man utd

Manchester United Football Club is a professional football club based in Old Trafford, Greater Manchester, England, that competes in the Premier League, the top flight of English football. Nicknamed "the Red Devils", the club was founded as Newton Heath LYR Football Club in 1878, changed its name to Manchester United in 1902 and moved to its current stadium, Old Trafford, in 1910.
Manchester United have won more trophies than any other club in English football, with a record 20 League titles, 12 FA Cups, five League Cups and a record 21 FA Community Shields. United have also won three UEFA Champions Leagues, one UEFA Europa League, one UEFA Cup Winners' Cup, one UEFA Super Cup, one Intercontinental Cup and one FIFA Club World Cup. In 1998–99, the club became the first in the history of English football to achieve the continental European treble. By winning the UEFA Europa League in 2016–17, they became one of five clubs to have won all three main UEFA club competitions.
The 1958 Munich air disaster claimed the lives of eight players. In 1968, under the management of Matt Busby, Manchester United became the first English football club to win the European Cup. Alex Ferguson won 38 trophies as manager, including 13 Premier League titles, 5 FA Cups and 2 UEFA Champions Leagues, between 1986 and 2013, when he announced his retirement. Manchester United is one of the most widely supported football clubs in the world, and has rivalries with Liverpool, Manchester City, Arsenal and Leeds United.
Manchester United was the highest-earning football club in the world for 2016–17, with an annual revenue of €676.3 million, and the world's third most valuable football club in 2019, valued at £3.15 billion ($3.81 billion). After being floated on the London Stock Exchange in 1991, the club was taken private after a purchase by Malcolm Glazer in 2005 at almost £800 million, of which over £500 million of borrowed money became the club's debt. From 2012, some shares of the club were listed on the New York Stock Exchange, although the Glazer family retains overall ownership and control of the club.

View More On Wikipedia.org
  1. ELI COHEN

    Eti wana Man Utd ni heri kubaki na Fletcher hadi mwisho wa msimu au kuletewa Ole Gunnar/Carrick?

    #GGMU #MUFC
  2. ELI COHEN

    Vp mwana Man Utd, msimamo wako juu ya Amorim upoje sasa hivi? abaki au asepe?

  3. Financial Analyst

    Eti hawa ndio at some point man utd walitegemea watawarudisha katika ukuu wao wa zamani

    Hawa sio waimba singeli kabisa hawa..
  4. Camilo Cienfuegos

    Kuna shida gani Man Utd, licha ya usajili mzito bado wapo kama msimu uliopita?

    Majira ya kiangazi, Man Utd waliingia sokoni na kushusha silaha nzito pale mbele. Sesko, Mbeumo na Cunha waliwasili Old Trafford kuongeza nguvu kwenye idara ya ushambulizi. Baada ya mechi mbili tu, mwanga unaonekana mbaya. Hakuna mabadiliko kama ilivyokuwa matarajio ya wengi. Msimu mpya...
  5. ELI COHEN

    Nikiangalia usajili wa timu nyengine, reserve ya pesa waliyonayo, uongozi mathubuti wao basi niishie kusema R.I.P kwa timu yangu Man Utd. Tulikupenda!

    Hakuna pahala tunakwenda! Naona tena tukiwa nafasi ya chini ya namba 10 ikifika hadi december. Glazers wamefyonza pesa, sasa hivi roho iko juu juu katika financial Fair play (FFP), Tuna move katika dirisha la usajili katika sunderland hivi. Namuonea huruma amorim maana hamalizi huu msimu...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    Wakati ligi yetu ikiwa haijaisha, EPL watoa ratiba ya msimu mpya, Man Utd Vs Arsenal wiki ya kwanza

    Sisi tunaishi katika dunia yetu. Mpaka leo ligi haijaisha😂 Wenzetu waliopo mbele ya muda wanaendelea na mambo yao. EPL washatoa ratiba ya msimu mpya wa ligi, August 15 ligi inaanza. Weekend hiyo Man Utd na Arsenal watakuwa pale OT kumenyana. Sisi kuna sehemu tunakosea pakubwa sana, au ndio...
  7. Lamborgini

    Mashabiki wa Man Utd wamekasirika baada ya Sir Jim Ratcliffe kufanya uamuzi wa ghafla siku chache tu baada ya kupoteza fainali ya Europa League.

    Mashabiki wa Manchester United wamebaki wameshtushwa kufuatia uamuzi wa ghafla wa Sir Jim Ratcliffe siku chache tu baada ya maumivu ya kupoteza fainali ya Europa League. Manchester United walipata kipigo kikubwa cha 1-0 dhidi ya Tottenham katika fainali ya Europa League siku ya Jumatano...
  8. ELI COHEN

    Kwa hii timu, Man Utd tunaingia top 4 msimu ujao

  9. Financial Analyst

    Washabiki wa Man Utd, ipi inafaa zaidi Kwa nafasi ya LWB?, Kumrudisha Alvaro kutoka Benfica (18mln) au anunulie tu Dorgu (40mln)?

    https://youtu.be/23QtRyNYoyY?si=NeqYAKxzKpR9T93K https://youtu.be/jG1nesE5JKM?si=h_STHh1C1f7sIBiM
  10. The Mongolian Savage

    Ruud van Nistelrooy kocha mpya wa Manchester United ni mbaguzi

    Yeeeerrrrreeeeh Mimi siyo shabiki wa Man U lakini nachukia sana ubaguzi kwenye mpira hasa vijana wetu waafrika weusi wanavyobaguliwa. Huyu mdachi Ruud van nistelrooy kocha mpya wa muda wa Manchester United ni mbaguzi. Kaonesha ubaguzi wake waziwazi kwa kutomchezesha mwamba wa kiafrika...
  11. ELI COHEN

    Hivi ndivyo Amorim anavyoweza kupanga kikosi cha Man Utd msimu huu

    Jamaa anatumia 3..4..3
  12. ELI COHEN

    Kocha gani anafaa kurithi mikoba ya Ten Hug pale Manchester United?

    Wana Man Utd, Xavi au Nagelsmann yupi anafaa kuwa kocha mpya wa Man Utd? Kipara ngoto kashaondoka. Yupi anayefaa? Pia soma > Erik Ten Hag atimuliwa Manchester United baada ya kipigo dhidi ya West Ham United
  13. ELI COHEN

    Wafungwa wanatakiwa kufosiwa kuangalia mechi za Man Utd kama sehemu ya adhabu yao 😂

    Tumemshinda brentford ila bado sana tunasusua.
  14. Mributz

    Klabu ya West Ham yachukua mchezaji MAN UTD

    Klabu ya West Ham imekamilisha usajili wa beki wa kulia, Aaron Wan-Bissaka kutoka klabu ya Manchester United kwa mkataba hadi Juni 2029. Aaron Wan-Bissaka mwenye umri wa miaka 26 alijiunga na klabu ya Manchester United Juni mwaka 2019 akitokea klabu ya Crystal Palace. Alicheza mechi yake ya...
  15. JanguKamaJangu

    ‘Mzimu’ wa majeruhi warejea Man Utd, wawili waumia, ni Hojlund na Leny Yoro

    Straika Rasmus Hojlund na beki aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 52, Leny Yoro wamepata majeraha wakati Timu yao ya Manchester United ikipoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya Arsenal kwa magoli 2-1, Los Angeles. Licha ya kuwa haijajulikana ukubwa wa majeraha lakini hiyo ni tahadhari kwa Kocha wa...
  16. ELI COHEN

    Hivi ndivyo ningependa Man Utd first 11 iwe msimu ujao ili tushinde ubingwa EPL

    1: Onana 2: Dalot 4: Lisandro Martinez 5: Jarrad Brathwaite 3: Ian Maatsen 6: Mainoo 8: Joao Neves 10: Bruno Fernandes 7: Kvaratskhelia 11: Garnacho 9: Hojlund
  17. JanguKamaJangu

    Man United kufanya uchunguzi wachezaji wao kuumia mara kwa mara, baada ya Martinez na Lindelof kuumia

    Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag amesema wanatarajia kufanya uchunguzi wa ndani kubaini sababu za wachezaji wake kuumia mara kwa mara ikiwa ni siku chache baada ya Lisandro Martinez na Victor Lindelof kupata majeraha. Walinzi hao wanatarajiwa kuwa nje kwa mwezi mmoja, Martinez akipata...
  18. Superficial

    Sioni sababu ya Mainoo kuwa overrated kiasi hiki na Man UTD

    Kusema kweli huyu dogo mainoo wa Man UTD wamezidi kum overrate mpaka inafika stage unajiuliza kwa kipi alichofikisha au ku achieve. Sasa nilikuwa najiuliza je ingekuwa cole pamer angekuwa man utd na kwa performance ya namna hii msimu huu situngemkuta adi kwenye billboards aisee😂😂 Ila kiukweli...
Back
Top Bottom