Hivi hawa Chadema kusema uchaguzi usifanyike hadi Reforms zifanyike ili uwe uchaguzi wa HAKI NA HURU ni kosa?
Sasa ona masahibu wanayopitia. Viongozi wao wanatekwa,kuuawa, kushambuliwa, sasa hivi wanazuiwa kusafiri, chama kinyimwa ruzuku, chama kimewekewa zuio haramu kufanya kazi, na kubwa...