Naamini washauri au watu wa karibu na wahusika kwa maana ya serikali, na IGP, wanapita hapa, kwahiyo toa ushauri juu ya hiki kinachoendelea nchini ikiwemo utekaji, watu kupigwa, kuenguliwa kinyemela kwenye uchaguzi n.k
Binafsi maoni yangu; ingekuwa jambo la heshima kama Rais ATAJIUZULU🙏🙏
Ni...