mashaka

Doto Mashaka Biteko (born December 30, 1978) is a Tanzanian politician and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Bukombe in 2015.He was appointed as the Minister of Minerals on 9 January 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. Nina mashaka na malaria test kit, ni bora mafundi maabara watumie hadubini kama zamani

    Zaidi ya mara nne naenda kupima naambiawa hakuna malaria. Nikiangalia mwili wangu upo hoi na hauna nguvu, watu wa hospital Hai wanapima kwa kutumia Malaria test Kit. Mbona hawatumii darubini kama zamani? Maana matokeo yanazingua jamani, mtu unaumwa alafu unaambiwa hauumwi.
  2. 'Competence' ya Bunge letu inanitia mashaka kwa kweli

    Imekua kawaida kwa Bunge kupitisha miswada mbalimbali inayohusu maslahi ya walio wengi haswa wa kipato cha chini lakini miswaada hio imekua michungu mithilii ya siki katika Maisha ya wananchi wa Hali ya chini na umekua Kama utamaduni baada ya miswaada hio kupitishwa Raid anakuja kutengua...
  3. Nina mashaka kuna kikundi ndio kinaendesha nchi kwa sasa

    Hitaji la Katiba Mpya mwangwi wake unazidi kusikika kuliko wakati mwingine wowote. Kwa nje tu hivi ni kama kila kitu kinaenda sawa lakini kuna hali fulani ya taharuki ya kimya na sintofahamu kubwa ndani yake. Ni kama kuna mambo yanapangwa huko halafu yanaletwa upenuni bila hata kueleweshwa...
  4. Uhusiano uliopo kati ya kesi ya Ugaidi dhidi ya Mbowe na tukio la jambazi

    Naomba niwape pole wakazi wa Dar Es Salaam, Polisi na ndugu wa Polisi waliofariki katika tukio la leo. Tukio hili la anayeshukiwa kuwa jambazi kufyatua risasi hovyo, limeshtua watu wengi. Niwape hongera Polisi kwa kazi hiyo. Naomba kwanza niseme kuwa huyu mtu sio mgeni machoni pa vyombo vya...
  5. N

    Nikiangalia rekodi za Askofu Gwajima napata mashaka kuamini hichi anachokizungumza leo

    kusema ukweli Askofu Gwajima amekua na tabia ya kuzikana kauli zake anazozungumza, hii inanipa shida sana kuamini kama hiki anachokisimamia leo hatakikana, hebu tufuatilie kidogo hizi clips fupi fupi sana hapa askofu alizungumza wazi wazi mbele ya waumini wake na kutuhumu dini za watu lakini...
  6. K

    Gerson Msigwa, mashaka yangu ni kuwa dola laki moja ni sawa na Shilingi trilion 2.3

    Akizungumza na wanahabari amesema serikali imesaini na kutoa lesi mbili, moja huko Songwe na nyingine Mwanza. Hizi ni leseni za uchimbaji wa madini. Najiuliza kwanini migodi hii miwili iliyokatika maeneo tofauti gharama au thamani zake zifanane ambazo anadai ni trilioni 2.3 au dola laki moja...
  7. Nimeanza kupata mashaka na vitu ambavyo vimefungashwa tayari kwenye utimilifu aidha kilo au lita

    Wadau naanza kuwaza ukienda kununua vitu vilivyokuwa tayari ndani vifungashio tupimiwe tena nimenunua sukari kg 25 yaani nyepesi ata mjukuu wangu anaibeba mafuta lita 20 aisee unainua na kidole gesi hizi za kuletewa nyumbani na pikipiki nazo wiki imeisha yaaani tambi pakti moja njiti mia...
  8. Uzinduzi wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo ya Taifa: Kutoka Hofu na Mashaka Hadi Furaha na Matumaini

    Waziri Mkuu wa Tanzania akionyesha nakala za Mpango wa tatu wa Maendeleo wa Taifa wa 2021/22 hadi 2025/26 leo wakati wa uzinduzi wake Mjini Dodoma Nimefurahi kuona luninga ya TBC1 leo asubuhi ikizindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa kwa ajili ya kipindi cha 2021/22 hadi 2025/26. Wakati...
  9. Maneno ya viongozi wa CHADEMA kukutana na Rais yanatia doa dhamira yao

    SHINIKIZO LA CHADEMA KUKUTANA NA RAIS LINATIA MASHAKA. Na Elius Ndabila 0768239284 Baada ya Mhe Rais kula kiapo Cha kuliongoza Taifa hili, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mwenyekiti wake Mzee Freeman Mbowe waliutangazia umma kuwa wamemwandika barua Rais ya kutaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…