Asikuambie mtu kwenye ndoa kipindi cha Amani, huwa kimejawa na furaha na mshawasha wakutosha.
Hasa ukute umeoa/kuolewa na rafiki yako, mnapatana.
Unajikuta unatamani kuwa karibu na mke/mume wako wakati wote, unapata hamu yakumnunulia zawadi hata kutoka outing za hapa na pale.
Ndugu zangu...