mapinduzi zanzibar

The Mapinduzi Cup is a top knockout football tournament in Zanzibar. Mapinduzi means Revolution in swahili, in recognition of the Zanzibar Revolution. The Mapinduzi Cup is a tournament created by the Zanzibar Football Federation to commemorate Zanzibar's Revolution day which is marked annually on 12 January.
The defending champions are the Zanzibar national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. Inside10

    JamiiForums Tanzania Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari

    Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haiwezi kugharamia matibabu kwa Watu wasio Wazanzibar. Saada ametoa kauli hiyo Juni 8, 2026 wakati akijibu hoja kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar kupitia vikao vinavyoendelea vya kujadili bajeti...
  2. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Kombe la mapinduzi Zanzibar ni jeuri, dharau au kutojielewa kwa waandaaji?

    Waliitisha press, wakasema kombe la mapinduzi kuanzia Sasa ni la kimataifa, wakimanisha zitakazo shindana ni nchi na nchi, sio klabu za kawaida. Tukasema sawa, akaitwa Burkina Faso, Uganda, Kenya, Burundi japo wengine walilikataa wakajitoa, haya likafanyika, Zanzibar heroes sijui ni nchi ya...
  3. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kwanini Abeid Amani Karume alimtimua John Okello "Empty Handed" licha ya kumsaidia kufanya Mapinduzi ya kumtoa Sultan?

    Katika watu wanaotajwa kuchangia pakubwa kwenye mapinduzi ya Zanzibar ya January 12,1964 ni John Okello kutoka Uganda akiwa Kijana wa umri mdogo wa miaka 29. Yeye pamoja na wanamaponduzi wenzie kama Mohammed Babu na Hanga walijitolea kumfurusha Sultan na kisha Kuwapa nafasi kina Abeid Amani...
Back
Top Bottom