Tangu nilivyoanza kumpenda huyu mlimbwende wangu, ndani ya siku saba amenawili, anatabasamu zuri, ananukia vizuri, muda wote amekuwa na furaha anionapo mimi.
Leo marafiki zake wakaribu wakamuuliza, mbona mwenzetu unanawili tu na unapendeza? Akashindwa kuwajibu.
Sasa mida hii ndio tunapiga...