maridhiano tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Lema: Nimeona sintofahamu mtandaoni baada ya pole kwa Mama Samia. Tunaodai kupigania uhuru wa maoni na demokrasia, hili linapaswa kutufikirisha

    Nimeona matusi na sintofahamu nyingi mtandaoni baada ya kuchapisha ujumbe wa kutoa pole kwa Mama Samia, hasa niliponukuu salamu za pole za Mwenyekiti Lissu kutoka gerezani. Kwa sisi jamii tunaodai kupigania uhuru wa maoni na demokrasia, hili linapaswa kutufikirisha. Kutofautiana kwa hoja...
  2. R

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Tufanye kazi ya kuridhiana, tusiendeleze ugomvi. Asitokee mtu kusema mimi sitaki kuridhiana

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka waandishi wa habari na vyombo vya habari nchini kuwa mabalozi wema katika kueneza na kuunga mkono jitihada za maridhiano ya kitaifa zinazoongozwa na Rais Samia Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 11, 2026, Chalamila...
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Tuna msiba usiokuwa na mwili wa marehemu. Mnachelewesha maridhiano kwa kuendekeza uwongo na propaganda

    MIMI ni tunda la Azimio la Arusha. Chini ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kupitia Azimio hilo, tulijenga taifa kwa sera ya Ujamaa na Kujitegemea. Ujamaa ulishindwa, lakini katika kujitegemea tulipiga hatua kubwa. Natetea hoja yangu kama ifuatavyo; Kwanza, tulijitegemea kifikra na...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Sasa ni muda muafaka wa maridhiano Tanzania

    Maridhiano ni muhimu sana baada ya zile vurugu za Oktoba 29. Mjumbe wa Jumuiya ya madola-Chakwera yupo nchini kutafuta maridhiano. Isije kutokea upande wowote ukakwamisha maridhino kwa tamaa ya madaraka. Pia, isije kutokea Lisu akabezwa kukubali maridhiano. Hii ni kwa sababu huu mkwamo...
  5. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, Dkt. Lazarus Chakwera ni Mjumbe Sahihi kuongoza maridhiano Tanzania baada ya Uchaguzi?

    Hivi kiongozi aliyeshindwa kusimamia mageuzi na uwajibikaji nchini kwake anaweza kweli kuongoza upatanishi nchini Tanzania? Jumuiya ya Madola (Commonwealth) imemteua aliyekuwa Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, kuongoza jitihada za maridhiano nchini Tanzania. Hata hivyo, rekodi yake ya uongozi...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Bagonza: Mazingira ya sasa hayaruhusu maridhiano ya kweli bila uwajibikaji

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, amesema mazingira ya sasa nchini hayaruhusu mazungumzo ya maridhiano kufanyika moja kwa moja kwa sababu bado hakuna uaminifu wa kutosha, mfumo wa kuaminika, wala dhamira ya wazi ya kukiri makosa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ni kati yao na nani?

    JF Haya maridhiano ya Nchimbi ni kati ya yao na vyama vya siasa au wananchi ? Naomba majibu
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini uwezekano wa yanayoitwa maridhiano Tanzania ya sasa ni mdogo sana?

    Ukiafuatilia kinachoitwa maridhiano utagundua uwezekano wa jambo hilo kwa Tanzania ni mdogo sana kwa sababu hakuna aliye tayari kwa hayo maridhiano. Ili maridhiano yawezekane Tanzania CCM itabidi kwanza ikubali mambo kadhaa kama sita yaliyo muhimu ambayo kwa uhakika uwezekano wa CCM kukubali ni...
  9. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Mnaozungumzia masuala ya maridhiano, mmetumwa na nani?

    Baada ya internet kuwashwa , baadhi ya watu maarufu kama ndumi la kuwili Boniface mwabakusi raisi wa TLS, na wengine wengi wameanza kuibuka na hoja za maridhiano ya kitaifa? Swali langu kwenu nyinyi vichwa nazi, hayo maridhiano yenu mnataka yafanyike baina ya nani na nani? Na kwa faida ya nani...
Back
Top Bottom