maoni ya wananchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini viongozi wa Tanzania wanapenda ku-appear kwenye media, halafu hawapendi maoni ya wananchi kuwahusu? Je, hawajui wao ni mali ya umma?

    Viongozi ni mali ya umma. Kama wanapenda kuonekana videoni, ni kwanini iwe nongwa kusema chochote kumuhusu, baada ya wewe kumuona kideoni? Kiongozi ukishaonekana kwenye video ni sawa na msanii katoa wimbo mpya, lazima tutataka kukosoa au kupongeza namna utavyocheza ukiwa unaonekana kwenye...
  2. Mwananchi: Musoma ukikutwa kwenye baa usiku unakamatwa. Tuacheni tule pesa msitukamate

    Wakuu, Hebu njooni hapa tujadili huyu jamaa sanamu lake tulijenge wapi === POLISI TUACHENI TULE BATA Haya yamesemwa na miongoni mwa wananchi wa mji wa Musoma katika mkutano wa Mbunge wa Musoma mjini akiwasilisha kazi alizozifanya kipindi Cha siku 100 mara baada ya uchaguzi wa October 29...
  3. Kupuuza maoni ya Wananchi Mtandaoni: Hatua ndogo inayoweza kuigharimu Taifa kubwa

    Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliyochapishwa Julai 2025 inaonyesha kuwa idadi ya watumiaji wa intaneti nchini imefikia milioni 54 kufikia robo ya nne ya Mwaka wa Fedha 2024/2025, hilo ni ongezeko kubwa kutoka milioni 29, Mwaka 2020. Katika kipindi cha miaka minne hiyo...
  4. Birthday ya Kikwete na maoni ya wananchi

    Ridhiwani kapost picha mtandaoni akiwa na babaake na kumtakia birthday njema.. Maoni yaliyofuata ya wananchi yanaumiza na kufikirisha sana
  5. Kwanini serikali ya awamu ya sita haisikilizi kabisa maoni ya wananchi?

    Sijajua kuhusu awamu ya kwanza lakini awamu ya pili ya rais Mwinyi, awamu ya tatu ya Mkapa na awamu ya nne ya Jakaya Kikwete ziliundwa tume za kutosha ili kujibu na kutolea ufafanuzi masuala mbalimbali ya kijamii na mengine kuyaondoa katika utekelezaji ikiwa jamii ilionekana kutoyaunga mkono...
  6. GE2025 Maoni ya Wananchi: Wagombea, toeni ahadi zinazotekelezeka

    Ni sawa na kusema Wagombea sasa washindwe wenyewe! hi ni baada ya wananchi kutoa ushauri kwao kuelekea kipindi cha kampeni. Wakizungumza ndani ya kipindi cha Kijiweni cha Daily News Digital wananchi hao wamewataka wagombea wanaoomba nafasi kwa miaka mitano ijayo kutoa ahadi wanazoweza kutimiza...
  7. P

    PreGE2025 Special Thread: TBT za kauli za wanasiasa zilizobamba na kuzua gumzo kwenye medani za kisiasa

    Wakuu mpo vizuri? Kuna kauli nyingi zimewahi kutolewa kitambo na wanasiasa katika nyakati mbalimbali ambazo baadhi zimekuwa zikijirudia lakini pia nyingine zimetekelezwa kama walivyoziongea hata kama baadhi au wengi wetu yuliona ni za kipuuzi. Tutumie uzi huu kutupia kauli hizo, tukiwa na...
  8. Nimefurahi kuona ushauri wangu wa kutaka kuanzishwa kwa Tanzania Bureau of Investigation kama ilivyo FBI umechukuliwa na unafanyiwa kazi

    Wakuu, Nimeamini watu wa system huwa wanapita humu kuchukua maoni mawili matatu kutoka kwa wananchi. Desemba mwaka jana nilianzisha uzi humu kuomba kuanzishwa kwa Tanzania Bureau of Investigation ambayo itakuwa ni kama FBI yetu ikiwa inajihusisha mambo ya Uchunguzi tu ili kuleta weledi zaidi...
  9. Mitazamo na maoni ya wananchi kuelekea uchaguzi Oktoba 2025

    Habari wakuu, Kutokana na mivutano mbalimbali ya kisisa nchini kuhusiana na uchaguzi Ambapo suala la "no reform no election" sasa limekuwa sio la CHADEMA pekee bali ni la wananchi wote Mdao mmoja uko FESIBUKU ameuliza swali kwa umma likisomeka "UTAPIGA KURA?" Wananchi wameonekana kujibu...
  10. PreGE2025 Maoni ya Wananchi post ya St Bongo Instagram iliyohoji 'Unaonaje hali ya siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu?

    Wakuu, Katika pitapita zangu mjini Instagram nimekutana na hii post ya St Bongo TV inayohoji, Unaonaje hali ya siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu? Na haya ni majibu ya baadhi ya wanamioto
  11. PreGE2025 Video: Maoni ya Wananchi sakata la G55 kuhamia CHAUMMA, mmoja asema 'walizoea kula kwa mirija Lissu na Heche wameikata'

    Wakuu, hapa nimewasogezea video ambayo wananchi wanatoa ya moyoni Sakata zima la waliokuwa viongozi CHADEMA kuhamaia CHAUMMA, ambapo wamewalaumu viongozi hao kukosa msimamo thabiti wa kupigania maslahi ya wananchi bali matumbo yao binafsi
  12. PreGE2025 Maoni ya wananchi, Post ya TBC instagram na Facebook ikihoji 'Una sifa ya kupiga kura?' waapa bila mabadiliko hawapigi kura

    Wakuu Wazee wa mioto kutoka Instagram na Facebook wameruka na post ya TBC iliyouliza Je, una sifa za kupiga kura? Na hizi ndiyo comments zao Na hawa ni wadau wa Facebook wanataka uchaguzi huru na haki
  13. PreGE2025 Rais Samia anasomaga comments? Je, anaujua ukweli? Je, hakuna mtu wa kumwambia ukweli au hajui?

    Aman iwe kwenye watumishi wa MUNGU Ukiachana na ukweli kwamba mama yetu huyu uongozi umememushinda, maana toka aingie madarakan hakuna hata jema moja ambalo kafanya wala kafanikiwa, kila kitu kaharibu , kila kitu kimemshinda Mfano mdogo kabisa angalia mwendokas, mwendokas ni kitu kidogo kabisa...
  14. PreGE2025 Maoni ya wananchi Moshi Vijijini kuhusu mbunge wao na miundombinu ya barabara

    Wananchi hao wa Kiboriloni wamesikika wakilalamika miundombinu ya barabara kuwa ni mibovu sana na mbunge wao hawajamuona tokea atoe ahadi ya kushughulikia barabara hiyo. Wameongeza kuwa hawatasumbuka tena kupiga kura kwani hakuna inachowasaidia
  15. PreGE2025 Brigedia Jenerali, Mndolwa: Wananchi kuongozwa na kiongozi mmoja, haimaanishi kwamba hawana akili, kiongozi bora anakubali ushauri wa wananchi

    Brigedia Jenerali, Fransic Mndolwa alipofanya mahojiano na kituo cha Televisheni cha ITV kwenye kipindi cha dakika 45 Februari 10, 2025 alisema Wananchi kuongozwa haimaanishi hawana akili, kwani viongozi wanasaidia kusimamia kanuni ambazo zimekubalika, na kanuni hizo haziwezi kusimamiwa na watu...
  16. Ujumbe kwa CHADEMA, Nyerere aliwahi kusema Chama kitakachopuuza maoni ya wananchi, kinaweza kikalia kilio asipatikane mtu wa kukifuta machozi

    "Msipuuze maoni ya wananchi hata kidogo, Chama kitakachopuuza maoni ya wananchi, kinaweza kikalia kilio asipatikane mtu wa kukisaidia kupangusa machozi, na ninachowaambia CCM ninawambia na vyama vingine vilevile, lazima msikilize wananchi wanasema nini. Kwa sababu kama wote ni sawa na wananchi...
  17. T

    USHAURI WA BURE: CHADEMA MSIPUUZE MAONI YA WANANCHI

    Msipuuze maoni ya wananchi. Kuna yale ya moja kwa moja na haya yanayotolewa kwenye mitandao ya kijamii. Msikilizeni pia Baba wa Taifa kwenye hii clip.
  18. LGE2024 Arusha: Maoni ya Wananchi kuhusu zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa

    Maoni ya wakazi wa Kata ya Levolosi, Arusha kuhusu zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024. TBC imeshuhudia zoezi hilo la upigaji kura likiendelea katika mazingira ya amani na utulivu. Baadhi ya wananchi waliopiga kura wameonyesha...
  19. Justice Rutenge: Dira ya Taifa inapaswa itokane na Sauti, Mawazo, Mitazamo na maoni ya Wananchi

    Washiriki zaidi ya 500 kutoka Asasi za Kiraia (AZAKI), Sekta Binafsi, Serikali na wadau mbalimbali wa maendeleo wanatarajiwa kushiriki maadhimisho ya Wiki ya AZAKI 2024, itakayofanyika kuanzia Septemba 9 hadi 13 Jijini Arusha. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Agosti...
  20. TLS waendesha Zoezi la kukusanya maoni ya Wananchi wa jiji la Dar es salaam juu ya Katiba mpya

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) waendesha Zoezi la kukusanya maoni ya Wananchi wa jiji la Dar es salaam juu ya katiba mpya Kipekee napenda kuwakaribisha katika mdahalo wetu wa mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya #KatibaMpyaNiSasa Mariam Othuman, Mkurugenzi wa Chama cha Wanasheria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…