mapato

The Natural Gas Revenue Fund (NGRF) is the proposed sovereign wealth fund of Tanzania expected to be launched in October 2014 or February 2015 after the enactment of a bill by the National Assembly. It will manage the revenue accrued from the sale of its natural gas. As of April 2014, Tanzania has a recoverable gas reserve of 43.1 tcf. The fund will be managed by the Bank of Tanzania. However, according to PFC Energy, 25 to 30 trillion cubic feet of recoverable natural gas resources have been discovered in Tanzania since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Serikali isiyohitaji kodi haramu inaposhangilia mapato haramu

    Mamlaka za serikali zimekuwa kero kubwa kwa wananchi. Uliza across the board labda kama wewe ni mlamba asali au familia zao. Kuna hoi hoi na nderemo kuwa zakusanywa 2Tn/- Kwa mwezi. Humo zimo tozo batili zinazoambana na tozo za Mwigulu, faini za yanayoitwa makosa mbalimbali hata ambayo ni...
  2. M

    Mapato ya Utalii Zanzibar ni ya Muungano?

    Je mapato yatokanayo na utalii ZNZ yanagawanywa sawa pande zote za Muungano?
  3. M

    Ubaya wa Hayati JPM ni kudhibiti mianya ya rushwa na kusimamia vyema mapato ya Serikali?

    Watanzanzania sio watoto wadogo. Wanaakili timamu. Tamko lako kuwa wabaya wanakufa na wema wanasurvive lilimlemga mojamoja kwa moja hayati JPM. Kisa cha wewe kumlenga ni kwa sababu alidhibiti mafisadi ? Alihakikisha hakuna mgao wa umeme unaoletwa na January? Alihakikisha kuwa pesa za umma...
  4. Serikali kuvuna 75% ya mapato kitalu cha gesi Ruvuma-Mtwara

    Serikali imeingia makubaliano ya kihistoria ya uzalishaji na ugawaji wa mapato (PSA) kitalu cha gesi cha Ruvuma-Mtwara yenye thamani ya Dola milioni 500, hiyo ikiwa ni miaka saba tangu kubadilishwa kwa sheria ya Petroli mwaka 2015. Kupitia mkataba huo, Serikali itapata faida kwa asilimia 75...
  5. B

    Kwa mara ya kwanza Serikali sasa kupata 75% ya mapato ghafi ya mafuta na gesi

    25 November 2022 January Makamba - Kitalu cha gesi Ruvuma Mtwara, serikali kuvuna 75% ya mapato ghafi Video courtesy of Millard ayo Hayo yamebainisha na waziri wa nishati Mh. January Makamba kufuatia mkataba huo wa kihistoria serikali. Waziri January Makamba anabainisha kuwa huko nyuma...
  6. M

    Dar yaongoza ukusanyaji wa mapato kwa mwaka 2020/21

    Jiji letu la Dar limendelea kuchangia mapato ya taifa kwa zaidi ya asilimia 90 ya makusanyo kama ambavyo imethibitishwa na taarifa ya makusanyo ya mapato kwa mwaka 2020/21
  7. Serikali yafuta Vikosi Kazi vya ukusanyaji mapato TRA

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania, Uledi Mussa amesema Vikosi hivyo vimeondolewa ili kuhakikisha kunakuwa na Haki katika ukusanyaji mapato nchini. Amesema TRA inataka watu walipe Kodi bila Shuruti na hivyo Mamlaka hiyo imeagiza Maofisa wake wakusanye kodi bila...
  8. Arusha na Moshi ndio moyo wa Dar es Salaam, pasipo mapato kutoka hizi sehemu mbili Dar maendeleo yake yangekuwa taabani sana

    ✓Rejea kichwa Cha habari Apo juu Ni ukweli usio pingika imebainika wazi wazi tokea kitambo ( Uhuru) mpaka Hivi Sasa, Mapato mengi Sana yanayo tokana na sekta ya UTALIII yamekuwa yanatolewa upande wa kaskazini mwa TANZANIA yaani kutoka mkoa wa (KILIMANJARO), na (JIJI LA ARUSHA), Kwani sehemu...
  9. P

    Waziri wa Fedha, Tanzania haihitaji kukopa, udhibiti wa mapato yetu uongezwe na wezi wanyongwe!

    Iwapo ripoti za Mkaguzi mkuu wa fedha za serikali CAG ziatakaposoma upigaji 0.001, na pesa haitoshi ktk kuendesha nchi, hapo ndipo twaweza kwenda kukopa Waziri wa fedha unasini mikopo ya bilioni 500, huku upotevu na wizi wa kodi zetu ni zaidi ya bilion 700, maana yake ni nini.? Form four felia...
  10. Ni aibu kubwa kwa taifa lenye rasimali nyingi kama Tanzania kukomalia tozo za line za simu. Bora serikali ijikite kuchimba dhahabu ili kupata mapato.

    Karibu kila eneo la taifa letu limejaliwa kuwa na madini ya kila namna. Dhahabu ndio inapatikana kwa wingi kila mahala hapa nchini. Kama kuna baadhi ya kampuni za kigeni zina migodi ambayo uwekezaji wake haufiki hata bil 200 na wanachimba na kupata faida na pesa nyingi tu. Kwa nini huyu...
  11. Kumbe tozo zililetwa ili kushindana mapato wanayopata mitandao ya simu na mabenki?

    Hebu tuzitafakari hizi kauli mfu za Naibu Spika: Ukizifikiria hizi kauli za Naibu Spika, utagundua ni kama serikali inaona gere kwa mapato wanayopata makampuni ya simu na mabenki kwenye miamala tunayoifanya wananchi. Na ndiyo maana mara ya kwanza kabisa tozo zilipoletwa mwaka jana zilikuwa...
  12. Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano(NICTBB) unaweza kuzalisha mapato kuizidi TANESCO, endapo wanaokwamisha watadhibitiwa.

    Preamble: Fikiria una nyumba 1000, zote zina huduma ya umeme na fiber. Zote zina matumizi ya kawaida ya umeme na fiber. Kwa kawaida gharama ya umeme iko chini kushinda fiber. Nyumba moja inaweza kutumia 20,000/= kwa mwezi kwenye umeme. Kwenye fiber kifurushi cha 50,000/= unlimited kwa mwezi...
  13. A

    DOKEZO Udhaifu katika Mamlaka ya Mapato (TRA) Songwe

    UDHAIFU KATIKA MAMALAKA YA MAPATO YA TRA SONGWE kumekuwa na utendaji KAZI m'bovu wa mamalaka ya ukusanyaji mapato ya TRA songwe Kwa kudai Kodi zaidi ya makadirio yaliyofanywa Kwa mteja. Ni zaidi ya miaka mitatu ya makadirio ya mapato Hali hii inajitokeza Kwa upande wangu Mfano hai ni hili...
  14. Uzi wa kuishauri serikali sehemu ya kupata mapato!

    Kwa vile serikali inahangaika sana ni vipi itapata mapato na kwenda mbali kuweka tozo zinazoumiza wananchi. Nimeona nifungue uzi wa kutoa ushauri ni wapi “Mwigulu” akatafute mapato. 1. Serikali ilikua na mpango wa kuokoa pesa kwa njia ya kukodisha magari kwa viongozi. Huku tutapata pesa nyingi...
  15. Serikali Rasmisha KAZI za wajasariamali wote KWA kugawa vitambulisho kama zamani Ili mkusanye mapato Mengi zaidi KWA mwaka.

    Tozo pekee sio suluhisho la uchumi wetu . Rudisha vitambulisho KWA wajasiria mali,vitambulisho viwe na gredi kutokana na mtaji wa muhusika,yaani ;- Gredi A Wajasiria mali wenye mitaji ya kuanzia milion 100 na kuendelea hao walipe hata laki tatu KWA mwaka!TRA watamuandalia kanuni mpya ya...
  16. C

    Tetesi: Je, mifumo ya Mamlaka ya Mapato (TRA) inachezewa?

    Habari Watanzania, Katika miezi kadhaa sasa, kuna jambo limekuwa likijirudia sana. Jambo hili ni ZITO sana na wala si la kuchukulia mzaha hata kidogo. Jambo lenyewe ni hili: Mfumo wa TRA, hasa TANCIS ambao ndio unaotumiwa na Idara ya Forodha (Customs) kukusanya Mapato ya bidhaa zinazoingizwa...
  17. Naomba kujua mishahara, posho, mafao na kodi wanazokatwa wabunge kwa mapato hayo

    Wadau Nawasalimu, Naomba kujua mishahara posho na mafao wayapatayo wabunge wetu. Sambamba na hilo, naomba kujua kodi wanazokatwa kwenye mishahara posho na mafao yao.
  18. B

    Serikali inajikosesha mapato yenyewe kwenye huduma za maji na umeme.

    Ili liko wako wazi wala situmii nguvu sana kudadavua. Nyumba nyingi kwenye miji na majiji hazina umeme wala maji hata kama huduma iyo imefika eneo hilo na ukiongea na mtu mmoja mmoja izo huduma anazihitaji isipokua ile hela ya mkupuo inakua mtihani kwake. Serikali inakwama wapi kumpelekea...
  19. Mkuu wa Mkoa, unaweza kuongeza chanzo cha mapato kwa kuweka kodi maalum kwa stendi binafsi na mabasi yao

    Naona fursa kwa serikali ya mkoa wa DSM, lakini wao hawaioni. Hizo stendi binafsi zilipiwe tozo, hata kama milioni kadhaa kwa mwaka, na pia mabasi yote ya kampuni husika yalipie ushuru wa stendi ya Mbezi Magufuli, na wakitaka wanalipa in advance. Mchezo umekwisha. Ukiwa na stendi binafsi...
  20. B

    SoC02 Jinsi Serikali inavyoweza kutumia miradi mipya ya kibunifu kuingiza mapato zaidi kuliko kutegemea tozo na kodi zaidi

    Tozo Tozo ni ushuru au kodi ambayo wananchi wanatozwa na serikali. Pia hii ni aina moja wapo ya chanzo cha mapato kwa serikali za sasa hasa zile za ulimwengu wa tatu ambayo pia huchangia maendeleo ya miradi mbalimbali ya serikali kama kujenga hospitali, barabara, shule, mishara na marupurupu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…