marasta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Marasta ni wapigania Uhuru, nafuata nyayo za mashujaa

    Rastas ni freedom fighters. Waammbie wasikilize Bob watajua kwanini nina rasta. Na wasome Historia ya Maumau. Tunafuata nyayo za Dedan Kimathi nyayo za mashujaa, sio za wanaopokea vipande thelathini vya fedha. Mau Mau walikiiwa ni vuguvugu la kupinga ukoloni wa Uingereza nchini Kenya, hasa...
  2. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Jamii ya marasta wa Kenya waenda Mahakamani kudai bangi ihalalishwe

    Link hii hapa ifuatie mwenyewe:- https://www.instagram.com/reel/Da0i0W-oQ2V/?igsh=Z25sMmNyNnY5cDFo
  3. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Leo ninajadili na maRasta: Je? Ulaji wa wadudu kama panzi, senene na mchwa ni sehemu ya ital?

    Wa gwaan, Jah Rastafarai, Selasie I King. Wakush mpo? Ni amanii? Swali hili linawahusu pia ma-vegetariano (sio ma-vegan), watu wote ambao kwa sababu zao na za ki-maadili hawali wanyama (ila wanatumia bidhaa zao kiasi) naomba wote mnijibu lakini haswa hawa marasta. Kulingana na kanuni za ulaji...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Marasta wana siri gani?

    Kuna siri gani kwa marasta. Mbona wanapendwa sana na mademu?licha ya wengi kuwa wachafu na maskini lakini wanawake wakila aina wanawashobokea. Nipeni siri
Back
Top Bottom