martha karua

Martha Wangari Karua (; born 1957) is a Kenyan politician and an advocate of social justice. She is currently the running mate for Azimio candidate Raila Odinga for kenyas' presidential elections set for August this year. She is a former long-standing member of parliament for Gichugu Constituency and an Advocate of the High Court of Kenya. She was Minister for Justice until resigning from that position in April 2009. Karua has consistently fought for the protection of women's rights and improvements to the democratic process.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Besigye ashindwa Kesi ya kumrejeshea Martha Karua na Lukwago katika timu yake ya Mawakili

    Mahakama Kuu ya Kampala nchini Uganda imekataa ombi la Dkt. Kizza Besigye na Obeid Lutale la kurejesha mawakili Martha Karua na Erias Lukwago katika timu yao ya utetezi. Jaji Simon Peter Kinobe, katika uamuzi wa kurasa 42 uliotolewa Jumanne, amesema kuondolewa kwa Karua nchini Uganda na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mawakili 40 waungana kumtetea Besigye baada ya Martha Karua kuzuiliwa kuingia Uganda

    Mawakili 40 kutoka Taasisi 12 za uwakili nchini Uganda wameungana kumtetea kiongozi wa upinzani, Dkt. Kizza Besigye na Hajj Obeid Lutale ambao wamewekwa kizuizini kwa muda sasa. Wamewasilisha maombi mapya Mahakama Kuu kupinga hatua za serikali wanazodai kuwa zinakiuka haki ya kikatiba ya...
  3. JamiiForums Tanzania Martha Karua, Maria Sarungi, Mange Kimambi, viongozi wa CHADEMA wote hawa ni wajasiriamali wa kisiasa wanaeleweka na wajinga tu

    Kuna watu wanatumia siasa za Afrika ili familia zao zile, ziishi na Kuna wengine wanatumia siasa ili kupata followers kwenye mitandao ya kijamii lakini kichwani ni sifuri hawana strategic zozote za kisiasa za wanataka wafanye nini zaidi zaidi ni kufanya vurugu ili wapigwe na Mimi nasema WAPIGWE...
  4. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Martha Karua denied entry into Uganda, declared persona non grata

    Martha Karua denied entry into Uganda, declared persona non grata
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uganda Declares Martha Karua Persona Non Grata, Explains Entry Denial

    Ugandan authorities have officially explained why Kenyan lawyer and opposition leader Martha Karua was denied entry into the country, stating that she had been declared persona non grata due to unspecified security concerns. Karua, who had travelled to Kampala as part of the legal team...
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda ULS protests as immigration blocks, deports Martha Karua at Entebbe

    The Uganda Law Society, through a strongly worded statement signed by its Vice President, Asiimwe Anthony, expressed profound concern over the incident, warning that Kampala’s actions directly undermine the Jumuiya (EAC) spirit. “This development is of significant concern to the Uganda Law...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Martha Karua Denied Entry into Uganda Ahead of Besigye Court Ruling

    Kenyan lawyer and opposition leader Martha Karua was reportedly denied entry into Uganda ahead of a key court ruling involving veteran opposition politician Kizza Besigye, sparking fresh concerns over access to legal representation and political freedoms in the region. The Ugandan Law Society...
  8. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Martha Karua denied entry into Uganda ahead of Besigye, Lutale court appearance

    Senior Counsel Martha Karua was earlier today denied entry into Uganda upon arrival at Entebbe International Airport and ordered to return to Kenya without being given any reason. Ms Karua had travelled to Uganda to join the defence team representing Dr Kizza Besigye and Obeid Lutale alongside...
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Martha Karua: Sheria ya Tanzania inaruhusu Maandamano, Samia aache utawala wa kimabavu

    Mwanasiasa na mwanaharakati nchini Kenya, Martha Karua amezungumzia kuhusiana na sheria ya Tanzania kuweka uhalali wa Maandamanohivyo kwa wananchi wanaopanga kuandamana wana haki, pia amesisitiza Serikali isiingilie maamuzi ya wananchi "sheria za tanzania zinawaruhu raia kufanya maandamano, na...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Martha Karua: Kinachotokea nchini Tanzania si Uchaguzi bali ni kutawazwa kwa Rais Samia

    Wakuu, Kuna ujumbe hapa kutoka kwa Martha Karua kuhusu Uchaguzi unaofanyika leo Tanzania. Martha anasema leo kinaachofanyika ni Coronation na si Uchaguzi bali ni Uchafuzi "Kinachotokea kesho nchini Tanzania si uchaguzi bali ni kutawazwa. Rais Samia anajiwekea taji akitangaza kuwa yeye ndiye...
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Martha Karua Kugombea Urais 2027, asema ataongoza kwa Muhula mmoja tu

    Viongozi wakuu wa upinzani wameapa kusimama imara na kushikamana kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, wakiahidi kusimamisha mgombea mmoja atakayekabiliana na Rais William Ruto Wakiongozwa na kiongozi wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka, na wakishirikiana na Naibu Kiongozi wa DCP Rigathi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Martha Karua, Agather na Boniface Mwangi, watakuja kufafanua vifungu vya sheria ya uhaini vinavyotaka kutumika kumtia hatiani Tundu Lissu?

    Tangu Tundu Lissu ataje orodha ya mashahidi wake, mashahidi kutoka Kenya na Uganda ambao hawakuwepo eneo la tukio (kwenye mkutano ambao Lissu alisema "tutakinukisha") na ambao si hata viongozi wa CHADEMA, nimebaki najiuliza swali hili: Watu hawa(Martha Karua, Agather na Boniface Mwangi)...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jaji Mkuu Mstaafu Mutunga, Martha Karua na wenzake 4 waiburuza Serikali ya Tanzania Mahakama ya Afrika Mashariki. Wataka fidia na msamaha

    Wakuu, Yaani hakuna kupumzika. Sasa hivi Serikali haipati tu upinzani kutoka ndani lakini hadi nje. Haya sasa, Martha Karua kaamua kuipeleka Serikali yenu Mahakamani. ================================ Martha Karua na wanaharakati wengine wanne wameiburuza na kuishtaki Serikali ya Tanzania...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Seneta Nairobi amtaka Ruto aachane na msamaha wa kinafiki, achukue hatua kali dhidi ya Tanzania

    Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna ataka Kenya ichukue hatua kali dhidi ya Tanzania kufuatia madai ya utesaji wa wanaharakati Seneta wa Nairobi, Edwin Sifuna, ametaka serikali ya Kenya ichukue hatua za kisasi dhidi ya Tanzania kufuatia madai ya mateso na ukiukaji wa haki za binadamu dhidi ya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa ACT Wazalendo awashangaa wabunge wanaomshambulia Martha Karua

    Mwenyekiti wa ACT Wazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Ndugu Othman Masoud Othman amesema amesikitishwa na kauli za baadhi ya Wabunge dhidi ya wanaharakati kutoka Kenya na Uganda kuhamasisha matumizi ya nguvu za dola dhidi yao. Akitolea mfano wa Mbunge wa Pandani Ndugu...
  16. JamiiForums Tanzania Wanafanana Elimu zao, Mbunge Mariam aliyeshauri Jeshi la Polisi Limpe kipigo Martha Karua apumulie Oksijeni ,naye Kaisha Form Four ya kuunga unga

    Mimi Huwa nasema humu Kila siku, UWEZO DOGO WA MTU WA AKILI ( UJINGA) HUENDA SAWA NA UKATILI, ROHO MBAYA, UPAYUKAJI NA KILA UOVU Nyinyi hamjiulizi kwann Makazini, watu wajinga, ni wapiga majungu? Wanaenda sana Kwa waganga? Wafitini? Wako tayari kufanya lolote kubakia kwenye nafasi??. Mnadhan...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Manyanya: Martha Karua ukichezea mamlaka tunakushughulikia, ukigusa kipande cha ardhi tunakushughulikia. Ukome!

    Martha Karua umetuagusha wanawake tunaolilia kupata nafasi nyingi za uongozi. Wewe unadandanywa na wanaume unaenda kufanya vitu visivyostaili ujatuheshimisha kama wanawake. Umesahau kwamba Rais Samia ndiye alienda kumtembelea Tundu Lissu akiwa Hospitali huko Kenya, hata alipokimbia kwenda kule...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge ashangazwa Martha Karua kurudishwa Kenya akiwa salama

    "Tulikosea kweli yule Martha Karua kumrejesha kule, na hili kosa lisitokee tena hapa, hivi mtu anatoka huko analeta ujinga wake hapa halafu eti anarejeshwa mzima, salama salmini kweli. Na yule anayesema anadai kapigwa eti anashuka kwenye gari anajichechemeza kweli? Yule alikuwa apigwe arudi na...
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Msambatavangu: Mtu mkorogo umedunda, sijui alisahau kupaka poda anataka kuja kutuchonganisha

    Wakuu leo bungeni kumewaka naona wanatumia muda wote 'kuwachamba' Wakenya === Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu wakati akichangia kwenye bajeti ya wizara ya mambo ya ndani amegusia suala la Martha Karua kuja nchini na kile kilichotokea. "Mama mtu mzima aliyesoma sheria anaondoka...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CCM Tarime ataka Martha Karua apitishwe Sirari ili wampe mimba sababu wanaume wa Kenya wameshindwa kazi

    Wakuu naona udhalilishaji na kejeli dhidi ya Martha Karua unazidi kuendelea. Kada mmoja wa CCM huko Mara ameomba wakati mwingine Martha Karua akienda kuomba kibali cha kuja Tanzania ubalozini basi apitishwe Sirari ili wampe mimba kwa kuwa Wakenya wameshindwa. Hivi hii ndiyo mmeona njia ya ku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…