Leo, baada ya muda usio na jina, nimelala mchana...nikaona uuuuuuf...mwili unasema "shukrani"
Si afya kutokutuliza akili, nafsi na mwili. Hata hivyo kuna wakati hauna jinsi, nami nimekuwa kwenye "hakuna jinsi" kwa muda usio na jina, na huu mwezi uliopita ilikuwa kama kupita kwenye tanuri...
Tutaongea yote ila mara ya mwisho Tanzania kuwa na uchaguzi mkuu au serikali za mitaa ni mwaka 2015.
Kumuhusudu na kumkubali aliyesababisha hali hii yote ya sasa huku unamlaani na kumkosoa mrithi na mwanafunzi wake ni sawa na kuchanganyikiwa na kuwa bumunda.
Mimi ni Mkazi wa Kimara Kilungule kwa Mkua. Kero yangu inahusu DAWASA mara ya mwisho maji kutoka ilikuwa tarehe 30/10/2025.
Je, ni kwamba hii mamlaka imetusahau kabisa? Maana tuliambiwa mgao wa maji umeisha tumesubiria lakini wapi, je hii huduma kwetu ndiyo basi?
Napata tabu sana nanunua ndoo...
Anonymous (c723)
Thread
dawasa
kilungule
kimara
maji
maji ya dawasa
maramarayamwishomwisho
oktoba
yamwisho
Yule bar maid ameniachia gundu kusema ukweli aisee kwanza alikuwa na shape amejazia kwenye hips aisee si mnene ni model fulani hivi ila alikuwa amejazia kwenye hips aisee yule bar maid tulienjoy sana malavi davi mpaka nilikuwa dau ya zaidi ya lile tulioahidiana aisee na sijui yule mmasai mapenzi...
Nimsikiliza Samia kwa umakini mkubwa lakini naomba nimwambie kuwa amemwaga petrol kwenye Moto.
Tanzania sio kisiwa
Tanzania haina uwezo wa kuzalisha na kujiuzia na kujitegemea Kama ilivyo Urusi na uchina
Tanzania sio kisiwa utalii peke yake unatengeneza trion 10 kwa mwaka.
Tuna import karibu...
Wewe kijana unayehonga fedha zako kwa wadada/wamama, siku ya mwisho kula peke yako kuku mzima wa kienyeji aliyechomwa ilikuwa lini?
Kama hukumbuki au hujawahi, chukua hatua mapema, jipende kwanza vingine vitakuja kwa ziada.
Kama umezaliwa kuja kutatua kero za hao wadada/wamama, kazi kwako...
Kwema wakuu.
KUNA MAMBO HUTOKEA maishani yanapelekea tutokwe machozi ya huzuni,furaha na hata hasira.
Wengine huenda mbali sio tu kutokwa machozi, wao wanabubujikwa machozi wanalia haswa. Ajali ya leo iliyotokea Same imenihuzunisha sana, sana nimejikuta natokwa machozi automatically...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.