malisa

Malisa Zini (March 5, 1921 – February 26, 1985) was an Argentine actress. She starred in the 1950 film Arroz con leche, among others such as Cumbres de hidalguía, under director Carlos Schlieper. s

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Malisa, acha kubishana na hao ndugu, hawapendi! Ni mtego huo- jiondokee zako

    Sasa, unaweza uone unaweza kuwabishia hao Masadukayo. Lakini ukweli ni kwamba, umetegwa na wanajipanga kukuundia jambo Ondoka na rejea ulipokuwa kwa amani kabisa. Mshika mpini daima hupenda akuonyeshe kwamba, yeye ndiye na wewe siye Mwenye masikio na....
  2. JamiiForums Tanzania Godlisten Malisa: Polisi ni waongo, hawajanidhamini, sijajidhamini wala sijatuhumiwa kwa chochote

    Malisa amesema; 1. Anawashukuru wote walipaza sauti, vingine inawezekana asingekuwa hai 2. Watu walijitambulisha ni polisi lakini gari lilowabeba sio la Polisi 3.Tuliambiwa tunapelekwa kituo cha polisi Longido lakini hatukupeleka huko 4.Polisi walikana sio wao wanaomshikilia wala kunichukua 5...
  3. JamiiForums Tanzania Polisi; Tumemwachia Malisa kwa dhamana

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema lilimkamata Godlisten Elisante Malisa akiwa na mwenzake usiku wa Agosti 31, 2026, kutokana na tuhuma za jinai zilizokuwa zikichunguzwa dhidi yake. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Malisa na mwenzake walifanyiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Polisi: Malisa alikamatwa akiwa na mwenzake kutokana na tuhuma za jinai

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha jana Agosti 31, 2026 majira ya usiku lilimkamata Godlisten Elisante Malisa akiwa na mwenzake kutokana na tuhuma za jinai zilizokuwa zinachunguzwa dhidi yake. Soma: Malisa akamatwa na Polisi, Namanga na kupelekwa kusikojulikana Aidha baada ya mahojiano wameachiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi latakiwa kutoa taarifa kuhusu alipo Malisa GJ

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeipokea na unaifuatilia taarifa iliyotolewa na Wakili Dickson Matata tarehe 31 Agosti 2026 kuhusu kushikiliwa kwa Godlisten Malisa baada ya kuwasili katika mpaka wa Namanga. Malisa alikuwa akirejea nchini akitokea Marekani kupitia...
  6. JamiiForums Tanzania Malisa akamatwa na Polisi, Namanga na kupelekwa kusikojulikana

    Malisa GJ Leo alikuwa safarini kutoka Marekani ambapo amekuwa kwa zaidi ya miezi tisa (9), tangu alipoenda kuiwakilisha nchi yetu kama mtanzania pekee aliyechaguliwa na Wizara ya Mambo ya nje ya Marekani kwenda kupata mafunzo ya uongozi. Fursa ambayo hujitokeza kwa watanzania wachache sana kama...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Malisa GJ adaiwa kutelekeza wanae watatu

    Mwanaharakati maarufu katika kusaidia watu wanaoishi kwenye mazingira magumu, Malisa GJ, anadaiwa kutelekeza wanae watatu aliozaa na mkewe wa ndoa Doreen. Kwa mujibu wa Doreen waliyeachana zaidi ya miaka 3 na Malisa GJ hajawahi kupeleka matumizi wala kutaka kuwaona. GJ ni maarufu kuchangisha...
  8. JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa Malisa juu ya Civilian Coin ni wa kupuuzwa kabisa na ni wa uongo

    UPOTOSHAJI WA MALISA GJ NI WA KUPUUZWA, SINA MPANGO WA KUDAI FIDIA BAADA YA KUSHINDA KESI, MIMI SINA DHIKI YA KISIASA MPAKA NIDAI FIDIA, NINAJITOSHELEZA NA SIASA ZENU NIMEWAA CHIA. Bwana Malisa ameandika waraka wa uongo mwanzo mwisho juu yangu CIVILIAN COIN ambaye yeye kanitambulisha Kama...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unaitisha maridhiano wakati huo huo unambambikia kada wako mtiifu Godfrey Malisa kesi ya kubumba ya uhaini! Are you serious na maridhiano?

    Rais wangu, kwa heshima na taadhima kubwa, Unaonekana ni mzaha na dharau! Dhamira ya kweli na common sense tulitegemea watu wote wenye kesi za kubumba wawe huru ukianza na Lisu, angalau kwa mbali kuwa umeanza kubadirika! Utekaji, uuaji, upotezwaji, ulawiti, ufiraji, ubakaji bado uko pale...
  10. JamiiForums Tanzania Penye miti hakuna wajenzi kwa nini serikali ya CCM inataka wasio umuhimu wakati tuna mtu Malisa GJ anaweza kuwa chachu waziri wa vijana na wananchi

    Nimekuwa nikimfatilia bwana Malisa GJ ambaye ndio msaada wa watu wengi kwa vijana na wananchi. Kuna kijana alivunjwa miguu kipindi cha October 29 na alikuwa ana msomesha mdogo wake ila jamaa alivyoweka ujumbe alichangiwa na kufikisha milion 15. Baada ya siku watu wakaomba na huyu achangiwe...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Maelezo Yaliyotolewa na Malisa Ni Ya Uongo Na Uzushi Mkubwa. Wananchi Puuzeni Taarifa Hizo. Hali ya Usalama ni Shwari Kabisa

    Ndugu zangu Watanzania, Niliwaambieni humu kuwa habari na taarifa za Malisa zilikuwa ni za Uzushi ,uongo, uchonganishi na zenye lengo la kutaka kuleta taharuki na kuichafua serikali yetu chini ya uongozi mahiri,shupavu ,madhubuti na Imara wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 What happened to CCM's Godfrey Malisa? His latest message to the public is alarming and chronically sad

    For those of you who don’t know Pastor Godfrey Malisa, here’s a quick rundown: Who is Godfrey Malisa? Pastor Godfrey Malisa is a former member of Tanzania's ruling party, Chama Cha Mapinduzi (CCM). He joined CCM in 2021 after being involved in other parties and ran for positions like...
  13. JamiiForums Tanzania Mzee Malisa yupo salama? Tarehe 29.10.2025 nchi iliingia gizani, tunafahamu umefungua kesi ICC, toa neno tujue kama upo

    Wote tunafahamu mzee huyo alipinga mchakato mzima ulivyofanyika wa kupata mgombea kitu cha Rais ndani ya CCM hadi kupelekea kufungua kesi ya kupinga mchakato huo mahakama kuu kanda ya Dodoma Pamoja na juhudi zake lakini hakupata alichotarajia, shauri lake lilitupiliwa mbali kama mnavyofahamu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya siasa: Ya Mpina sawa, uko sahihi, umetenda haki. Je ya Mama na Godfrey Malisa yako sawawa/sahihi?

    Nakupongeza kwa kutenda haki, kama amechaguliwa kinyume na Katiba ya ACT, mtengue kama ulivyofanya. Lakini mbona scenario ya Mpina ni sawa na ya Samia? why double standards Ninaomba jibu ya dokezo langu hapo juu.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Khamis Mgeja ashauri hukumu ya Malisa aliyofungua kupinga Rais Samia kugombea iwe fundisho kwa CCM

    SIKU chache baada ya Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma kuifuta kesi ya Kikatiba ya Kupinga uteuzi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kugombea urais Oktoba 29 2025, mmoja wa makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ameibuka na kutaka kesi hiyo iwe fundisho kwa wana CCM wengine. Kada huyo wa CCM, Khamis Mgeja...
  16. JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa Mawakili wa CCM kujibu hoja za Dkt. Malisa na kukimbilia kuweka mapingamizi dhidi ya Utaratibu ni muendelezo wa Uhuni

    Watanzania walitegemea kuona Hawa Wahuni wakijitutumua kujibu Hoja za Dkt Malissa . Hoja ni Nzito na zamoto , Katika Utawala wa Sheria ulio huru , TUKIO LA SAMIA kujipitisha lingefutiliwa mbali na kuamuriwa Mchakato kuanza Upya. SAmia na CCM yake WAMEONA waje na Mbinu ya Pingamizi dhidi ya...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Malisa: Mahakama kutoa uamuzi mapingamizi ya CCM Agosti 22

    DODOMA. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma itatoa uamuzi wa mapingamizi yaliyowekwa na CCM dhidi ya Mchungaji Godfrey Malisa anayepinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho. Mchungaji Malisa aliyefukuzwa uanachama Februari 10 mwaka huu...
  18. JamiiForums Tanzania Inasemekana Wahuni wamewatishia Majaji kesi ya Dkt Malisa dhidi ya CCM ya Genge la Samia mpaka Muda huu 14/8/2025 ni Kimya !.

    Wakuu mnakumbuka ilikua ni Leo Majaji kuamua Suala la Samia kujiteua kua Mgombea ?. Majaji wametishiwa na wametishika
  19. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuikabili Sheria ya kulinda mashahidi

    Baada ya Mahakama Kuu ya Masijala ya Dar es Salaam kukubali ombi la upande wa Jamhuri la kuficha majina na taarifa nyingine za mashahidi raia wa upande wa Mashitaka katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, chama hicho kimesema kinaipinga Sheria hiyo ya iliyopitishwa...
  20. JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi : Awamu hii Mahakama yenyewe imekubali Shauri la Mch Dkt Malisa dhizi ya CCM, hili tu la kukubali kusikiliza Kesi, Haliwatii Aibu?

    Tuachilie Mbali Hukumu itakayotolewa ambayo huenda Ikatolewa Kwa Maelekezo!! Hili tu la Jopo la Majaji Watatu kuona Mch Dkt Malisa ana Hoja, Je halitoshi Kwa nyie Majaji wasajili wa VYAMA vya SIASA kuishurutisha CCM kama ambavyo mnafanya Kwa CHADEMA??. NYIE WAZEE HAMNA AIBU WALA HAYA USONI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…