mambo mengi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakusolve

    Kutoa msaada ni sadaka inayoweza kukufanikisha katika mambo mengi kwenye maisha yako

    Kutoa msaada kunaweza kukupa fursa kubwa maishani mwako soma hapa chini Kutoa msaada kama vile pesa, mali , ushauri n.k kwa ndugu, jamaa na marafiki au mtu yoyote mwenye uhitaji ni sadaka pia, Unapokuwa mtu wa kusaidia unajijengea baraka au fursa kuzipata bila kutegemea kutoka kwa Mungu...
  2. buzitata

    Dunia ina mambo mengi ya kushangaza

    Habarini wakuu Leo nimeona nikumbuke matukio niliyoyashuhudia ambayo yananiweka mdomo wazi na sijui nilikuwa nawaza nini(nitabase zaid upande wa kiroho) Kwanza kabisa mimi ni aina ile ya watu ambao tunataka kujua kila kitu hata kama ni vya hatari ila nitajilazimisha nijue tu. MImi ni...
  3. T

    Fahamu mambo mengi kuhusu hema la kuabudia kupitia wimbo huu kutoka kwa Mch Mbarikiwa Mwakipesile

    https://youtu.be/t8GR0scaBDU?si=WSSQno-FJC9qGszB
  4. D Metakelfin

    Kujenga na Ujenzi kwa wenye kipato cha chini

    Tuanze na hii hiki ni Chumba kimoja chenye urefu na upana wa futi 14,Kwa 14, chumba kina choo ndani, chumba pia kina jiko ndani jiko la saizi ya futi 4 Kwa 5, apo zimetumika tofari 780, sehem ni kigamboni kibada,,,, maisha ni kuchagua😍😍 Kwa ushauri Bora wa kitaalamu muone Hechy Essy
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Wanawake ukiwasikiliza utapata kujua mambo mengi sana kuhusu jamii inayokuzunguka

    Kama mnavyojua wanawake wanapenda sana kusikilizwa yaani hata kama anaongea pumba wewe jifanye tu unamsikiliza na ukiweza ongezea kidogo kwenye story yake ili ajue mpo sambamba. Sasa jana moja ya kitu kilichonichekesha sana jana nilipotega sikio kwa wife na kuwa active akinipa story za hapa na...
  6. T

    JF imesaidia sana kupata ushauri na mawazo

    Kwakweli wakuu niseme ukweli tu Jukwaa la Jamiiforum umenisaidia sana ni zaidi ya GT CHAT nimepata mawazo huku misaada huku kupitia nyie ndugu zangu lakini kuingilies kwake inatupa wakati mngumu sana hasa ata ukiwa unaomb shida na changamoto inakuwa tatizo. Nyie ni ndugu na marafiki pamoja na...
  7. S

    Mambo mengi muda mchache, reformed checker iko karibu na si tetesi tena

    Reformed checker imekaribia ,sasa mtiririko wa kete utaenda kwa kanuni na sheria za hiyo reformed checker, Hakutakuwa na kete bora kuliko reformed checker,hii ni historia na mapinduzi makubwa kwa wapenda haki,old phase ya previous checker itakuwa over,lakini ni huzuni kubwa kwa wabubujikwa...
  8. Knock life

    Kesho hakikisha unaweka Bundle , mtajua mambo mengi kuhusu Super black kunyimwa karatasi , issue ya Mzee wa NRNE , na mauaji ya jamaa mweupe wa Tanga

    Kesho weka bundle Mkuu kuna good news zinakuja . Taifa linaenda kupona Timu zipo tatu -hana deni (Consumers) -NREN -Tubadilishe Striker la sivyo tukose wote . Wabaya zaidi wazee watukose wote wapo wengi na hapa mzee wa NRNE anaenda kujiokotea Dodo Kocha Mchezaji ambaye alipata GPA 2 kwa...
  9. Samia atosha tukutane2030

    Wale watu wa "tusikate miti joto litaongezeka" wako kimya sasa. Mambo mengi tunayosoma shule ni utapeli

    Dar es salaam sasa nina mwaka wa 11, mwaka huu unatia fora kwa baridi kali. Haya nyie wanajiografia mniambie je, kiwango cha upandaji miti Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla kimekuwa kikubwa zaidi mwaka huu? Malori ya mkaa kutoka mkoa wa Pwani ambako kuna miti na misitu mingi yako mengi sana...
  10. OLS

    Ilani za Uchaguzi zinakosa mambo mengi ya msingi

    Nimetumia muda kusoma ilani ya Uchaguzi ya CCM, sio kwa ubaya lakini nawaza inakuwaje kama mtu unakuwa na maswali dhidi ya utekelezaji wa Ilani. Maana kikubwa kilichopo ni ahadi za kuleta ajira, kukuza utalii na kuongeza mikopo nk. Lakini mambo yote haya hayajaweka ni kwa namna gani vitu hivi...
Back
Top Bottom