maktaba

  1. JamiiForums Tanzania Ali Saleh Alberto alipoingia maktaba na kitabu mkononi - Zanzibari hustler

    ALBERTO ATEMBELEA MAKTABA NA KITABU "ZANZIBARI HUSTLER" MKONONI Mbele ya Ali Saleh mimi sinyanyui kalamu yangu kuandika kitu. Isome kalamu inayokata kama wembe mpya: "Leo nilifika kwa mwana historia na mwandishi maarufu na sahiba wangu Sk Muhammed Said mjini Dar. Pamoja na mazumgumzo maana...
  2. JamiiForums Tanzania Channel Ten Maktaba: Historia ya African Association 1929, TANU 1954 hadi CCM 1977

    https://youtu.be/ewcNFGSVWAw?si=DKrusLtx0EUpYPa5
  3. JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Mstaafu Kikwete alipoomba aachwe apumzike

    Hii ilikuwa mwaka 2016 wakati wa zama za JPM ila kwasasa ni kama anaomba aendelee na madaraka!! Nini kimemkuta mstaafu JK?
  4. JamiiForums Tanzania KERO Maktaba ya Mkoa wa Lindi mmh! Ni Mungu tu ndio anajua wanaoitumia wanajisikiaje, ni mbovu na si salama

    Juzi kati nilienda Mkoani Lindi kumtembelea ndugu yangu wakati huu wa likizo, kuna jambo nililikuta huko na kuniacha mdomo wazi. Wenyeji wangu waliniambia kwa kuwa wao wako bize walilazimika kwenda kuwatafutia uanchama Watoto wao kwenye Maktaba ya Mkoa ili wapate nafasi ya kujisomea, lakini...
  5. JamiiForums Tanzania Clouds Maktaba Kutafuta Chanzo Cha Harakati za Uhuru

    EMMANUEL SHONDE WA CLOUDS AMEFIKA MAKTABA KUTAFITI CHANZO CHA HARAKATI ZA UHURU WA TANGANYIKA Kijana Emmanuel wa Clouds leo asubuhi kaniweka kitako akinipiga maswali na kunihoji kuhusu historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika. Emmanuel kasukumwa kuja kunihoji baada ya kusoma kitabu cha Abdul...
  6. JamiiForums Tanzania Historia ya Bichwa Komwe: Maktaba ya Jamiiforums

    Anaandika BICHWA KOMWE ✍️✍️✍️ Kwa jina naitwa BICHWA KOMWE, mimi ni mtoto pekee katika familia ya kitajiri. Baba yangu ni mzaliwa wa mtwara, mmakonde wa chitoholi. Mama yangu ni mmwera. Mama halisi wa Kiafrika. Mimi ni Binti pekee katika familia yetu, ambapo, nilipofikisha umri wa miaka 16...
  7. JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Tulia kabla hajawa Spika

    Kwenye pita pita nikakutana na pisi kali moja nikajiuliza huyu ni nani? Kumbe ni Dr. Tulia. Kipindi hicho bado hajapata wadhifa mkubwa na pesa hazijaanza kuingia, alikuwa ni manzi mkali aisee.
  8. JamiiForums Tanzania Maktaba na Vipande Vya Muziki wa Enzi Hizo

    MAKTABA NA VIPANDE VYA MUZIKI WA ENZI HIZO Huwa haipiti muda hungia katika mitaa ya Maktaba kujikumbusha hiki na kile. Leo nimekutana na mswada wa kitabu nilichoandika na Ally Sykes kuhusu maisha yake: ''Under the Shadow of British Colonialism The Life of Ally Sykes.'' (Hiki kitabu bado...
  9. JamiiForums Tanzania Maktaba Imefiwa: Al Fatah Online TV na Kipindi cha Taazia

    MAKTABA IMEFIWA: AL FATAH ONLINE TV IMEFIKA KUFANYA KIPINDI CHA TAAZIA YA MOHAMMED ABDULRAHMAN Jana kutwa nzima napokea simu na msg za pole kisha kuulizwa mbona sijaandika taazia ya msiba wa Mohammed Abdulrahman. Leo asubuhi Salim Rashid wa Al Fatah amekuja kutoka Zanzibar na boti ya kwanza...
  10. JamiiForums Tanzania Maktaba Imepokea Kitabu Cha Rajabu Ibrahim Kirama

    MAKTABA IMEPOKEA KITABU CHA RAJABU IBRAHIM KIRAMA Rajabu Ibrahim Kirama ndiye aliyeuingiza Uislam Uchaggani kiasi cha zaidi ya miaka 150 iliyopita. Katika maajabu ya Allah alipofariki watoto wake walihifadhi nyaraka zake zote ambazo zinafika umri wa miaka 100. Nyaraka hizi zilihifadhiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Maktaba Imepokea: ''Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Photographic Journey''

    MAKTABA IMEPOKEA: MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE PHOTOGRAPHIC JOURNEY Rafiki yangu ndugu Ali Sultan mmoja wa watayarishaji wa kitabu hiki kikubwa cha Mwalimu jana alikuwa Ikulu Dodoma kwa uzinduzi wa kitabu hiki. Leo kafika Maktaba kunikabidhi kitabu. Kiswahili hakina msamiati wa kueleza...
  12. JamiiForums Tanzania Maktaba ya Taifa(NLT)

    Habari za muda huu, na ahsante kwa kufungua uzi huu. Natumaini kati yetu yupo mtu mwenye uzoefu wa maktaba kuu ya Tanzania (National library of Tanzania ) Tafadhali tunaomba utusaidie ( Mimi na wana JF wengine ambao watafaidika) kuhusu utaratibu wa maktaba hii hasa gharama zake kwa ujumla...
  13. JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Mtoto wa Dandu, Joseph Kusaga na Kinjekitile Ngombare Mwiru

    Mastaa walipokutana miaka ya mwanzoni mwa 2000, Mtoto wa Dandu hapo alikuwa star sana, bahati mbaya alifariki kwa ajali ya gari.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Janabi hujaliona hili? chuo chetu kikuu hakiruhusu wanachuo kuingia na maji ya kunywa maktaba

    Kuna taratibu zingine ukizikuta unaanza kujiuliza hawa waliwaza nini? Kwa aina ya viongozi waliopo pale chuoni kwetu sina shaka wote wanajua umuhimu wa kunywa maji kila wakati ili Ubongo ufanye kazi vizuri. Sasa inakuaje mwanafunzi anaingia maktaba anakatazwa kubeba maji ya kunywa na kule...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii yaridhishwa na ujenzi wa mradi wa maktaba ya Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) uliofikia asilimia 99

    Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhishwa na ujenzi wa mradi wa maktaba ya Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) ambao umefikia asilimia 99 na unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Februari 2025. Akizungumza wakati wa majumuisho mara baada ya ziara ya kukagua ujenzi wa maktaba hiyo...
  16. JamiiForums Tanzania Maktaba ya CCM Dodoma

    MAKTABA YA CCM DODOMA Maktaba ya CCM Dodoma imesheheni vitabu vingi na majarida mengi. Mara ya mwisho miaka mingi iliyopita nilipokuwa hapo maktaba ilikuwa chumba kitupu mfano wa ukumbi mrefu wenye viti na meza mtu akakaa na kujisomea. Leo Maktaba ya CCM ni Maktaba hasa yenye meza na viti...
  17. N

    JamiiForums Tanzania KERO Maktaba ya Vitabu Zanzibar haina Huduma ya Maji, Watumishi na Wanachama tunateseka, tupo hatarini kupata magonjwa

    Mimi ni mmoja wa Wanachama wa Maktaba ya Vitabu ambayo ipo hapa Mjini Unguja, changamoto kubwa iliyopo hapa Maisara, Mkoa wa Mjini Magharib ni kukosekana kwa huduma ya maji. Naomba Wizara ya Elimu pamoja na Bodi ya Huduma za Makataba Zanzibar kushughulikia changamoto hii haraka iwezekavyo...
  18. JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba, sio mbaya kukumbushana

    Mnyama Simba aliongoza kundi mbele ya mabingwa wa kihistoria Al Ahly katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Mambo kama haya ni wakubwa wa kazi tu, timu yako kama ina watoto wanaopaka rangi nywele huwezi kufika huko.
  19. JamiiForums Tanzania Mgeni Adhim Atembelea Maktaba

    Leo jioni nimepokea mgeni adhim kupita kiasi niliyekutananae akiwa mtoto mdogo akisoma shule ya msingi. Mtoto huyubalikuja nyumbani kwangu kaletwa na baba yake. Ilikuwa asubuhi moja mwaka wa 2018. Mtoto huyu baba yake ambae hatukuwa tunafahamiana aliniambia kuwa mwanae alikuwa amesoma kitabu...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna uhitaji mkubwa wa maktaba nyenginezo mpya hapa Dar

    Ukiachana na wanafunzi ambao wanahudhuria shule ama vyuo ambako kuna madarasa na maeneo ya kujisomea, raia wa kawaida wanaotala kujisomea wanapata changamoto kweye mji huu Hasa ukizingatia watu wengi wanaishi mitaa na mazingira yasiyo encourage utulivu wa kujisomea. Kimbilio lao pekee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…