marekani

  1. JamiiForums Tanzania Ndege za mbili za Marekani zatimuliwa baada ya kutaka kuingia eneo la Urusi

    Ndege za Marekani mbili zatimuliwa kama mbwa koko baada ya kuingia kwenye anga la Urusi. Kwa dharau mrusi akatuma ndege moja kuzifusha ndege za mbili Marekani. Ndege iliyotumwa ni aina ile ile ya ndege iliyotumika kuangusha drone ya Marekani huko black sea. ======== Russia’s defence ministry...
  2. JamiiForums Tanzania Leo ni miaka 20 imepita tangu Marekani na Uingereza waivamie Iraq na kuivunja nchi hiyo mazima. Je, wataweza kuivunja Urusi vipande vipande?

    Miaka 20 ilopita, Marekani na washirika wake akiwemo Uingereza waliivamia nchi ya Iraq baada ya kushindwa kulishawishi baraza la usalama la Umoja wa Mataifa. Marekani na Uingereza walishindwa kulishawishi baraza la usalama la umoja wa mataifa kuweka azimio au "resolution" la kuwawezesha kuwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani kutomruhusu Zelensky kukubali mpango wa amani wa China

    Msemaji wa Ikulu ya Marekani John Kirby anasema kwa vile Ukraine ni taifa huru, huru na linalojitawala kikamilifu, Marekani haitamruhusu Rais Zelenskyy kukubali mipango yoyote ya amani iliyopendekezwa na ujumbe wa China mjini Moscow wiki hii. John kirby bado ameelezea kuwa kuwa maamuzi yoyote...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Donald Trump kukamatwa Jumanne ijayo? Awataka Wamarekani (Republicans) kuanzisha Maandamano nchi nzima, Elon Musk atoa neno

    Kwenye Mtandao wake wa Truth Social, Donald Trump kapost hii habari. Wakati huoo huko Twitter, Elon Musk katoa neno. Democrats hawana Tofauti na Msoga Gang kabisa.
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia amegusa mioyo ya Wamarekani - Balozi wa Marekani, Tanzania

    Marekani imeahidi kuendelea kuiunga mkono Tanzania katika kuimarisha uchumi na maendeleo ya wananchi kwa kutoa fedha na ujuzi pamoja na kuvutia uwekezaji kupitia ubia kati ya sekta ya umma na binafsi. Ahadi hiyo imetolewa na Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania, Michael Battle alipokutana na...
  6. JamiiForums Tanzania Marubani wa Urusi watatunukiwa tuzo baada ya tukio la kuzuia ndege zisizo na rubani za Marekani

    Marubani wa ndege za Urusi ambazo zilifanya jitihada za kutambua ndege isiyo na rubani ya Marekani iliyokuwa ikifanya kazi ya upelelezi kwenye Bahari Nyeusi wameteuliwa na kupewa tuzo za heshima, Wizara ya Ulinzi ilitangaza Ijumaa. Waziri wa Ulinzi wa Urusi Sergey Shoigu "amewapa tuzo ya...
  7. JamiiForums Tanzania Uingereza: Mawaziri wapigwa marufuku kutumia TikTok katika simu za ofisi

    Uamuzi huo umetajwa kuwa ni kwa sababu za kiusalama, Serikali ikiamini kuwa taarifa za muhimu zinaweza kuchukuliwa na Serikali ya China Mwakilishi wa Baraza la Mawaziri, Oliver Dowden amesema hiyo ni tahadhari. TikTok imekanusha vikali madai kuwa imekuwa ikitoa taarifa za wateja wake kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani yasema hawatoweza kuipata droni yao kwani Urusi imewahi eneo la tukio

    Mwandishi wa ABC News amewanakili maafisa wawili wa Pentagon wakisema kuiokoa droni yao iliyomwagiwa mafuta na hatimae kuanguka huko bahari nyeusi itakuwa shida kwani Urusi tayari imeshafika na meli zao kuitafuta droni hiyo. Mwanzoni mnadhimu mkuu wa majeshi ya Marekani generali Mark Milley...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Marekani ndio Mhujumu wa mstari mwekundu wa uhusiano kati ya China na Marekani

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China Qin Gang hivi karibuni alisema mtazamo na maoni ya Marekani kuhusu China yamepotoshwa sana, na uhusiano kati ya nchi hizo mbili una hatari ya “kuacha njia”. Kabla ya hapo, rais Xi Jinping wa China naye pia aliitaja Marekani moja kwa moja kwa kuikandamiza China...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kusafirisha parcel kutoka Marekani

    Salaam wakuu. Naomba kusaidiwa na yeyote humu ambaye ni mzoefu wa kusafirisha percel kutoka Marekani kuja Tanzania, kwa kutumia makampuni kama DHL na mengineyo hasa napenda kufahamu gharama za kusafirisha simu, ziko mbili kutoka Ohio Cleaveland kuja Tanzania ina gharimu kiasi gani KWA uzoefu...
  11. JamiiForums Tanzania Drone ya Marekani yaaangushwa na ndege vita ya Urusi huko Bahari Nyeusi

    Jeshi la Marekani limethibitisha ndege yao isiyo na ruban (Drone) imeangushwa kwa kugongwa na ndege vita ya Urusi katika Bahari Nyeusi ambako Jeshi la Marekan wanasema drone yao ilikuwa katika eneo la kimataifa!. Ata hivo mjadala umeibuka kuwa drone ilienda kutafuta nini Bahari Nyeusi ambako...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Abdulrahman Kinana uso kwa uso na Balozi wa Marekani nchini

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na Kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani hapa Nchini Tanzania Mhe. Michael Battle, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo Machi 14, 2023. Wamejadili masuala...
  13. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Wahaya, tuache upotoshaji, Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris hana asili ya Kanyigo, Bwanjai wala Kanyangereko

    Baada ya nchi kupata taarifa za ugeni wa Makamu wa Rais wa Marekani, ndugu zetu wahaya wameanza propaganda kwamba huyu mama ana asili ya mkoa wa Kagera, natumia fursa hii kuweka wazi kwamba hana nasaba yoyote na Mkoa wa Kagera.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yaanza kutumia 'soft power' yake kuzuia moto wa kukataa ushoga kushika kasi Afrika

    Baada ya Vladmir Putin kutangaza kuwa Taifa hilo linapinga ndoa za jinsia moja, ilipelekea watu wengi sana wa dunia ya tatu kumuunga mkono licha ya udhalimu wake wa kupeleka majeshi Ukraine kuivamia ardhi ya nchi hiyo ili kupora baadhi ya maeneo. Uungwaji mkono huu wa Vladmir Putin kutoka kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Marekani, Kamala Harris kuitembelea Tanzania

    United States Vice President Kamala Harris will be the 18th and most senior American official to visit Africa this year in late March. The tour to Ghana, Tanzania, and Zambia was scheduled for 25 March to 3 April. This visit will be the most high-profile as the US and Russia go pound-for-pound...
  16. JamiiForums Tanzania Benki za Marekani kufeli ni ishara ya nini?

    Wiki iliyopita Benki ya Marekani Silicon Valley Bank ilipatwa na bank run(watu wengi kutaka kutoa pesa benki kwa pamoja) na kupelekea kufilisika. Tena benki ya pili, Silvergate, imepatwa na kitu kama hicho. Haya mambo yanaashiria nini? Tujipangaje?
  17. JamiiForums Tanzania Ujio wa Makamu wa Rais Kamala Harris nchini Tanzania, mifumo ya ulinzi nchini isiingiliwe na Marekani

    Tunafurahi kwa diplomasia nzuri ya kufungua nchi kwa dunia. Jitihada kubwa inayofanywa na mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kurejesha mahusiano na mataifa mbalimbali hususani ya Magharibi sio ya kubezwa ...ni jitihada kubwa na leadership style ya kipekee ambayo inaleta manufaa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Urusi inavyonyanyasa ulinzi wa anga wa Marekani nchini Ukraine uitwao Patriot Air Defense System

    Wakati Marekani imeamua kupeleka Patriot nchini ukraine ikasemekana kuwa muarobaini wa mashambulizi ya anga ya urusi nchini ukraine umepatikana!! Kumbe hakuna kitu! Patriot ni kama midoli tu mbele ya Kinzhal hypersonic missile system. Russian forces have delivered a massive missile strike on...
  19. JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Marekani akataa mwaliko wa Zelensky kutembelea Ukraine

    SPIKA wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy amekataa mwaliko wa Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy wa kuzuru taifa hilo, CNN imeripoti. Licha ya changamoto za kivita wanazokutana nazo Ukraine kutoka kwa Mrusi, ambazo kimsingi McCarthy alitakiwa kwenda kuziona, kiongozi huyo amesema hana haja...
  20. JamiiForums Tanzania Marekani: Mtoto wa Miaka 6 aliyempiga risasi Mwalimu wake kutoshitakiwa

    Waendesha Mashitaka wamesema Mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi katika Jimbo la Virginia bado mdogo kuweza kutambua masuala ya sheria badala yake wanaangalia nani anaweza kushitakiwa katika tukio hilo. Mwalimu Abigail Zwerner (25) aliyejeruhiwa mkononi na kifuani amefungua mashtaka dhidi ya Shule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…