mashahidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Takukuru kuwafungulia Mashtaka ya Rushwa Mashahidi na Vyama Vya Mchongo

    Hivi karibuni Takukuru wamekuwa wakitoa onyo au maonyo Kwa wagombea wasitoe Rushwa , pamoja na ahadi zinazoelekea kuwa ni Rushwa. Hivyo kuharibu uchaguzi na kupitia nchi hasara kubwa, na kuwanyima wananchi nafasi ya kufanya uchaguzi wa haki, na demokrasia. Lakini kuna matokeo yanayoonyesha Kwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wanasheria, mashahidi kutoka Kenya na Uganda, watakuwa na wajibu gani kisheria katika kumsaidia Lissu?

    Habari! Wanasheria, tunaomba mtusaidie walau tuweze kujua ni nini utaluwa msaada wa hawa mashahidi kutoka Kenya na Uganda katika hii kesi ya uhaini inayomkabili Lissu. Kwa maneno mengine, wata- play role gani kwenye hii kesi wakiwa kama mashahidi wa mtuhumiwa? Binafsi, nawaza labda...
  3. JamiiForums Tanzania Kwenye Kila chama cha siasa ccm Wana watu wao na Kila kamati kuu ya chama chochote cha siasa ccm Wana watu wao hao mashahidi wa Siri ni makada wenu !

    Ccm ni kama yule malaika mkuu aitwae Lucifer Ambae alilewa sifa akatamani kuwa mungu !! Akatupwa na Sasa tunae mpaka ndani ya nyumba takatifu za ibada !! Ccm ni wakongwe wa hizi mambo ndani ya vyama vya upinzani vyote wanapeleka watu wao na wengine ni usalama wa taifa wanakuja kama raia...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Jinsi mashahidi watavyotoa ushahidi wao kesi ya Lissu

    Hebu tucheke kwanza! Hii kesi gani kama si aibu tupu? Mnataka kumshtaki Lissu kwa nia tena ya watu wengine eti walihamasika wakati hakuna kitendo chochote? Kuweni na aibu kidogo @judiciarytz hebu DISMISS this case urgently! Hakimu Kiswaga ulitaka livestream izimwe kwa sababu ulijua madudu haya...
  5. JamiiForums Tanzania Alute Lissu (kaka yake Lissu) afafanua kwa urefu mashahidi watakaoitwa kuthibitisha uhaini wa mdogo wake

    https://youtu.be/YBiutTrtOI8?si=LgCCf10nAs7I_Yse Mashahidi hao watatu ni: =============================================== "DEATH ROW DIARIES” Ni title ya maelezo ya SC Tundu Antiphas Mughwai Lissu ambayo atayatoa katika committal proceedings Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam – Kisutu...
  6. JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu: Jamhuri yakosa mashahidi!

    Baada ya Tundu Lissu kukiri kutamka maneno ya uasi na kukinukisha Jamuhuri imekosa mashahidi. Mawakili wa Serikali walidhani kuwa Lissu angekanusha matamshi yake kwa hiyo wakaandaa mashahidi, video na clips lukuki ambazo zingeonyesha hotuba alizozitoa kwa watia nia wa Chadema, mikutano ya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Incitement to violence: Mashahidi wengi wamesema hiki ambacho siyo uchochezi

    Incitement to imminent lawless action refers to speech that is intended to and likely to cause immediate violence or illegal activity. A key example is a speaker at a rally urging the crowd to physically attack a specific individual or group right then and there, and the crowd is likely to...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uislam na mashahidi wa siri

    1. Mashahidi wa kujificha ni nini? Hii inamaanisha watu wanaotoa ushahidi kwa siri bila kujulikana wazi au bila kuwepo hadharani mbele ya kadhi (hakimu) au pande zinazohusika. 2. Msimamo wa Uislamu kuhusu ushahidi Katika Uislamu, ushahidi (shahada) ni jambo lenye masharti na adabu madhubuti...
  9. JamiiForums Tanzania Idadi ya mashahidi ni 30 vielelezo ni 9

    Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi. N.B Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi na vielelezo. paschal mayalla
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA linapokuja suala la mashahidi kwenye kesi ya Lissu wanapaniki sana wanatamani wasiwepo, wanaogopa Nini au wanajua?

    Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu. Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama? Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo? Kwanini...
  11. JamiiForums Tanzania Kesi uhaini wa Tundu Lissu: Mashahidi wa siri/kificho waanza kujishitukia wenyewe na kujitetea hata kabla. Mmoja ni huyu hapa👇🏻

    "......Huyu mzee Evarist Chahali ni sehemu ya wazushi nchini anayetegemewa na wanaharakati uchwara, Amezusha hili jambo kwamba mimi ni sehemu ya mashahidi wa siri. Ni muongo na anajua wazi ni uongo….ana agenda yake aliyoitafuta kwa muda mrefu. Amekuwa akinishambulia tangu 2015 lakini nimekuwa...
  12. JamiiForums Tanzania WanaJF, Nawaahidi mashahidi wa Siri wa serikali tutawaweka wazi taarifa zao baada tu ya kutoka kutoa ushahidi

    Inachekesha sana, serikali ya Samia ipo nyuma ya muda. Kipindi cha nyuma, kuna askari magereza walikuwa wanamsindikiza Lissu wakiwa wamevaa kininja. Walim-treat vibaya kwa kudhani kwamba hawatajulikana, lakini nyinyi ni mashahidi. Niliwaletea full details za askari aliyemsukuma Lissu, kuanzia...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili wa Jamhuri aomba Kesi ya Tundu Lissu isitishwe kuonyeshwa kwenye Vyombo vya Habari, kulinda mashahidi

    Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, ametaka kesi ya Tundu Lissu isiendelee kuonyeshwa moja kwa moja kupitia Vyombo vya Habari ili kulinda mashahidi kwani ushahidi wao unaweza kupelekea utambuzi wao. "Mahakama Kuu, kwa busara zake na kutaka kuona kwamba hawa mashahidi raia hawapati vitisho...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Lissu kuweni macho sana, kuna mashahidi wa UONGO wamepangwa, soma hukumu hii mjiridhishe

    According to the Affidavit sworn by ACP AMIN MAHAMBA, during the investigation, he received information from the intended prosecution witnesses that the Respondent's associates are planning to obstruct the proceedings of PINo. 202504102000008607 by causing bodily harm to them, to force them to...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 John Mnyika: Tutamshauri Lissu tukatie rufaa maamuzi ya ''Mashahidi wa Siri''

    Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema wao kama chama hawajaridhishwa na maamuzi ya Mahakama Kuu kuhusu mashahidi wa siri dhidi ya kesi ya Tundu Lissu. Kuhusu maamuzi, soma Mahakama Kuu yapigilia msumari uamuzi kufichwa kwa mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya Tundu Lissu Amesema...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama Kuu yapigilia msumari uamuzi kufichwa kwa mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya Tundu Lissu

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Jumanne Agosti 12, 2025 inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu mapingamizi ya upande wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, yanayolenga kupinga matumizi ya mashahidi wa siri. Katika mapingamizi hayo, upande wa...
  17. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuikabili Sheria ya kulinda mashahidi

    Baada ya Mahakama Kuu ya Masijala ya Dar es Salaam kukubali ombi la upande wa Jamhuri la kuficha majina na taarifa nyingine za mashahidi raia wa upande wa Mashitaka katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, chama hicho kimesema kinaipinga Sheria hiyo ya iliyopitishwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mnaopangwa mashahidi wa kificho kwa Lissu kataeni kua mashahidi

    Kama Kuna Jambo ambalo Mashahidi wa Jamhuri Wanatakiwa walikwepe kwenye Kesi ya TUNDU LISSU ni KUKUBALI KUFICHWA TAARIFA ZAO Kwa kuogopa Et Wataonekana machoni mwa Watanzania. Nina wahakikishia, Ni heri Taifa liwafahamu ili baadae hali ikibadilika mjue namna ya Kujitokeza wazi na Kujitetea...
  19. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waiangukia Jumuiya ya kimataifa wakipinga mashahidi kufichwa katika kesi ya uhaini ya Lissu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeiomba Jumuiya ya Kimataifa taasisi za haki za binadamu, ofisi za kidiplomasia, na mabunge ya kidemokrasia hasa Bunge la Marekani na mabunge ya washirika kuliangalia kwa dharura suala la mashahidi kufichwa katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa...
  20. JamiiForums Tanzania Mmesoma hii barua ya CHADEMA kuomba msaada kutoka kwenye Bunge La Marekani kuhusu kesi ya Lissu? Wananchi mko wapi?

    Wakuu Nadhani kama wanachi tunatakiwa kujitafakari sana. Kwenye hii barua ni kama CHADEMA wamekata tamaa kwenye kuwategemea wananchi. Mwishoni huku wamesema wanaomba Bunge la Marekani na Jumuiya za Kimataifa kuangalia kwa ukaribu what is going on kuhusu kesi ya Tundu Lissu. Yaani ni kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…