kati na Afrika.Tatizo hawataweza kuandaa na kula karamu yake

    Kuna taarifa kuwa hakuna utawala wa nchi yoyote ile ya kiarabu na kiislamu ambayo haina kiongozi wa ngazi ya juu ambaye si wakala wa Israel.Baadhi ya nchi zina mpaka kiongozi mkuu ambaye ni mjumbe anayefanya kazi za kiyahudi. Utafiti huo umekuwa ukitajwa muda mrefu lakini haikujulikana ukweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…