malipo ya wakulima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wakulima wa Tumbaku - Mbogwe tunapata shida kutozwa Fedha Kupitishiwa/kusainiwa Malipo ya Wakulima na Ofisi ya Meneja MBCU LTD

    1. Viongozi wa AMCOS tunatozwa pesa kila tunapoenda kusainisha/kupitishiwa malipo ya wakulima katika chama kikuu MBCU, Kila malipo tunatozwa Meneja Ndg. Paulo Samweli kuanzia 4mil hadi 10mil kulingana na shedo ya malipo na fedha hii si ya vuongozi bali na yawakulima. 2. Tunahofia msimu huu...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Wakulima wa Miwa, Wilbroad Cyprian asema “Mazungumzo yanaendelea na Kagera Sugar kuhusu malipo ya Wakulima wa Miwa

    Suala la Wakulima wa Miwa kutolipwa stahiki zao kutoka Kampuni ya Kagera Sugar, ambapo ilielezwa kuwa walitakiwa kulipwa tangu Desemba 2025, mmoja wa wadau wa karibu wa Wakulima wa Miwa ameelezea kinachoendelea. Hoja ya Mdau ~ Kiwanda cha Kagera Sugar kilipe madeni ya Wakulima wa Miwa, wana...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya Wakulima wa Tumbaku Kigoma yanatakiwa kutoka ndani ya wiki 2, tunaenda mwezi wa 3 hatujalipwa

    Mimi ni Mkulima wa Tumbaku katika Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma tangu tumemaliza mnada ni miezi miwili sasa imepita tunaelekea wa tatu lakini hadi leo wamekuwa wakisogeza mbele tarehe za malipo. Mkataba unasema malipo yafanyike ndani ya wiki mbili baada ya mnada, naomba ufikishe ujumbe huu...
  4. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wakulima wa Korosho wa Mkunya Wilaya ya Newala hatujalipwa zaidi ya miezi miwili, wengine wamelipwa pungufu ya makubaliano

    Sisi Wakulima wa Korosho tuliopo Mkunya Wilayani Newala Mkoani Mtwara tulipimishwa korosho tangu Oktoba na wengine Novemba 2024, hapo nikiwa namaanisha wale maafisa wa Serikali walikamilisha taratibu zote za manunuzi wakaondoka na mzigo kwa ahadi kuwa tutalipwa muda sio mrefu. Kwa kawaida hela...
Back
Top Bottom