masafa marefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gari la milioni arobaini la masafa marefu

    Ushauri wako tafadhali! Linahitajika gari la masafa marefu linalomudu safari za mashambani. Route zake ni kama vile: 1. Mwanza - Arusha 2. Arusha - Njombe 3. Njombe - Mtwara 4. Mtwara - KASULU 5. Kasulu - Mwanza 6. N.k. Kama nilivyoandika, safari nyingi nibza mashambani, kwa hiyo ni muhimu...
  2. W

    baadhi ya makombora ya masafa marefu ya Iran yametua Israel muda huu, Israel yajiandaa kufanya shambulio zito zaidi usiku wa manane

    Baadhi ya makombora ya masafa marefu kutoka Iran yamefanikiwa kutua Israel huku mengi yakidakwa angani na mitambo ya ulinzi wa anga. Mashambulio haya yamelenga maeneo yenye wakazi wengi, lakini hadi sasa hakuna taarifa za vifo, kwani watu wamekuwa wakitafuta hifadhi kwenye vyumba maalum vya...
  3. U

    Iran yarusha makombora ya masafa marefu kwenda Israel muda huu

    Sirens are sounding across Israel amid a major Iranian ballistic missile attack. An estimated 100 missiles were launched from Iran at Israel, according to an Israeli military source. Detecting missile attack from Iran, IDF orders civilians to enter shelters By Emanuel Fabian Follow Today, 9:07...
  4. U

    Waasi wa kihusi wa Yemen waishambulia Kwa makombora mazito ya masafa marefu maji ya Jerusalem na Tel Aviv

    Wadau hamjamboni nyote? Hali ni mbaya Kwa Mayahudi tuwaombee sana IDF walidhani kupiga airport na kuharibu kiwanda cha mbolea wamemaliza kila kitu kumbe wenzao ni wajuzi zaidi yao Suluhu pekee ni ayahudi kuwarejeshea Wapalestina ardhi yao tukufu na kuondoa haraka majeshi yao huko Lebanon na...
  5. Kwanini madereva wa magari makubwa ya masafa marefu huambatana na wanawake kwenye safari zao

  6. U

    Marekani yapeleka ndege hatari 4 za masafa marefu B-2 kambini Bahari ya Hindi, zitashambulia Iran na Yemen bila ulazima kutumia kambi za washirika

    Wadau hamjamboni nyote? Wakati Marekani ikiendelea na mashambulizi ya angani dhidi ya Wahouthi wa Yemen, uchambuzi wa AP wa picha za satelaiti zinaonyesha jeshi la Marekani limepeleka ndege 4 hatari za masafa marefu aina ya B-2 kwenye kisiwa cha Diego Garcia katika Bahari ya Hindi. Hatuna...
  7. Vita vya Matumizi ya Silaha za masafa Marefu sasa vita imeanza Rasmi!!

    Wakuu tujongee...Sasa katika kitu kilikuwa kikingojewa na mataifa mengi wakitaka kujua uwezo wa Urusi sasa kinakaribia,hii ni baada ya Ukraine Usiku wa kuamkia leo Kutumia hizo silaha za masafa marefu aina ya(ATACMS) akilenga miji mikuu iliyopo kalibu na mpaka wa Urusi!! Ukraine imetumia Mfumo...
  8. Katika kosa kubwa ambalo Biden atalifanya ni kuhusu uamuzi wa kuiruhusu Ukraine kutumia silaha za masafa marefu

    Biden ameondoa marufuku kwa Ukraine kutumia makombora ya Marekani kushambulia ndani ya Urusi Joe Biden ameiruhusu Ukraine kushambulia ndani ya Urusi kwa makombora ya masafa marefu ya Marekani. Rais Biden ameidhinisha Ukraine kutumia silaha za masafa marefu zinazotolewa na Marekani ndani ya...
  9. U

    Waisrael wawili tu wamejeruhiwa kidogo pamoja na Iran kurusha makombora ya masafa marefu zaidi ya 200 kuelekea Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Mungu ibariki Israel Taarifa rasmi ndiyo hiyo 99% yamelipuliwa angani, kudondokea baharini au sehemu isiyokusudiwa Yale matoi yaliachwa yaelee angani kwa muda na kisha kusambaratishwa Ukitazama video yake utacheka Live Update arrow right icon From the Liveblog of...
  10. I

    Mifumo ya Ulinzi wa anga ya Russia haiwezi kuizuia Ukraine kushambulia kwa kina kirefu na ndege zake zisizo na rubani za masafa marefu, Intel inasema

    Ukraine imetumia ndege zake zisizo na rubani kutekeleza msururu wa mashambulizi kwenye maghala muhimu ya silaha za Urusi mwezi huu, na kusababisha uharibifu mkubwa katika maeneo hayo na kuharibu tani za silaha ambazo ni muhimu kusaidia mashine ya vita ya Moscow. Mashambulizi hayo yamesisitiza...
  11. Houthi warusha makombora ya masafa marefu katikati ya Tel Aviv

    Houthis say they fired ballistic missile at Tel Aviv airport. LIVE updates: aje.io/mycvl0 The Yemen-based group’s military spokesperson says it launched an attack on Ben Gurion airport during the arrival of Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu. There was no immediate reports of damage or...
  12. I

    Ukraine yaanza kutengeneza makombora yake ya masafa marefu

    Katika kile kinachoonekana kuchoshwa na tabia ya mataifa ya Nato ya kuinyima haki ya kushambulia ndani ya Russia kwa kutumia silaha zao za misaada, hatimaye Ukraine imefanikiwa kuweza kutengeneza makombora yake yenyewe yenye uwezo wa kushambulia ndani kabisa ya Russia. Ukraine imetoa picha za...
  13. U

    Iran yaonesha makombora ya masafa marefu

    Wadau hamjamboni nyote? Maonyesho ya kimataifa ya silaha za hatari huko Urusi , Iran yaanika makombora yake hatari yenye uwezo kupiga Hadi kilometers 2,000 Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: ============ Iran displays long-range drones at defense forum in Russia DUBAI, United Arab...
  14. Suala la abiria kwenye mabasi makubwa ya mikoani kujaa hadi wengine kusimama limehalalishwa?

    Nakumbuka kulikuwa na utaratibu barabarani kwenye mabasi makubwa ya masafa marefu yanayotoka mkoa mmoja hadi mwingine, askari wanaingia kukagua mabasi na moja ya mambo waliyokuwa wanaangalia ni kama basi limezidisha idadi ya abiria. Kutokana na hulka ya Watanzania tulivyo, tulikuwa tunakaushia...
  15. Huduma ya choo ndani ya Mabasi ya masafa marefu iwekwe kwenye Mabasi ya madaraja yote

    Salaam ndugu zangu, Kuwapo kwa choo kwenye basi lolote la masafa marefu ni muhimu na ni huduma inahitajiwa na abiria wote. Kitu cha kushangaza huduma hii ya lazima imetengwa na kuwekwa kwa mabasi ya Luxuary pekee. Huduma ya choo ni muhimu kama ilivyo huduma nyingine, kwa jinsi binadamu alivyo...
  16. Enyi madereva wa masafa marefu acheni roho mbaya dhidi ya wasaidizi wenu matingo

    Natumai wote ni wazima wazee kwa vijana poleni na mvua za masika zinazoharibu miundombinu yetu. Moja kwa moja nianze kwa kusema kama dereva wa masafa marefu niliyetundika daruga 2010. Uliza Congo uliza Malawi Zambia Uganda kenya Burundi rwanda hapo nikiwa na chuma cha msweden scania 113 pulling...
  17. Hili hapa Jedwari la nauli kwa mabasi ya Masafa Marefu Tanzania kuanzia 8th December 2023

    Mambo yanazidi kuwa mazito waTanzania gharama za maisha zinapanda siku hadi siku. Sijui sisi wa hali ya chini kama tutaweza kumudu haya maisha
  18. Ukraine wafaulu kutumia kombora la masafa marefu, wapiga umbali wa kilomita 700

    Hiyo kama kutoka Dar hadi Tabora. Kadiri siku zinakwenda ndivyo Ukraine wanaongeza jeuri ya kufanya makuu, Mrusi hajui atoke vipi.... The Ministry of Strategic Industries reported on the successful use of long-range weapons of Ukrainian production: it hit a target from 700 kilometres away...
  19. Urafiki na madereva wa masafa marefu ukiwatumia hela 75% hesabu umetoa sadaka

    Hawa jamaa wanakuwaga na shida mbalimbali katika safari zao wakipatwa na shida. Unakuta mzee msaada hapa gari imepata tatizo nisaidie kunitumia hela mimi bosi wa gari akinitumia nitakutumia na shida ninunue spea kufnge chapu niendelee na safari. Baada ya kutuma mzee asante sana nimepata...
  20. Ukraine waanza kutengeneza silaha za masafa marefu

    Mrusi kalianzisha, mwenzake anamaliza... ========== Ukraine is investing in a project to develop its own long-range missile. Oleksii Reznikov, Minister of Defense of Ukraine, stated about it. He explained that Ukraine has good prospects for the production of its own long-range missiles with...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…