marefa

Marefa (in Arabic: المعرفة, lit. 'knowledge') is a not-for-profit online encyclopedia project that uses the wiki system to provide a free Arabic encyclopedia similar to Wikipedia. It was set up by Nayel Shafei on February 16, 2007. Sister projects include Manuscript documentation, Sources, Collaborative books, forums, Blogsphere, E-mail accounts (with unlimited storage), Video/Audio library.
In September, 2007, Marefa received 25,000 manuscripts and old books, in Arabic script, from the Government of India. These are scanned images of books stored in and around Osmania University, Hyderabad, India. The books are in Arabic, Persian and Ottoman Turkish. Marefa started the electronic publishing of them, immediately, and made them available for free. University of North Carolina (UNC) puts Marefa as one of top eight sources for Arabic Manuscripts, with notable global cultural centers of Arabic heritage, like, Süleymaniye Library, Istanbul, and Azhar University, Cairo. Middle East Librarian Association recommends the Marefa to its members, and its cited Marefa's receipt of 25,000 Arabic and Persian books and manuscripts from the Government of India.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TFF Toeni tamko juu ua marefa wanaoibeba timu ya simba kila inapocheza mechi

    Hili halina ubishi kwamba msimu huu 2024/2025 marefa wameamua kuibeba timu ya Simba Kila mechi. Hali hii ilianza taratibu na sasa ndio imekuwa kawaida Kila mechi Simba ambayo ni timu choko lazima itafutiwe ushindi wa mchongo au kupewa penati ili tu ionekane imeshinda. TFF badala ya kuchukuwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Endeleeniu kuijadili Yanga badala ya kuboresha vikosi vyenu ila msije kusema GSM ananunua marefa

    Makolo wako busy kuijadili Yanga badala ya ku-focus madhaifu ya timu yao ambayo bado inaendelea kujitafuta na haina uhakika wa matokeo mazuri. Maneno ni mengi ila yote msingi wake ni kujifariji wakijiaminisha Yanga sasa basi na kwamba imeshuka kitu ambacho sio kweli. Wakati wao wako busy...
  3. JamiiForums Tanzania Marefa wanawalea sana Khalid Aucho na Mudathiri yahya mechi ya leo haki itendeke!

    Tunashudia kila mechi khalidi aucha na Mudathiri huingia kwa lengo la kucheza rafu kupiga mateke wachezaji wa timu pinzani marefa huishia kuwapa onyo la mdomo na mwisho hutoa kadi ya manjano baada ya hapo huwaacha wakiendeleza uhuni wao uwanjani badala ya kupiga soka, Naiona tabia hiyo ikizidi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma Jiji na Azam walinyimwa haki na marefa, leo Simba wanalia dhulma waliofurahia!

    Ile penalti waliyopata Simba kule Dodoma haikuwa halali, lakini mwamuzi aliwapa faida kwa kuwapa pointi 3. Timu ya Dodoma ililalamika, na kocha wao, Mexime, alionyesha kutoridhika. Lakini msemaji wa klabu aliwaambia waende TFF kama wana malalamiko zaidi! Mechi dhidi ya Azam kule Zanzibar nayo...
  5. JamiiForums Tanzania Derby ya Kariakoo ichezeshwe na Marefa kutoka nje

    Marefa toka nje wawe wanachezesha derby ya kariakoo,inashangaza marefa wa ndani kurudia makosa yale yale kubeba timu moja.  Sehemu ambayo kadi nyekundu inatakiwa haitolewi,penati zinazostahili zinaminywa kubeba timu flani. Rushwa nje nje, Chama anaingia kupiga foul aliyotengenezewa mazingira.
  6. JamiiForums Tanzania Refa yupi anafaa zaidi achezeshe mechi ya Derby ya Kariakoo ya tarehe 19 Oktaba 2024?

    1. Ramadhan Kayoko 2.Herry Sassi 3.Arajiga. Kwenye hao watatu ningependa Arajiga awe mwamuzi wa kati.
  7. D

    JamiiForums Tanzania CAF Referee training ipo Tanzania. Ila marefa wa Tanzania hawataki kwenda

  8. D

    JamiiForums Tanzania Kwa hawa Marefa ni upuuzi kuangalia NBC Premier League

    I will be short Marefa wanakuja na matokeo yao kutoka nyumbani, every match ni same story, ukimtoa Alajiga, wengine wote wezi tu. Karia kazuia VAR eti watu wajifunze kwanza, in reality anataka kuitumia kampeni ya TFF, VAR zipo mbili hapa Tz. Ila board ya ligi ipo kimya, reasons wanatoa za...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi kama mmepanga Yanga awe bingwa Mara Mia msisumbue watu

    Lile ni bao dhahiri, kama Yanga ndio wangefungwa halaf ndio kichwa kile wamepiga wao lazima ngoma ingewekwa kati, Yanga wasifungwe au kutoa sare wao nani
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mamelodi anabebwa sana na marefa, hii faulo wangeifanya Yanga, wangepewa kadi nyekundu. ndio maana kuna Petition za mamelodi kubebwa bebwa

    VAR ililetwa kwa ajili ya kuzionea timu zetu tu. sababu hazina majina makubwa. Caf wanapenda sana kumbeba mamelodi. sababu bosi wao rais wa caf ndie mmiliki wa mamelodi Sheria za mpira zinasema mtu wa mwisho akifanya rafu ni kadi nyekundu. ila kwa mamelodi hata VAR haijajisumbua kucheki...
  11. JamiiForums Tanzania Simba acheni ujinga wenu wa kujificha kwenye kichaka cha refa Kayoko, nyie ndio timu iliyofaidika na marefa kuliko yeyote kwenye ligi

    Ni aibu na ajabu Kuona mashabiki na viongozi wa Simba eti wanamlaumu Kayoko kawabeba Azam!!? Ni kichekesho Cha mwaka hiki sijawahi ona wapumbavu kama hawa watu! Simba ndiyo timu iliyochukua point nyingi za kubebwa kwenye ligi kuu kutoka kwa MAREFA kina Tatu Malogo, rejea mechi ya Prison, KMC...
  12. JamiiForums Tanzania Marefa na mashindano ya AFCON 2024.

    Huyu referee anayechezesha pambano la Congo DR na Morocco ni muungwana sana. Wachezaju wa Morocco wakiwa wanatoka anawasindikiza anawaambia wasikimbie wasije wakaanguka wakaumia. Naona mzozo mchezaji mmoja wa Congo kaamua kumchana referee kuwa inaonekana ana..... Na Morocco wamekasirika sana...
  13. JamiiForums Tanzania Simba hii michezo mliyoanza ya kuhonga marefa ili mshinde mechi itawapalia muda si mrefu, mmeanza wengine watamaliza na pasiwepo kelele!

    Naona Tanzania inayo safari ndefu katika nyanja ya waamuzi na mpira wa kitanzania kiujumla, mechi ya Leo imeonyesha ni wapi tunaelekea na klabu kinachokwenda kuiwakilisha nchi kimataifa! Mpaka Sasa sijaelewa mwamuzi alikataaje goli la singida na kuamuru kuwa ni offside, ukirejea kuangalia...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Leo Mzee Kikwete ametimiza miaka 73; wanasiasa wa CCM na Upinzani nawakumbusha kumtakia maisha marefu

    Mhe. Kikwete amewaleta kwenye uwanja wa siasa vijana na wazee wengi wanaongara leo. Lakini wasipokumbishwa kumtakia happybithday huyu father may be wanaweza kupotezea. Sisi jukumu letu nikuwakumbusha kuandika hata KINAFIKI kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii kwamba mzee kazaliwa. Naona...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania Tuna ligi nzuri ila haina Marefa

    Ukisikia penye miti hakuna wajenzi ndo hii ligi yetu ya bongo. Sijui marefa wamesomea wapi? Sishangai sana maana hata mechi za.kimataifa huwa hawaitwi. Ni ueledi mdogo..milungura au huwa wanchezesha kwa maelekezo kutoka juu? Tukubamali ligi yetu ina matatizo makubwa sana upande wa referees...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Rushwa kwa marefa, TFF mpo wapi?

    Rushwa tunaona kwenye hii ya singida na simba. Inaenda kushusha adhi ya ligi yetu. Refa asipochukuliwa amna maana ya kuwa ligi bora. Shameful shameful shameful, tunaomba huyu refa achunguzwe rushwa . Ligi inakuwq kama ligi ya kenya . Fifa wataishusha. Yellow card Simba 0 singida 7 Refa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Marefa wa bongo hovyo sana

    Refa amekataa goli halali kabisa la singida big stars dhidi ya coastal union. TFF fungieni hawa marefa wanaharibu sana ligi.
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini marefa wa Kitanzania hawaheshimiki kimataifa?

    Inaniuma sana kuona licha ya kuwa na ligi inayotajwa kuwa miongoni mwa ligi bora afrika lakini marefa wa hapa nchini hawajapata nafasi ya kuchezesha kimataifa. Tumekuwa na mashindano mengi hapa juzi kati lakini kama nchi hatujapeleka refa hata mmoja kulikuwa na chan, watoto wa kike kule India...
  19. JamiiForums Tanzania Posho za marefa Ligi kuu ni huzuni

    Mwamuzi wa Ligi Kuu anapokuwa kwenye mechi, inaelezwa analipwa kati ya Sh 300,000 hadi 350,000 kwa mechi, pesa ambayo inajumlisha nauli ya kutoka anakoishi kufika kwenye kituo cha kazi na gharama za malazi na chakula. 🗣 Ukipiga hesabu kwa haraka haraka, pesa ya posho kwa mwamuzi wa Ligi Kuu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kwa TFF, Marefa wa kike wanaharibu mpira

    Ukiangalia michezo ya ligi inayoendelea nchini ikichezeshwa na marefa wanawake mtaniunga mkono. Ukweli marefa hawa wanashindwa kabisa kusimamia zile Sheria 17 uwanjani na wamegeuka kuwa sehemu ya wasababisha makosa. TFF iachane nao na Kama bado wanawahitaji wapewe mechi za madaraka ya chini ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…