Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Dorothy Semu, amesema taasisi hiyo itaendelea kuunga mkono majukwaa yanayowezesha mazungumzo, uvumilivu, ushirikishwaji, kuheshimu tofauti za kisiasa na utatuzi wa migogoro kwa njia za amani na kisheria.
Amesema TCD inaamini demokrasia imara...