marekani na ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dogoli kinyamkela

    Waarabu waliwapeleka wapi mababu zetu, mbona leo hatuwaoni uarabuni kama ilivyo Marekani na Ulaya

    Hili ni swali zito la kihistoria, na ni sawa kabisa kuliuliza au kulifikiria mwenyewe. ⚠️Katika uchambuzi wangu wa Leo Hakuna ubaguzi Wala hakuna chuki Bali ni kujifunza ukweli. ⚠️Nitachambua kwa uwazi, bila kuficha wala kuchochea chuki yoyote ili unielewe vizuri,fahamu Kuwa Kuna vitu viwili...
  2. Akilindogosana

    Tume ya uchaguzi wa Tanzania iongozwe na watu wazito toka Marekani na Ulaya tu

    Tume ya uchaguzi wa Tanzania iwe na viongozi wote toka Marekani na Ulaya tu. Wasimamizi wa uchaguzi Kuanzia ngazi ya madiwani, wabunge, kura za Urais viongozi wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo rasmi wawe wanatoka Marekani na Ulaya(Uk, Germany). Mkuu wa Tume ya uchaguzi awe mzungu...
  3. Carlos The Jackal

    Marekani na Ulaya katika kulinda Global Hegemony yao ,wamegundua Njia Pekee ni Kua pamoja na Wananchi , Kwa Sasa Hazitakumbatia Serikali/Rais MUOVU !

    Katika uwanda wa Kidunia, Marekani na Ulaya zilikua zinapoteza Kwa Kasi sana Ushawishi wao hasa Ndani ya Bara la Afrika, Amerika ya Kusini ,Asia . Sababu kubwa ilikua ni Wao Kusimama na Viongozi wanaowapachika, Licha ya Viongozi wao kutokupendwa na Wananchi. Unakuta Kiongozi ni Fisadi, Muuaji...
  4. R

    Marekani na Umoja wa Ulaya (EU) yafikia makubaliano ya 15% ya ushuru wa biashara kati yao

    Marekani imefikia makubaliano ya awali ya kibiashara na Umoja wa Ulaya siku ya July 27,2025, ambapo imeweka ushuru wa kuagiza bidhaa kutoka EU kwa kiwango cha asilimia 15 ikiwa ni nusu ya kiwango kilichokuwa kimetishiwa awali. Hatua iliyosaidia kuepusha vita vikubwa vya kibiashara kati ya...
  5. Carlos The Jackal

    Alipoona Wananchi wanaponda Deni la Taifa 107 T, akaja na janja za Marekani na Ulaya hawafanyi vizuri Uchumi, Mara Mashariti huko nje yameongezeka!!

    Huyu Mama alikua anatuandaa kisaikolojia kuanzia mwaka 2026 tungeanza Kuishi kama Watumwa nchini kwetu. Kavuruga Mahusiano yote na Ulaya , Marekan , Safari za Ulaya Zimekata ghafla. Kwakujua alokua kaupanga kupitia Uchaguzi 2025 , alijua MIKOPO n MISAADA inaenda kusimama. Njia Pekee ikawa ni...
  6. Papaa Mobimba

    Rais Samia: Ulaya na Marekani hawafanyi vizuri kiuchumi kama sisi

    Rais Samia, amesema kwamba licha ya hali tete inayoikumba dunia kwa sasa, Tanzania inafanya vizuri kwa viwango vya kuvutia kiuchumi. Akiwahutubia wananchi wa Simiyu katika ziara yake ya kikazi, Rais Samia alieleza kwa msisitizo hali halisi ya ulimwengu na nafasi ya Tanzania ndani yake...
  7. Carlos The Jackal

    Tetesi: Marekani na Ulaya hazitautambua Uchaguzi Mkuu 2025 ikiwa CHADEMA haitashiriki!!

    Niliandika hapa, Na Sijui kwanini CCM mnashindwa kuzitambua Signals ambazo zinatumwa na Wanademokrasia Duniani. Ipo Wazi, Dunia ya Ujamaa ilishindwa na HAITAKAA kushinda ,Iwe MCHINA kaungana na Urusi, Korea kaskazin, Iran, Venezuela, HAWA HAWAWEZI KUWASHINDA WANADEMOKRASIA. Niliandika Uzi...
  8. Carlos The Jackal

    Marekani na Ulaya ,iongeze Nguvu na Jitihida kuumaliza Ujamaa na Ushawishi wa wakomonisti Afrika ! Urusi, DPRK,Uchina kua Marafiki wa CCM ni HATARI !!

    Utekaji, Mauaji yanayoendelea nchini ni Kwa sababu ya Hakikisho la Uungaji mkono linaloendelea kutoka UCHINA, URUSI, NA DPRRK na Nchi wenye mlengo wa Ujamaa !!. Maana yake nini ? CCM inaenda kua Chama chenye kiburi kikubwa sana kupitia hayo Mataifa, in turn Uranium itaenda Urusi kwa mikataba ya...
  9. Sigonella Island

    Afrika yapongezwa kwa kukataa kua tegemezi wa Marekani na Ulaya

    Nchi za Africa zimefanya chaguo sahihi la kutafuta mshirika wa kiuchumi anayejali na kuheshimu mamlaka za Nchi hizo na kuepukana Ushirika wa Marekani na Ulaya ambao mara nyingi umekua haziheshimu mamlaka za Nchi husika na wamekua wakiingilia siasa na hata kujaribu kushinikiza ajenda zao...
  10. Webabu

    Kiongozi mpya wa chama cha kikristo nchini Ujerumani azitaka nchi za Ulaya zianze kutafuta uhuru wao kutoka Marekani

    Dunia katika miaka hii mitatu iliyopita kufikia sasa imeshuhudia maajabu mengi na vichekesho visivyotarajiwa. Marekani imekuwa bega kwa bega na Urusi katika kutaka vita vya Ukraine visitishwe bila kuguswa kwa Urusi Israel imegaragazwa na Hamas baada ya kutumia nguvu kubwa mpaka inazitaka nchi...
Back
Top Bottom