Mama Samia.
Makamu wa Rais wa kwanza mwanamke Tanzania.
Rais wa kwanza kuwa dv4 shule ya upili.
Rais wa kwanza kuwahi kupata asilimia zaidi ya 97 uchaguzi mkuu.
Rais wa kwanza kuingia madarakani baada ya watu wengi kufa, kuumia, mali kuharibiwa na maelfu kukamatwa na kufunguliwa kesi za uhaini...