manispaa ya tabora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania KERO Tabora tunatozwa 'tozo za usafi' bila kupata huduma

    Kuna tozo zinazodaiwa kuwa ni za usafi wa mazingira, ambapo kiwango cha malipo kinatofautiana kulingana na aina ya biashara. Hata hivyo, wanaokusanya tozo hizi hudai ni kwa ajili ya usafi wa mazingira na huduma ya ukusanyaji wa taka kwa kutumia magari ya manispaa, ilhali huduma hizo hazitolewi...
  2. P

    JamiiForums Tanzania KERO Bar ya Camp Edward (Tabora) wanapiga muziki mkubwa sana na IPO katikati ya makazi

    Bar ya CAMP EDWARD iliyoko kwenye makazi ya watu MKOANI TABORA, wanapiga mziki mkubwa sana na mbaya zaidi ni kila siku hawana jumatatu wala weekend, mbaya kuliko zote wanapiga mziki hadi saa mbili asubuhi kwa sauti kubwa. Mamlaka zituambie ni kibali cha aina gani wanapewa kupiga mziki hadi...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kainja na Wanawake wa Manispaa ya Tabora

    MBUNGE JACQUELINE KAINJA NA WANAWAKE WA WILAYA YA TABORA (KATA YA MPELA) MKOA WA TABORA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew tarehe 16 Julai, 2023 amefanya Mkutano wa Hadhara Kata ya Mpela Wilaya ya Tabora ikiwa ni muendelezo wa ziara ya kukabidhi Milioni...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango aagiza Manispaa ya Tabora kumshughulikia mtumishi aliyefanya ubadhilifu hospitali

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango, ameuagiza uongozi wa Manispaa ya Tabora kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, kuhakikisha wanamfikisha katika vyombo vya sheria aliyefanya ubadhirifu, wakati wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Tabora...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Manispaa ya Tabora analazimisha walimu kuchangia Mwenge na Sherehe za Uhuru

    Mkuu wa wilaya ya manispaa Tabora mjini ameonja joto ya jiwe baada ya kutaka kuwachangisha walimu mchango wa sherehe za uhuru na mwenge walimu walimuchachafya kwa hoja kwenye ukumbi wa uhadhili mpaka akakimbia. Anataka akusanye sh 280,000,000 milions kwa ajili ya miaka 50 ya uhuru na mwenge...
Back
Top Bottom