Habari Jamii forum,naitwa Justine exavery. Elimu yangu ni kidato cha sita.
Nina uzoefu katika biashara ya uuzaji nguo na mambo ya mauzo pia naweza.
Nina uhitaji wa kazi ndugu,kama Kuna mtu anajua mahali naweza pata kazi au kama mtu anahitaji mfanyakazi. Nipo hapa kijana wenu.
Nipo tayari...
Hello mambo zenu. Naomba kuuliza, ivi ukiwa kwenye mfumo wa kuomba ajira kwenye portal katika ku apply kazi, zile barua tunazotakiwa kuandika address ya muandikiwa tunaweka ipi? Mfano hapa unaomba ajira
EMPLOYER
Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI)
Kwahyo address tunajaza ya muhimbili au...
wanabodi salaam.
Naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kurekebisha taarifa kwenye form ya maombi ya kazi za sensa,,, mistake imefanyika kwenye email account hivyo pasword and username sijapata..
Naomba kwa anayejua anisaidie plz
Sorry kama utaboreka lakini nisaidiwe jamani
SENSA 2022
Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda kwa ajiri ya kazi ya sensa 2022,lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini mmoja yaani jina la kwanza nimeliweka mwisho na jina la mwisho limekuwa la kwanza.
nimejaribu ku log in kwenye account ili nifanye editing ya majina lakini...
Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa, amewataka Watanzania wenye sifa waombe nafasi za kazi kuanzia leo, baada ya serikali kutangaza nafasi za ajira 17,412, kwa kada ya elimu na afya.
Kauli hiyo ameitoa hii leo Aprili 20, 2022, Bungeni Dodoma, wakati akihitimisha hoja ya bajeti ya Ofisi ya...
Wanabodi habarini za hapa jukwaani.Kuna taarifa inasambaa sana kwenye magroup ya majukwaa mbalimbali ya mitandao ya kijamii.Taarifa inahusiana na maombi ya kazi ya sensa.
Ukiingia kwenye hiyo link ambayo wameweka na kujisajiri mwishoni kuna hela ambayo unalipia ili kukamilisha usajiri ambayo ni...
Usaili EWURA unafanyika Lini kwa waliotuma maombi ya kazi?
Hii imekuwa unyanyasaji mkubwa Kwani maelfu walituma maombi ila ewura wamepiga kimya au walishaajiri? Tunaomba majibu
Hivi ukituma maombi ya kazi posta kwa njia ya EMS, utajuaje kama mzigo umefika sehemu husika na je posta uaminifu wao upoje katika hilo kufikisha maombi sehemu husika?
Habar Wana ndgu, tunaona vijana tofaut tofaut tukiwa wengi kwa namna Moja na nyngine kutafuta connection, na tenda mbali mbali, kwa wenye nazo.
Kwa upande mwngne kuna wenye fani zao na wengine wakiwa hawana fani yoyote zaid ya uwezo wa kufanya kaz ngumu zenye kutumia nguv na japo hvyo hukosa...
Habari wakuu, naomba kwa anayeweza kujua hili tatizo anisaidie.
Nataka kufanya application ya hizi nafasi za ualimu zilizotangazwa, nakutana na changamoto moja, kila nikijaribu Ku log in naaambiwa unauthorized user, nikafili nakosea password.
Nikataka kubadili password ikashindikana, coz ili...
Habari ya leo wakuu. Natumai mko salama.
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu ninaomba yoyote mwenyewe kuweza kunisaidia kupata ajira hata Internship kwa kuanzia anisaidie hali ni ngumu mtaani, kazi na apply kila mara lakini sipati, hata nikiitwa kwenye interviews huwa nasubiri simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.