makubaliano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Vodacom Mnakiuka Agizo na makubaliano mliyofanya na Serikali

    Wanajukwaa kuanzia leo nimeona mabadiliko kwenye Akaunti yangu ya Mpesa upande wa Tozo za kutuma Pesa kwenda Mitandao mingine na kwenye Tozo za lipa kwa Simu Ndo kusema kuwa vodacom wanapuuza Makubaliano waliyoyaweka, Watanzania wanyonge Tunalia na Tozo hizo!
  2. JamiiForums Tanzania Tukiacha Unazi tuwe wakweli, je ni nani anayechezea Brand ya Simba hivi sasa bila makubaliano ya kimkataba yenye uwazi na yanayoeleweka?

    This is Funny Kampuni yake iliyomiliki 49% ya HISA za Simba si hizi kampuni zinazotangazwa kila kukicha. Hizi zinahitaji mikataba maalum ya kibiashara ili zitangazwe hivi wakuu. Unaponunua hisa si lazima upewe matangazo ya kibiashara bali unakuwa shareholder tu. Mo ni...
  3. JamiiForums Tanzania ZBC yangia Makubaliano na TFF Kutangaza Matangazo ya Mpira Redioni yennye thamani ya 3.5bilioni

    TBC na TFF wameingia makubaliano yenye thamani ya Tshs 3.5bilioni ambapo TBC watakuwa na haki xa kutangaza mpira wa ligi kuu kwa upande wa Redio. Makubaliano hayo yatakuwa no kwa miaaka 10 ambapo hakuna radio yoyote itakayo ruhusiwa kurusha matangazo hayo mpaka wapate kibali toka TBC. Una...
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania BBC: Kenya imeingia makubaliano na UK kuwapatia madaktari wake ajira

    Nimesikiliza dira ya dunia kwenye matangazo ya leo wanasema Kenya na uingereza wameingia makubaliano ambapo kupitia hayo makubaliano, madaktari wasiokua na ajira watapatiwa ajira hizo nchini uingereza. Naomba viongozi wetu waige ubunifu wa aina hii. Tusibakie na ubunifu wa kudhibiti wapinzani...
  5. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini unatakiwa kusaini makubaliano kabla ya kuchoma chanjo ya COVID-19?

    Rejea picha hapo juu (picha kutoka mtandaoni) Hayo ni makubaliano ambayo unahitajika kusaini kabla ya kupokea chanjo, kwamba uko tayari kwa lolote lile litakalo tokea na serekali haito wajibika. Je, hii ina maana gani? Je, ni kwamba Serekali haina imani na chanjo hiyo? Au wanafahamu wao kwamba...
  6. JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta kuendelea kuongezeka baada ya Mkutano wa OPEC kuvunjika pasipo makubaliano

    Bei ya mafuta imeendelea kupanda katika masoko ya barani Asia baada ya mkutano wa nchi zinazosafirisha mafuta kwa wingi duniani OPEC kuvunjika bila makubaliano juu ya mpango ulionuiwa kuongeza uzalishaji. Kuvunjika kwa mazungumzo kati ya mataifa wanachama wa OPEC na wadau wengine kumeongeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…