mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mgodi wa GGML waaanza kutumia umeme wa gridi ya Taifa. Sasa watatumia Umeme wa TANESCO badala ya Mafuta

    MGODI WA GGM WAANZA KUTUMIA UMEME WA GRIDI BADALA YA MAFUTA 📌 Dkt.Biteko azindua kituo cha kupoza umeme cha GGM (MW 34) 📌 Asema kitaongeza mapato ya mgodi kwa Serikali 📌 Aipongeza GGM kuzipa kipaumbele kampuni za kizawa 📌 TANESCO kuingiza mapato ya sh.Bilioni 2 hadi 3 kwa mwezi Naibu Waziri...
  2. JamiiForums Tanzania Wakuu naumwa korodani ile mbaya ila kila wakipima hamna kitu mara ultra sound hamna ? Lakini nina uhakika kitu kipo ila wao ndo hawaoni

    Wakuu nasumbuliwa na korodani lakin kila nikienda hospital hawaonj. Wanaishia kupiga ultra sound na kunipa ant pain. Lqkin mm naamini ugonjwa upo maana tqtzo lilianzaga na UTI. baadae ikafika kwa korodan. lakin UTI ilipona ila hizi ndude had leo zinauma
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wenye akili ndogo mara nyingi hufa mapema?

    Najaribu kufikiria kwa sauti au kwaza kwa sauti. Mara nyingi watu wenye akili kisoda/finyu huwa wanakifa mapema sana. Au kwa kuwa huwa hawatumii akili katika masmuzi yao wanaongozwa na emotions na kumuogopa kila mtu kwa inferiority complexes zao. Angali wafuato. Jpm kafa ghafla na mapema mno...
  4. JamiiForums Tanzania We kijana acha punyeto na kusagana mara moja, tabia mbaya alaa..

    Nazungumzo na wewe ambae unatoka bafuni kupiga punyeto usirudie tena sawa? Na wewe unaejiandaa kwenda kupiga punyeto bafuni acha hiyo ujinga bana.. Na nyie mliomaliza kusagana hapo, tafadhali msirudie tena huo uchafu. Sikia, nyie mabinti mnataka kuanza kufanya nini hapo, embu acheni huo...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Serikali imeleta mtaala butu SHULENI Usiotekelezeka nashauri uondolewe mara moja

    Huu mtaala ni mzuri kuuangalia na kuusimulia lakini utekelezeaji wake ni mgumu na hauwezekani katika mazingira yetu Walimu ambao sisi ndo wadau wakuu wa elimu hatukushirikishwa labda tusingekuwa hapa 1. Vitabu mpaka Leo mwaka unaenda KUISHA havipo mashuleni hasa kwa shule za msingi 2. Mtoto...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Boss kaniomba msamaha kaniambia "l'm sorry you can't continue work with us" Kwisha!

    Habari za mchana huu. Leo nimeshangaa sana Yani boss aniombe msamaha kumbe ana jambo lake haya maisha.
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini kuwa na mahusiano ya kimapenzi kazini mara nyingi huwa hakuepukiki?

    Nimekuwa nikisoma na kufuatilia baadhi ya visa vya kweli katika vitabu na mitandao ya kijamii vinavyohusu mahusiano na ndoa kuvunjika na moja ya sababu zinazosababisha kutokea hayo ni Mahali pa kazi. Wake kwa waume wamekuwa wakilalamika kuachwa na mtu wake kwa sababu ya mfanyakazi mwenzie...
  8. JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi aapishwa kuwa Rais wa TLS. Aanza kazi rasmi

    Wakili Mwabukusi aapishwa rasmi kuwa Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika. Wakili Boniface Mwabukusi ataendesha chama cha Wanasheria Tanganyika kwa Miaka mitatu. Uapisho huo umefanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma. Wakili Boniface Mwabukusi alitangazwa kuwa Mshindi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba hili la Treni ya SGR kupatwa na Hitilafu za mara kwa mara za Bundi na Ngedere liwekwe katika Michezo ya Kubeti ili tuwe tunapiga Hela

    Manake naona sasa kila Siku tu lazima kuna Taarifa ya Treni ya SGR Kukwama njiani. Iwekwe katika Kubeti tule Fedha.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Wafahamu kwa majina na picha Viongozi wakuu wa magaidi wa Hamas waliopo hai sasa, wamenusurika mara kadhaa kuuawa. Unatoa ushauri upi kwa MOSSAD

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeona ni vema tukawajua angalao kwa ufupi tu Viongozi wakuu wa magaidi wa hamas wakiosalia hai hadi leo Agosti 1/2024 Hawa ndiyo Viongozi wakuu wa magaidi wa hamas waliopo hai leo hii huku msako mkali ukiendelea dhidi yao Wengi wao wamenusurika kimaajabu majaribio...
  11. JamiiForums Tanzania Nawaonya vijana wa leo mnaofungua makanisa kila kukicha acheni mara moja kama hamna wito, Injili sio biashara.

    Naandika Uzi huu moyo wangu ukibubujikwa na machozi. Kuna vitu vinafanyika kwenye madhabahu mpaka mtu unaogopa, na huhitaji PhD Ili kujua wengi wa hawa leo waliojipa unabii ambao sina hakika hata kama walipitia kwenye vyuo vya biblia wakapikwa wakapikika. Sio mavazi wanayovaa, si lugha...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Mkoa wa Mara wana Mwenge wao Tofauti na Mwenge wa Uhuru?

    Mkuu wa Mkoa wa Mara amewakaribisha viongozi, watendaji na wananchi wote kushiriki katika maadhimisho ya miaka 60 ya Mwenge wa Mwitongo yatakayofanyika nyumbani kwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mwitongo tarehe 1 Agosti, 2024. Mwenge wa Mwitongo ni mwenge wa Kabila la Wazanaki...
  13. JamiiForums Tanzania Watakaojiandikisha kuwa wapiga kura zaidi ya mara moja kufungwa jela miezi sita

    Wananchi watakaofanya udanganyifu ili wajiandikishe zaidi ya mara moja wanatenda kosa na wakibainika wanaweza kufungwa jela kifungo kisichopungua miezi sita na kulipa faini. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele leo Julai 25, 2024 wakati...
  14. JamiiForums Tanzania Unakula mara ngapi kwa siku?

    Eti, Unakula chakula mara ngapi kwa siku.
  15. W

    JamiiForums Tanzania Mara nyingi wanawake hawaoini kuna tatizo na huzoeana kama mabesti na gays, hii imechangia sana kundi kubwa la gays kuwa watoto wa single mothers.

    wanawake wengi wanaona hakuna tatizo lolote kwa mwanaume kushiriki ama kuwa na viashiria vya mapenzi ya jinsia moja, kwao huchukulia ni sawa tu.. Tumeshajionea mpaka mitandaoni wanaume wanacheza vigodoro na wanasifiwa sana na wanawake, wanawake hawaoni kuna tatizo lolote. Mwanaume anavaa...
  16. JamiiForums Tanzania Umeme wafika Kisiwani Chole kwa mara ya kwanza toka uhuru

    uhuru dar24.comJul 21, 2024 5:14 AM Shirika la Umeme Tanzania – TANESCO, Mkoa wa Pwani limefanikiwa kufikisha Umeme katika kisiwa cha Chole kilichopo Wilayani Mafia, ambacho hakijawai kuwekwa Umeme tangu uhuru kwa kuupitisha chini ya Bahari. Akizungumza na Waandishi wa Habari wakati Meneja wa...
  17. JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho kukutana na huyu Mwanamke ilikuwa mwaka 2022 mwezi wa saba leo hii ananiambia ana mimba yangu ya miezi mitano

    Wataalamu wa afya ya uzazi mliopo humu hii inawezekanaje yaani huyu mtu kanitia stress binafsi nimekataa.
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia, muondoe mara moja Nape kwenye Baraza lako la mawaziri. 4Rs unazozihubiri zinaonekana ni utapeli wa kisiasa.

    Kwa maneno aliyoyazungumza waziri wa habari Nape Nhauye wakati akiongea na wanaccm huko Bukoba mkoani Kagera ni ishara tosha nchi hii inaongozwa na wahuni. Waziri mzima tena mkuu wa wizara ya habari unaongea ujinga mbele ya watu wazima. Tume ya uchaguzi inapewa pesa nyingi Kila mwaka kuhakikisha...
  19. JamiiForums Tanzania Ziara ya Siku 3 tu na Mafua juu mwakani kutakuwa na Ziara Mikoa yote na Vijiji Laki Saba na Ishirini je, utaweza kwa Mafua haya ya mara kwa mara?

    Hili Swali langu hapa nawauliza hawa Marafiki zangu akina Arovera, Bila bila, adriz na Bujibuji Simba Nyamaume Oky?
  20. JamiiForums Tanzania Je, kuna athari zozote mtu kuoga mara kwa mara?

    Kuoga ni sehemu ya muhimu sana katika maisha ya binadamu, baadhi imekuwa ni kama ibada au kujitwaharisha. Wapo wanaopenda kuoga kuendana na mtindo wao wa maisha, mara moja kwa siku au mara moja kwa siku tatu, na kadhalika. Swali langu ni hili, Je kuna madhara yoyote endapo mtu akioga mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…