maridhiano baada ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. political monger senior

    JamiiForums Tanzania Marekani inataka maridhiano baina ya Serikali na vyama vya upinzani

    Bunge la Seneti la Marekani limetaka kuanza kwa mazungumzo ya maridhiano kati ya Serikali inayoongozwa na CCM na vyama vya upinzani, ikiwa ni sehemu ya mapitio ya uhusiano wa Kidiplomasia kati ya Marekani na Tanzania. Sharti hilo limejumuishwa katika fasili B(4) ya kifungu cha saba cha Muswada...
  2. Egnecious

    JamiiForums Tanzania CHADEMA nendeni kwenye maridhiano ndipo mdai Katiba Mpya

    MNYIKA unadai Bajeti ya katika mpya kwenye Serikali Ipi? nyinyi hamuitambui Serikali lakini mnataka bajeti iweke takwa lenu,kwanza mnachopaswa ni kuitambua Serikali halali ya awamu ya sita kisha mkae chini kwenye maridhiano haya mengine yote yatafanyika ama lah endeleeni na siasa zenu za...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Msigwa na jinsi upepo ulivyo hapa kuna maridhiano kweli?

    Wakuu, Natafakari tu. Juzi tulimsikia Msigwa akisema plain and open kuwa hakuna mtu atakayelazimishwa kuingia kwenye maridhiano. Hii kauli ya Msigwa haitofautiani sana na zile kauli walizokuwa wakitoa CCM kipindi kile cha Uchaguzi. Walikuwa wanasema kabisa kwamba kama CHADEMA hawataki...
Back
Top Bottom