mashabiki wa simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    Mashabiki wa Simba wamlilia Rais Samia awezeshe mchakato wa mabadiliko

  2. Hance Mtanashati

    Mechi ya mashabiki wa Simba na Yanga lengo kuu kuwarudisha wasanii kwa wananchi

    Nasikitika sana na nazidi kusikitika. Nawasikitikia zaidi mashujaa wetu waliojitoa kulitetea taifa mwisho wa siku wameishia kupoteza maisha lakini asilimia kubwa ya watu waliokuwa wanawapambania ni wapumbavu kwa kiasi kikubwa sana. Niliingia kwenye instatrack kuchungulia engagement rates...
  3. Its Pancho

    Mapato ya tickets mechi ya jana ya simba ni shilingi 3000/..! Kweli mashabiki wa simba wanaipenda sana team yao

    Wakuu I salute you kinsmen Kuna team ilikuwa inasifiwa sana wanajisifia sana kuwa wao watalipa ticket na uwanja watajaza mapema tu saa 8 mchana unakuwa full Na semaji Lao likawajaza upepo kuwa ticket zimeshauzwa ni full house. Lakini jana kilichotokea ni bora wangefanya watu waingie bure tu...
  4. Chizi Maarifa

    Hapo katikati Mashabiki wa Simba walianza kunenepa. Sasa Tabu imerudi tena

    Hali naambiwa kwa Tanzania ni mbaya mashabiki wa Simba wameanza kukonda na kukosa raha. Hapo katikati walianza kunenepa baada ya Ligi kusimama. SASA LIGI IMERUDI TAABU IPO PALE PALE.
  5. ngara23

    GE2025 Mashabiki wa Simba wagoma kumshangilia Rais Samia akitoa salam katika tukio la Simba day

    Suala la mashabiki wa Simba kuzomea wakati Rais akitoa salam katika tukio la Simba day Watanzania wameamka hawapo hapa kupumbazwa, watu wanataka haki katika sura mbalimbali Yaani tukio la leo limezidi hata maandano ambayo polisi huzuia Kwa nguvu kubwa, Sasa ni dhahiri ujumbe umefika kuwa...
  6. Just Pray

    Hii ndiyo foleni ya mashabiki wa Simba wanaosubiri kuingia uwanjani muda huu

    Mashabiki wa Klabu ya @simbasctanzania wakisubiri kuruhusiwa kuanza kuingia Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar Es Salaam ili kushuhudia tamasha la Simba Day linalofanyika leo Septemba 10, 2025
  7. hydroxo

    Wanayanga wenzangu tusikubali kuingia kwenye mtego wa mashabiki wa simba kuhusu jezi zetu mpya

    Mara baada ya Yanga kutangaza jezi zake mpya za msimu huu wa 2025/2026 wameibuka baadhi ya mashabiki wa simba na kuanza kuziponda jezi za yanga na kusema ni mbaya. Ubaya ni kwamba bila kufahamu the motive behind,baadhi ya mashabiki wa yanga nao wameungana na wale wa simba kwenye kuzisema jezi...
  8. Frank Wanjiru

    Mashabiki wa Simba wakasirishwa page ya club kupost utajiri wa MO

    Baadhi ya Mashabiki wa Simba SC wamechukizwa na post hii ya kumpongeza Mohamed Dewji kutajwa kuwa ndie Tajiri namba Moja Tanzania. Je Kuna shida yoyote kumpost Mohamed Dewji na kumpongeza kwa Utajiri wake kupitia ukurasa wa Klabu ya Simba ambapo yeye ndie muwekezaji wa Klabu.
  9. Hamissi Hamza Jr

    Mashabiki wa Simba na Yanga ni wanafiki sana

    Manji alipotaka kuikodisha Yanga kwa miaka 10 mlimgeuka Mzee wa watu mchana kweupe", Simba nao wameanza kuonesha dalili za kumkana Hadharani Mo kisa kaawambia Mmetumia Billion 87 zake😂😂😂 acheni Unafiki Kama hamuwataki muwe mnawakataa mapema
  10. NALIA NGWENA

    Mashabiki wa Simba SC Wanajikaanga Wenyewe Kama Mkia wa Kondoo kwenye sufuria la moto

    Katika hali ya kushangaza lakini ya kweli, mashabiki wa Simba SC wamekuwa kama mkia wa kondoo wanajikaanga wenyewe bila hata ya kuhitaji moto wa nje. Timu yao imekuwa ikipitia misimu ya maumivu: kushindwa kwa mipango ya usajili, kukosekana kwa mwelekeo wa kiufundi, na viongozi wanaozunguka...
  11. K

    Simba viongozi wake wanajitahidi sana kununua malefa ili washinde,ubora wa timu hawana

    Simba Viongozi wake wanajitaidi saba kununua marefa ili waonekana bora mbele ya mashabiki wake,na mashabiki hufurahia hilo wanaposhinda mechi bila kuhoji uwezo wa timu tena ni timu ya kawaida sana, ilistahiri kushika na 4 au tano kwenye msimamo wa ligi, Endeleeni kununua malefa mkikutana na...
  12. Tajiri Tanzanite

    Viongozi wa serikali mashabiki wa Simba ni muda wa kuipambania Simba

    Hapo vip! Kwa nature wa mpira wa Tanzania kuna umuhimu viongozi wa serikali ambao ni mashabiki wa Simba kama Majaliwa,Makonda,kigwangwala,zungu,speaker Tulia n.k kuipambania Simba kwa kuinusuru kugandamizwa na viongozi wahuni mashabiki wa yanga.
  13. M

    Mashabiki wa Simba hawakumwelewa Ahmed Ally alipowaambia kesho ni mechi ya mwisho Simba kucheza nyumbani na Kagera Sugar, alimaanisha hivi

    Washabiki wa soka nchini ni mtihani mkubwa sana, wana uelewa mdogo sana wa mambo, juzi Ahmed Ally amewaambia washabiki wajazane na familia zao kuwaaga wachezaji kwa sababu itakuwa mechi ya mwisho kwao kucheza nyumbani, wengi wametafsiri kauli hii kuwa Simba inamaliza mechi kesho.La hasha...
  14. M

    Viongozi na mashabiki wa Simba, yanayoendelea baina ya Bodi ya Ligi na Yanga ni geresha toto tu, Yanga wataingiza timu Jumapili na tutashangazwa

    Kwa uelewa wangu wa mambo ya soka, na kwa kufuatilia mienendo ya majibu ya viongozi wa yanga kwa nyakati mbalimbali, na jana wamekataa kwenda TFF kujadiliana kuhusu madeni ni dhahiri kabisa kuwa ile ni geresha toto, mpango wao waendelee hivi hivi kuwachanganya watanzania ili simba wabweteke...
  15. Waufukweni

    Yanga yalaani vikali vitendo dhidi ya Mashabiki wake kupigwa na mashabiki wa Simba kwenye Fainali ya CAF Zanzibar

    Uongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Kupitia taarifa hiyo...
  16. blogger

    Mashabiki Wa Simba huenda wakawa ni Mashabiki wa ovyo kabisa hapa Afrika

    Kitendo hiki hakikubaliki popote.. Hawa wale rungu tu.. hakuna namna... UPDATE.. TAMKO LA CLUB YA YANGA..
  17. The introvert

    Ushabiki wa Simba na Yanga ndiyo tumefikia huku????

    Habari za muda huu wana jamvi Je ni sahihi kwa hiki kilichofanyika uwanjani? Ule utani wa jadi uko wapi? Ushabiki utaenda kutugawa muda si mrefu tutaanza kuona watu wakipigana mapanga na kuuwana kisa ushabiki wa timu hizi mbili. Wasemaji wa hizi timu kuna namna wanasababisha haya mambo...
  18. DELETED ACCOUNT

    Kuwanyima haki ya kuiona timu yao ikicheza fainali ya CAF maelfu kwa maelfu ya mashabiki wa Simba ni doa lisilofutika

    Kuwanyima maelfu ya Watanzania haki yao na fursa ya kuangalia mechi ya kihistoria katika uwanja wao kwa sababu za mvua ni kinyume cha juhudi zote za kuufanya mchezo wa mpira wa miguu uwafikie watu wengi zaidi. Kuna timu nyingi, zingine zina mafanikio ambazo zinahangaika kutafuta mashabiki ila...
  19. R

    Tusiwe na hofu ! uongozi wa uwanja wa Zanzibar na Shirikka la soka Zanzibar wamejaa viongozi mashabiki wa Simba.

    Hofu ni kwenu tu. Nimeambiwa na mdau wa soka kutoka Zanzibar, Viongozi wengi wa soka na uongozi wa Uwanja ni mashabiki wa Simba,
  20. DELETED ACCOUNT

    Kuanzia msimu ujao kuna haja ya Simba kusajili kikundi maalumu cha washangiliaji

    Ni jambo la kusikitisha sana "unapewa ndege" kama wanavyoiweka, una nafasi karibia 200 za kupeleka mashabiki wenye vibe la kutosha ila unawakosa watu wa kubeba unaishia kuokotezaokoteza maafisa, waandishi wa habari na wazee. Hivi Ndugai anaenda kutoa sapoti gani kwa Simba huko Morocco...
Back
Top Bottom