masafa marefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Oppo A17k

    JamiiForums Tanzania Hili hapa Jedwari la nauli kwa mabasi ya Masafa Marefu Tanzania kuanzia 8th December 2023

    Mambo yanazidi kuwa mazito waTanzania gharama za maisha zinapanda siku hadi siku. Sijui sisi wa hali ya chini kama tutaweza kumudu haya maisha
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine wafaulu kutumia kombora la masafa marefu, wapiga umbali wa kilomita 700

    Hiyo kama kutoka Dar hadi Tabora. Kadiri siku zinakwenda ndivyo Ukraine wanaongeza jeuri ya kufanya makuu, Mrusi hajui atoke vipi.... The Ministry of Strategic Industries reported on the successful use of long-range weapons of Ukrainian production: it hit a target from 700 kilometres away...
  3. Exile

    JamiiForums Tanzania Urafiki na madereva wa masafa marefu ukiwatumia hela 75% hesabu umetoa sadaka

    Hawa jamaa wanakuwaga na shida mbalimbali katika safari zao wakipatwa na shida. Unakuta mzee msaada hapa gari imepata tatizo nisaidie kunitumia hela mimi bosi wa gari akinitumia nitakutumia na shida ninunue spea kufnge chapu niendelee na safari. Baada ya kutuma mzee asante sana nimepata...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine waanza kutengeneza silaha za masafa marefu

    Mrusi kalianzisha, mwenzake anamaliza... ========== Ukraine is investing in a project to develop its own long-range missile. Oleksii Reznikov, Minister of Defense of Ukraine, stated about it. He explained that Ukraine has good prospects for the production of its own long-range missiles with...
  5. ze kokuyo

    JamiiForums Tanzania Uingereza kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu

    Waziri wa ulinzi wa Uingereza amethibitisha kwamba nchi yake itaipatia Ukraine makombora ya masafa marefu ili kuweza kupiga shabaha za mbali. Makombora hayo ya Storm shadow yanaweza piga shabaha hadi 300km huku yakiruka karibu kabisa na ardhi ili kukwepa kuonwa na rada za adui. Hapo awali...
  6. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yarusha kombora la masafa marefu na kuzua wasiwasi wa kiusalama

    Korea Kaskazini imerusha kombora lake ambalo linaelezwa limefika katika êneo la bahari karibu na Japan, na kuzua wasiwasi wa kiusalama wa kikanda. Msemaji wa Baraza la Usalama, Adrienne Watson amesema rais Joe Biden na washauri wake kuhusu masuala ya usalama wanathathmini hatua hiyo ya Korea...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Huku vifaru vikipelekwa Ukraine. Zelensky asema anataka ndege na mizinga ya masafa marefu

    Baada ya kilio cha muda mrefu na kutegeana kwa mataifa ya magharibi yanayoisaidia Ukraine kupambana na Urusi hatimae mataifa hayo yamekubali kuipelekea Ukraine ilichodai kwa muda mrefu navyo ni vifari vya Leopard kutoka Ujerumani na Abrahms kutoka Marekani. Hata hivyo muda mfupi baada ya...
  8. Faana

    JamiiForums Tanzania Safari za ndege za masafa marefu zinaweza kuathiri vipi mwili wako?

    Qantas imetangaza kuwa itazindua safari za ndege za moja kwa moja kutoka pwani ya mashariki ya Australia hadi London, Uingereza kutoka mwisho wa 2025, na muda wa ndege wa zaidi ya saa 19. Kwa kulinganisha, ndege za sasa huchukua saa 24, lakini kwa kuunganisha ndege, imegawanywa katika safari...
  9. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yarusha kombora la masafa marefu

    Leo Alhamis Uzinduzi huo ulishindwa wakati wa utengano wa hatua ya pili, afisa wa kijeshi wa Korea Kusini aliiambia Yonhap Korea Kaskazini imerusha kombora la masafa marefu (ICBM) kama sehemu ya onyesho la nguvu kubwa dhidi ya michezo ya kivita inayoendelea kati ya Marekani na Korea Kusini...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Japan yaandaa mizinga 1,000 ya masafa marefu, yakaa mkao wa kuikabili China

    Duniani mataifa makubwa yameanza kunoa visu na makucha, yanajiweka mkao wa mapambano makali, hivi Waswahili tuko vipi, au tupo tupo tu siku ziende. Tokyo, Japan is considering the deployment of 1,000 long-range cruise missiles to boost its counterattack capability against China, the Yomiuri...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine waanza kushambulia kwa makombora ya masafa marefu yenye maangamizi makubwa

    Haka kainchi kamekua kero, kameua Warusi hadi basi na bado hakakua kameanzisha shughuli ya haya makombora, sasa kameanza kuyarusha na kufanya maangamizi makubwa kwa wavamizi na wadhulumaji wa kutokea Urusi....takbirrrr!!!! ========================= Ukrainian forces fired three large tactical...
  12. nyabhingi

    JamiiForums Tanzania Putin atoa onyo kuhusu upelekwaji wa makombora ya masafa marefu Ukraine

    1. Atoa onyo kwamba watayateketeza. 2. Nchi yoyote itakayojiingiza moja kwa moja na kutishia usalama wa Russia itapewa majibu ya haraka na mazito. 3. Asema wana silaha ambazo hakuna nchi yoyote duniani wanazo kwa sasa na watazitumia
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Marekani yakubali kupeleka Roketi za Masafa Marefu nchini Ukraine

    Inaelezwa kuwa Marekani imekubali ombi la muda mrefu la #Ukraine la msaada wa silaha nzito zikiwemo roketi hizo ili kupambana na vikosi vya #Russia kutoka umbali mrefu, ambalo hapo awali lilikataliwa Silaha hizo zitajumuisha Mfumo wa Roketi wa Kivita wa M142 (HIMARS), ambao unauwezo wa kurusha...
Back
Top Bottom