maombi ya kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maombi ya kazi -Dental therapist

    Habari wana jamii 🙏. Natafuta kazi ya Dental Therapist. Nimemaliza masomo yangu Agosti 2025 na kwa sasa nipo Iringa, lakini niko tayari kufanya kazi popote. 📞0653711756
  2. T

    Msaada maombi ya kazi nk

    Kama una changamoto za kuomba kazi ajira portal na mifumo mingine Natatua changamoto kama kusahau password, kusahau email,kushindwa kuapply NK Tuwasiliane kwa 0623456608
  3. MAOMBI YA KAZI.

    Habari wakuu, Utangulizi: Awali yayote nipende toa shukrani kwa Mungu na kwa yeyote atakae wiwa na maombi yangu. Mimi ni kijana umri miaka 24, nina degree ya accounting with information technology,graduate of 2024, naishi dar es salaam,,,. Uzoefu: 1. Utafutaji wa masoko na kudeal na wateja...
  4. Maombi ya kazi ya kuwa balozi wa kujitolea kutangaza bidhaa za kampuni za kutengeneza vifaa vya ujenzi ama umeme au maji

    P.o. Box 4278,Mbeya labaisa46@yahoo.com 14/05/2025 Mkurugenzi wa Masoko Kampuni ya vifaa vya ujenzi : Tanzania YAH: MAOMBI YA KAZI YA KUJITOLEA KUTANGAZA BIDHAA ZA KAMPUNI ZA VIFAA VYA UJENZI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII Ndugu Mkurugenzi, Napenda kuchukua fursa hii kuwasilisha maombi yangu...
  5. Maombi ya kazi

    Wakuu habarini za wakati, Mmi ni graduate katika fani ya uhasibu na tehama, na experience katika kazi za freelancing na marketing nimefanya freelancer azam pesa, pia mambo ya loan officer nimefanya kwenye moja ya microfinance na sasa nimejitolea auditing firm Premium Plus Association (PPA)...
  6. Jinsi ya kupata fomu za maombi ya kazi katika ujenzi wa barabara za mwendokasi

    Habari wanajamii forum,naomba kwa anaefahamu jinsi ya kupata fomu za kuomba kazi katika ujenzi wa hizi barabara za mwendokasi,anaefahamu naomba anielekeze wapi nazipata na utaratibu upoje,vitu gani vinahitajika na mengineyo,asanteni sana.
  7. C

    Maombi ya Kazi ya Udereva

    Wakuu... Napenda kuwasilisha maombi yangu ya kazi ya udereva katika kampuni, taasisi au Shule. Nina uzoefu wa zaidi ya kumi (10) katika kazi ya udereva, nikiwa na leseni daraja [A, B, C1, C2, C3 na D], na ujuzi mzuri wa kuendesha magari aina mbalimbali pamoja na kufuata sheria zote za usalama...
  8. Maombi ya kazi ya tax, mtandao

    Habari, Naitwa Mohamed ni driver wa tax mtandao….nipo darslam natafuta gari ya kufanyia kazi hii, hivyo kwa yeyote mwenye chombo basi ni fursa hii tuitumie kujenga hii nchi… “Kuhusu uaminifu ni % Hakuna uswahili wala ubabaishaji Hii ni kazi na Naheshimu kazi yangu hivyo tajiri ondoa shaka...
  9. Maombi ya kazi

    Sa
  10. K

    Maombi ya kazi

    Kwa majina naitwa kelvin ramson joseph kama kuna mtu ana connection ya kazi naomba anisaidie nipo dar es salaam nina degree ya bachelor of adult education with community education kama kuna sehemu na fit naomba unisaidie ikiwa moro ni vizur zaidi hususani kwenye hizi NG'O tafadhali tusaidiane
  11. D

    Sekretarit ya ajira ni muda gani utakiwa kusubiriwa kwa usaili baada ya kutuma maombi ya kazi kisheria?

    Kiualisia sekretarit ya ajira kufikia hatua ya kutangaza nafasi za ajira ina maana kuna uitaji.Sasa inakuwaje nafasi itangazwe toka mwaka jana(2024) mwezi 8 mpaka mwezi huu wa pili mwaka 2025 hakuna mrejesho wowote? Kama hakuna sheria kwa swala hili basi hakuna uaminifu tena kwa sekretarit ya...
  12. A

    KERO Gharama kubwa za kufanya maombi ya kazi kwa baadhi ya Taasisi za Serikali

    Kama kichwa cha habari hapo juu. Baadhi ya taasisi za serikali kama TAA, TANROADS nk zimekuwa zikitoa mahanadi za kazi na kuwataka waombaji waombe kwa mfumo wa Posta tu, lakini pia hutakiwa kucertify vyeti. Gharama ni kama zifuatazo; 1. Photocopy ni zaidi ya elfu 2 mpaka 3 2. Kucertify vyeti...
  13. Maombi ya kazi

    Ndugu zangu habari na heshima kwenu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, mkazi wa Dar es Salaam, kwa sasa najishughulisha na kazi ya ufreelancer katika kampuni moja malipo ni kwa commission, pia najihusisha na vishughuli vya hapa na pale kujipatia chochote kitu ikiwa pamoja na udalali wa...
  14. Vitu kama vyeti vya kuzaliwa na barua ya maombi ya kazi vimepitwa na wakati kwenye mfumo wa kuajiri

    Kijana ana NIDA/NIN ambayo ina details zote muhimu. Kitambulisho cha NIDA hakijaandikwa vitu vingi ila kwenye database ya NIDA Kuna taaarifa zote za huyo kijana. Sasa cheti cha kuzaliwa cha nini tena? Kuna usaili, huko pimeni writing skil na speaking skil. Barua ya nini huku tumehamia digital...
  15. A

    KERO Ubovu na udhaifu wa mfumo wa Ajira Portal

    Habari, mfumo wa ajira portal umekua kero kwa watumiaji kwani endapo kuna kosa basi mfumo hauna optiona ya kufuta kosa hilo (hasa kipengele cha accademic qualification) pia ukiwapigia simu hawapokei unapata ujembe the caller is busy ama wanakuwekea vijinyimbo vya hovyo huku ukipoteza salio lako...
  16. Jinsi ya kutuma maombi ya kazi kwenye email

    Mwenye ujuzi jamani naomba anifafanulie jinsi ya kutums maombi ya kazi kwenye email, bado sijajua kama documents zote tunaziweka kwenye pdf moja au tunazitenganisha maana unakuta nafasi nyingine za jazi zinazotoka hawasemi kama documents zote ziwe kwenye pdf moja au vipi. Mwenye ufafanuzi...
  17. Jeshi la Polisi laongeza muda wa maombi ya kazi baada ya Mfumo wa Mtandao wao kusumbua

    TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUOMBA AJIRA Mei 15, 2024 lilitolewa tangazo la kuongezwa kwa muda wa kuomba ajira na mwisho wa kutuma maombi hayo ilikuwa ni leo Mei 21, 2024. Kutokana na changamoto ya mtandao iliyoendelea kujitokeza, mnatangaziwa kuwa vijana wenye sifa na nia ya kujiunga na Jeshi...
  18. G

    Msaada: Jinsi ya kutuma maombi ya kazi NSSF

    Wakuu habari zenu? Kuna nafasi kadhaa za kazi zimetangazwa na NSSF, naombeni msaada njia ya kutuma maombi ni kupitia posta ama kuna njia nyingine, maana naona kule ajira portal hazipo. Ahsante in advance.
  19. Msaada wa kazi ya udereva wana JF

    Wakuuuu kwa anayeweza kutoa msaada au connection ya kazi ya udereva. Namwombea baba yangu. Ana leseni class D, E, G ni mzoefu wa magari miaka mingi. Mwenye connection au maelekezo naomba msaada nimtupie mzee taulo, shukrani.
  20. P

    Je, unatafuta mfanyakazi professional kwenye nyumba yako au biashara zako?

    Je, umezunguka sana huku na kule bila kupata mfanyakazi ambaye ni professional, kwenye nyumba yako au biashara zako ? Je, umesumbuka sana na labda ulipata wafanyakazi ambao wamekupa hasara kubwa ambao hawana ujuzi wowote au wavivu? Je, unahitaji mfanyakazi professional wa malengo yako kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…