mapigano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani

    Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani. Uhusiano kati ya Pakistan na Afghanistan umekuwa wa mashaka kwa miongo mingi, lakini hivi karibuni hali imechafuka zaidi kutokana na sababu kadhaa za kiusalama na...
  2. The Zanzibar Echo

    Zelensky apinga kulitoa jimbo la Donbas huku Warusi wanasonga mbele na mapigano

    Rais Volodymyr Zelensky amesema Ukraine itakataa pendekezo lolote la Urusi la kulitoa eneo la Donbas kama sharti la kusitishwa kwa mapigano, akionya kuwa linaweza kutumika kama chachu ya mashambulizi ya siku zijazo. Zelensky alikuwa akizungumza kabla ya mkutano kati ya Rais wa Marekani Donald...
  3. R

    Tumaini la amani DRC baada ya Serikali na M23 Kusaini Mkataba wa awali Usitishaji Mapigano

    Baada ya miaka mingi ya machafuko na maelfu ya raia kutawanywa makwao, tumaini jipya limeanza kuchomoza mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Serikali ya Kongo imefikia makubaliano ya awali na waasi wa M23 – kundi ambalo mara kwa mara limekuwa likituhumiwa kupata msaada kutoka...
  4. The Zanzibar Echo

    Hamas inashauriana na vikundi vingine vya Palestina juu ya mpango wa kusitisha mapigano

    Hamas inasema inashauriana na makundi mengine ya Wapalestina kabla ya kutoa jibu rasmi kwa pendekezo la hivi punde la usitishaji vita upya huko Gaza na kuachiliwa kwa mateka lililotolewa na Marekani. Rais Donald Trump alisema Ijumaa asubuhi kwamba alitarajia kujua ndani ya saa 24 ikiwa Hamas...
  5. The Zanzibar Echo

    Serikali yaamriwa kufanya maamuzi haraka kesi ya Lissu

    Serikali imeamriwa kutoa uamuzi haraka katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu. Wakati wa kutajwa kwa kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam, ilisema kuna haja ya uamuzi wa haraka kufanywa kama kuna ushahidi wa kutosha kumshtaki Lissu au kama...
  6. The Zanzibar Echo

    Israel imekubali masharti ya kusitisha mapigano Gaza kwa siku 60 - Trump

    srael imekubali masharti ya kusitisha mapigano Gaza kwa siku 60, Trump anasema Israel imekubali "masharti ya lazima" ili kukamilisha usitishaji vita wa siku 60 huko Gaza, Rais wa Marekani Donald Trump amesema. Wakati wa makubaliano yaliyopendekezwa, "tutafanya kazi na pande zote kumaliza...
  7. The Zanzibar Echo

    Iran yatoa Masharti, wakati Trump akidai kusitishwa kwa mapigano

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Seyed Abbas Araghchi, ameweka ujumbe hivi karibuni kwenye mtandao wa X akisema kwamba ikiwa Israel itaacha "uchokozi usio halali" Iran "haina nia ya kuendelea kujibu". Araghchi alisema Israel lazima isitishe mapigano ifikapo 04:00 saa za eneo, ambayo imepita...
  8. The Zanzibar Echo

    Israel yakubali kusitisha mapigano na Iran

    Serikali ya Israel inasema imekubali pendekezo la Donald Trump la kusitisha mapigano. Katika taarifa, Israel inasema: "itajibu kwa nguvu kwa ukiukaji wowote wa usitishaji mapigano." Serikali ya Israel inasema ilikubali pendekezo la kusitisha mapigano baada ya "kufikia malengo" ya mashambulizi...
  9. The Zanzibar Echo

    Israel-Iran: Tunachokijua kuhusu usitishwaji mapigano uliopendekezwa na Trump

    Hatua ya "usitishaji mapigano sasa imeanza kutekelezwa. Tafadhali isikiukwe," aliandika Rais wa Marekani Donald Trump katika ujumbe uliochapishwa Jumanne kwenye jukwaa la mitandao yake ya kijamii la Truth Social. Kulingana na ujumbe wa Rais wa Marekani, usitishwaji mapigano kati ya Iran na...
  10. Echolima1

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo litapigia kura azimio la kutaka kusitishwa mara moja kwa mapigano huko Gaza

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo litapigia kura azimio la kutakao kusitishwa mara moja kwa mapigano huko Gaza. Azimio hilo haliwekei masharti ya kusitisha mapigano kwa kuachiliwa kwa mateka waliosalia. Kwa maneno mengine, inawaacha Hamas madarakani, wakiwa na silaha, na kuwashikilia...
  11. Echolima1

    Russia yatoa Masharti ya kusitisha mapigano huko Ukraine!!!

    Utambuzi wa kuingizwa kwa Crimea na mikoa minne, na kukataliwa kwa malipo: maandishi kamili ya "mkataba wa kusitisha mapigano" wa Urusi umefunuliwa. Kulingana na hati hiyo, Urusi inaweka mbele madai yafuatayo: 🔴Kutambuliwa kimataifa kwa mikoa ya Crimea, Donetsk, Luhansk, Kherson, na...
  12. Echolima1

    Nakala kamili ya pendekezo la Witkoff la kusitisha mapigano Gaza na mpango wa kuwaachilia mateka

    Nakala kamili ya pendekezo la Witkoff la kusitisha mapigano Gaza na mpango wa kuwaachilia mateka Yafuatayo ni maandishi ya mjumbe maalum wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati Steve Witkoff pendekezo la kusitisha mapigano Gaza na kuachiliwa kwa mateka mkataba kati ya Israel na Hamas...
  13. Echolima1

    IDF inatangaza Khan Younis yote kuwa eneo la mapigano!!!

    IDF inatangaza Khan Younis yote kuwa eneo la mapigano, raia kuhama haraka kutoka katika eneo hilo. IDF inasema Wapalestina wanaoishi ndani na karibu na mji mkubwa wa kusini wa Gaza wa Khan Younis lazima waondoke makwao inapojiandaa kuanzisha "shambulio ambalo halijawahi kushuhudiwa" katika eneo...
  14. Ritz

    Hamas Kuwaachilia Mateka 9 kwa Mabadilishano ya wafungwa 300 wa Palestina kusitisha mapigano Gaza kwa siku 60

    Wanaukumbi. Afisa mkuu wa Hamas aliiambia CNN Jumapili kwamba kundi hilo liko tayari kuwaachilia mateka saba hadi tisa wa Israeli ili kubadilishana na usitishaji mapigano wa miezi miwili huko Gaza na kuachiliwa kwa wafungwa 300 wa Kipalestina. Mkataba uliopendekezwa pia utahitaji Vikosi vya...
  15. MBOKA NA NGAI

    M23 yaanzisha mapigano tena huko Walikale

    Baada ya serikali ya Doha, kuanzisha njia ya upatanishi kati ya kundi la AFC/M23 na serikali ya DRC, serikali ya Qatar na USA waliiomba M23 kurudi nyuma na kuachia eneo la Walikale, ambalo lina Mgodi mkubwa wa Serikali ya Canada. M23 ilitii agizo hilo, na baada ya kuondoa wanajeshi wake...
  16. Sigonella Island

    Marekani yapoteza ndege ya kuongozea mapigano huko Red Sea (E2 Command and Control)

    Serikali ya Yemen imetangaza kuiangusha ndege ya Marekani ya kuongozea mapigano huko Red Sea, Maafisa wa Pentagon wamesema ndege ilipoteza mawasiliano na Harry S. Truman Aircraft Carrier na wanaendelea na uchunguzi. A Yemeni governmental source told Al-Mayadeen: Houthi targeted E2 command and...
  17. Equation x

    Mapigano ya DRC na M23 yameishia wapi?

    Nakumbuka yalikuwa yamepamba moto, kila chombo cha habari kinawazungumzia wao tu; pamoja na kuonyesha harakati zao katika kuikomboa kongo. Lakini kwa sasa, naona kuna kimya kingi; au wameshaikomboa kongo?
  18. J

    Habari za Kiuchunguzi kuhusu Maelfu ya Askari wa Rwanda waliouawa katika mapigano ya DRC

    .. ..maiti wamekuwa wengi mno, askari wa vyeo vya chini wanazikwa katika mass graves huko DRC. ..miili ya maofisa inayorudishwa Rwanda ina hali mbaya ya kutisha, familia zinalazimishwa kuzika bila kuonyeshwa wapendwa wao. ..Mzee Kagame amekiri "kiaina" katika moja ya hotuba zake alipogusia...
  19. JanguKamaJangu

    Tazama mazishi ya watu waliouawa kwenye mapigano DRC, inasikitisha

    https://www.youtube.com/watch?v=IAOGxEEoKKQ Wahudumu wa Afya wakiendelea na shughuli ya mazishi ya watu waliouawa wakati wa mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yaliyohusisha jeshi la nchi hiyo na Wapiganaji wa Kundi la M23. Mkuu wa ujumbe mdogo wa Shirika la...
  20. SSH2025_2030

    Mapigano Eastern Congo tusiingie kichwa kichwa, tutachafuka

    Kama taifa tusijipeleke kichwa kichwa huko Eastern Congo hawa Rwanda-EAC member (kupitia Banyamulenge M23) wanachota utajiri wa Congo na kwenda kujenga Kigali huku SADC (ikiwemo Tanganyika na SANDF) wanaenda kuuliwa kama kuku huko na EAC (Tanganyika tena) nao wamevamia mtumbwi wa vibwengo bila...
Back
Top Bottom