mambo ya ajabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zee la madawa

    Mambo ya ajabu yanayotokea Kanda ya Ziwa tu

    Kanda ya ziwa ni moja ya kanda ya ajabu kuwahi kuwepo kwenye nchi hii leo humu jukwaani kuna mdau amelalamikiwa jinsi ambapo TFS kanda ya ziwa inavyowanyanyasa na kutowajali kwa mambo haya kanda ya ziwa ni kawaida sana aisee Kanda ya ziwa ni kanda ambapo mauaji ya Albino na vikongwe...
  2. Fbn

    Chawa mtandaoni mnazidi kuleta mambo ya ajabu

    Kuna chawa walitengeneza picha kuwa asilimia 98 aliongea na Rais wa Marekani. Kumbe sisi huku ndani tukufahamu walifanya hivyo kuaminisha dunia. Kuwekea kikwazo na Marekani sababu ya udanganyifu na mauaji ambayo wanatumia nguvu nyingi. Walivyoona hivyo walifuta ila hii ni sehemu ya ushaidi.
  3. Samia atosha tukutane2030

    Ukienda migodoni, hasa hii local ndipo utajionea mambo ya ajabu na watu wa ajabu

    Huko Shinyanga watu takribani 25 wamekufa kwa kufunikwa na kifusi. Hii si mara ya kwanza. Inatokea mara kwa mara. Na vifo vingine hata kwenye vyombo vya habari havitangazwi. Watu wa migodoni wana roho za ajabu, ni kama wanyama. Yaani ikitokea duara (shimo) limeua huo usiku watafurahi sana...
  4. Crocodiletooth

    Kuna mambo ya ajabu yanafanywa na viongozi wa Chadema chakavu

    Kiongozi wa Chadema chakavu, japo upo nje ya nchi unatoa dondoo, za fulani bin fulani wako mbioni kumshambulia, na genge fulani, katika maswala ya kikachero mambo ya aina hii, yanapobashiriwa, nathubutu kusema kuna mambo huyo mwota njozi anakuwa anayafahamu aidha yanakuwa yapo ndani ya genge...
  5. Clayton Paul

    Mambo ya Ajabu kabisa.

    Kwanini Wakikuta eneo lako lina uwepo wa Dhaabu watadai ni Mali ya serikali ila Eneo hilo hilo Wakikuta Bhangi zimejioteaa ni za kwako na utatakiwa kushikiliwa na Polisi kwa maelezo zaidi ?
  6. Setfree

    Huyu mlokole ni wa ajabu sana. Anafanya mambo ya ajabu! Msaidieni jamani

    Huyu mlokole anafanya kazi ya uhasibu kwenye shirika kubwa, lakini hajawahi kuiba hata senti. Eti anasema wezi hawataingia mbinguni. Mtu ana nafasi ya kutajirika haraka kwa pesa za shirika, yeye anakomalia uaminifu. Ujinga mtupu! Akipanda magari ya abiria, akizidishiwa chenji, anamrudishia konda...
  7. M

    Ujenzi barabara ya Mwendokasi Dar na mambo ya ajabu

    Kwa kweli aliyekuja na mpango wa kupanua ujenzi wa Mwendokasi sijui kama alizingatia mipango ya awali ya namna jiji lenyewe lilivyo. Inaonekana kilichofanyika ni kujaribu kuleta plan mpya juu ya plan ya zamani kabla hata ya kufanya mabadiliko makubwa ktk plan ya zamani. Leo barabara za zamani...
  8. mdukuzi

    Mambo ya ajabu yaliyonifanya nikashindwa kuishi vijiji vya kanda ya Ziwa

    Katika harakati za kutafuta maisha niliamua kwenda kusaka maisha kanda ya ziwa,sitataja mkoa. 1. Mtu akifa katika eneo lenu kuna mtu anapita na spika kuwatangazia,kuna daftari la wananzengo kuchangia msiba ni lazima,usipochanga utadhalilishwa kwenye mkutano wa kijiji au kitongojina kulipishwa...
  9. Crocodiletooth

    Haya ndiyo mambo ya ajabu ya taasisi zetu - NIDA

    Binafsi nimejaribu kukitafuta Kitambulisho changu cha NIDA, bila mafanikio yoyote, ofisi za Kata hakipo, ofisi za serekali za mitaa hakipo, japo nilihama eneo, nikaendelea labda nilijikomfuzi, wapi sikufanikiwa kukipata, Dar ni kubwa mihangaiko ni mingi, nawashauri nida pale ambapo mtu alipeleka...
  10. Rorscharch

    Vijiwe vya mafundi bodaboda vimejaa watoto ambao unaona kabisa ni umri wa kuwa shule; inakuwaje jiji letu linaridhika na mambo ya ajabu kama haya?

    Nimekodi bodaboda kutoka maeneo fulani ya jiji hili, lakini tulipokuwa safarini dereva wangu alitambua kuwa tairi moja la bodaboda limepungua upepo. Kwa hiyo, tulilazimika kujongea hadi kwa fundi ili kulitatua tatizo hilo. Tulipofika, kilichonivutia zaidi si fundi mwenyewe bali kijana mdogo...
  11. M

    DOKEZO Biashara ya kujiuza Mwanza ni kero, Mamlaka na Polisi wanapotezea, Watoto wanashuhudia mambo ya ajabu

    Biashara ya kuuza mwili ni moja ya biashara ambayo inapigwa vita na Jamii ikiwemo Mamlaka mbalimbali lakini pamoja na hivyo imeendelea kufanyika kwa njia tofauti maeneo mbalimbali Nchini. Jijini Mwanza, biashara hii imekuwa ikifanyika kama vile imehalalishwa hasa maeneo ya Kirumba na Igoma...
  12. Yoda

    Paredi la ubingwa Yanga na vibweka vyake

    1. Harmonize anaonyesha ishara za lugha za matusi hadharani hasa zikiwadhalilisha wanawake na mashabiki wanazishangalia, jambo la kushangaza mpaka sasa sio LHRC, TAMWA, BASATA, TFF au taasisi nyingine yoyote iliyokemea na kulaani vitendo hivyo. 2. Kingereza kibovu mno katika platform ambayo...
  13. Zee la madawa

    Hii nchi ina mambo ya ajabu sana! Eti wanapima uzalendo kwa mtu kuteseka

    Kuna picha moja inatend ya mmoja wapo wa mtumishi wa Afya akiwa amebeba vaccine carrier kwa maana chanjo akivuka mto kwenda kutoa chanjo. Ile picha imenifikirisha sana kwanza yule mtumishi wa Afya ni mpumbavu,mjinga na hajielewi yaani unavuka kwenye mto ili iweje? Je, haoni hatari ilioje? Na...
  14. Sifi Leo

    Ulishawahi kushika pesa nyingi mpaka zikakufanya ufanye mambo ya ajabu?

    Niliwai muuliza Mzee wangu mmoja kwanini aliweza kuzaa watoto 16 kila mtoto na mama yake? Jibu lilikuwa moja tu, pesa ilikuwa inaongeza! Nikamuuliza kwanini watoto hao hukuwaita pesa, maana walitokana na fedha? Akasema hakufanya hivyo maana nao wangerithi ufezuri wake. Je, wewe mwanaJF uliwai...
Back
Top Bottom