makosa

Makossa is a Cameroonian style of urban music. Like much other late 20th century music of Sub-Saharan Africa, it uses strong electric bass rhythms and prominent brass. In the 1980s makossa had a wave of mainstream success across Africa and to a lesser extent abroad.
Makossa, which means "(I) dance" in the Douala language, originated from a Douala dance called the kossa. Emmanuel Nelle Eyoum started using the refrain kossa kossa in his songs with his group "Los Calvinos". The style began to take shape in the 1950s though the first recordings were not seen until a decade later. There were artists such as Eboa Lotin, Misse Ngoh and especially Manu Dibango, who popularised makossa throughout the world with his song "Soul Makossa" in 1972. The chant from the song, mamako, mamasa, maka makossa, was later used by Michael Jackson in "Wanna Be Startin' Somethin'" in 1983. Many other performers followed suit. The 2010 World cup also brought makossa to the international stage as Shakira sampled the Golden Sounds popular song "Zamina mina (Zangalewa)".
Makassi is a lighter style of makossa.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania akina Tundu Lisu wa venezuela waanza kuachiwa!

    D.Trump (USA)- wafungwa wa kisiasa waliofungwa na communist maduro wameanza kuachiwa, thanks to D.Trump, ni swala la muda tu hata akina Tundu Lisu watafikiwa, tusife moyo to fight evil ...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwamba mnaomba marais wote wanaoua raia wasio na makosa wachukuliwe kama Maduro?

    Hii ni hatari sana. Mmefikia hatua mbaya sana. Yaani mnataka Afrika isaidiwe na mmarekani ili madikteta wote wag'olewe kwa nguvu kama ilivyotokea kwa Maduro? ... ...
  3. JamiiForums Tanzania Nchi inapopata kiongozi mjinga inakuwa hatari sana hapo ndipo makundi ya kigaidi hujitokeza yanateka na kuuwa tukivuka hapa tusifanye makosa tena

    Nchi inapopata kiongozi mjinga inakuwa hatari sana hapo ndipo makundi ya kigaidi hujitokeza yanateka na kuuwa tukivuka hapa tusifanye makosa tena. Lazima tujiulize mpaka sasa ni wangapi wametekwa ni wangapi wame uwawa kikatili ni wangapi wamenyimwa haki zao, ni wangapi wapo gerezani kwa kesi...
  4. JamiiForums Tanzania Kuzaliwa kwa Magufuli Tanzania yalikuwa ni makosa makubwa sana, nchi hii inastahili vilaza pekee, siyo watu wenye akili kubwa kama magu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kitendo cha Magufuri kuzaliwa Tanzania yalikuwa ni makosa makubwa sana Taifa hili ni la vilaza watu wenye akili kama Magufuri hawakutakiwa kabisa Magufuli kalikuta taifa hili miaka 60 ya uhuru halina hata ki fly over cha mchongo yeye...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Je Biblia Tuliyonayo Sasa Hivi haina Makosa Kabisa?

    Wakristo tofauti na Waislamu wanaodai bila kufikiri kuwa Kurani haina makosa, hatubishi kuwepo kwa makosa katika Biblia. Je hilo linamaanisha kuwa Mungu wa Biblia alishindwa kuilinda Biblia isihujumiwe? La hasha!HEKIMA YA MUNGU WA BIBLIA imezidi kifani kulinganisha na hekima ya Viumbe vyake...
  6. JamiiForums Tanzania Nani mwenye makosa?

  7. JamiiForums Tanzania GenZ chondechonde, wajumbe wa Serikali za Mitaa na vijiji mtawaonea bure kushambulia familia zao. Achaneni na mpango huu

    Hii ni link ya audio video ya GeZ wakijadiliana namna ya kulianzisha tena pengine kabla hata 25/12 na kuendelea.... https://youtu.be/oLG8oqkpG5c?si=8NzhnwgIimcza0Es Kinachopangwa na kujadiliwa ni maandamano ya kuanzia 25/12. Lakini kilichonishitua zaidi mimi si maandamano yenyewe..... Ni kile...
  8. JamiiForums Tanzania Rwanda: Kagame ayafungia maelfu ya makanisa ya Kiinjili

    Serikali ya Rwanda imechukua hatua ya kufunga maelfu ya makanisa ya kiinjili nchini humo, kufuatia ongezeko lake la kasi ambalo limeibua wasiwasi miongoni mwa mamlaka za serikali. Mamlaka zimeyakosoa makanisa hayo kwa kuyataja kuwa yamepoteza mwelekeo wake wa msingi, yakidaiwa kugeuka kuwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania BAWACHA epukeni makosa ya kiufundi kwenye matamko yenu tafadhali

    Salaam! Nimemsikia kiongozi wa BAWACHA akiunga mkono kauli ya makamo mkt Taifa John Heche kuhusu kutoitambua Serikali na uchaguzi batili uliofanyika. Sasa kosa la kiufundi linakuja pale msemaji huyo anapoitaka Serikali iwachukulie hatua wote waliohusika na mauaji ya October 29. Serikali huja...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Majizo, wasanii wanapaswa wawajibike kwa Makosa yao. Masuala ya kuajiri sijui kujiajiri hayana maana kama hawako upande wa wananchi

    Hamjambo wote! 1. Nashangaa wanaolalamika kuhusu Wananchi kususia wasanii. Mimi mpaka sasa sijaona kama Wananchi wamesusia kazi za wasanii. Bado sijaona. Ni kama wamewapa tuu tishio na sio kwamba wameamua kuwapiga Pin. 2. Tunapoelekea kwa kiwango cha awareness na elimu ndani ya jamii...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kukubali maandamano kwao ni sawa wamekubali kuachia na kukubali ukweli na makosa

    Maandamano ni haki ya kikatika ila sasa kwa mikono yao iliyoshika damu na utamu wa madaraka unaweza kufikiri waka kubari. Maandamano haya yanataka waachie nchi.Ndio maana wamejiandaa kwa propaganda,mauwaji,utekaji. Hakuna mwanaCCM na fisadi wanaweza kukubari wabwage manyanga. Bila damu D9...
  12. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia hana kosa lolote makosa yako kwenye wingi wa wasaidizi wabovu anaowakumbatia

    Habarini,ni wazi uongozi au jeshi bora siku zote hutikana na watu wake wa chini kuwa bora kwa uadirifu katika nidhamu,hekima,ukweli na uwajibikaji. Wasaidizi wengi wa Rais ni mamburura wa kutupa wanaomuingiza chaka Rais kwa kumpa taarifa za uongo na utendaji kazi wao mbovu. MaRC, maDc, maDas...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kumbe wahalifu wa makosa dhidi ya binadamu wanaweza kukamatwa na Interpol

    Hati ya kukamata ikishatolewa na ICC intepol wanamamlaka ya kukamata. Kama alivyokamatwa Rodrigo Durtete aliyekuwa Rais wa uphilipino kwa makosa dhidi ya uhai wa binadamu. Ndivyo hivyo wahalifu wengine watakamatwa na Interpol. Rodrigo Durtete mpaka sasa yupo the Hague ananyea ndoo.
  14. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuhakikisha kikatiba makamu wa rais harithi madaraka pale rais anapokufa ili kuepuka kurudia makosa

    Kama katiba yetu ingekuwa hairuhusu makamu wa rais kuchukua madaraka baada ya kifo cha rais, tusingekuwa kwenye balaa hili linalotusumbua sasa hadi kupoteza maisha ya watu wetu wasio na hatia. Wala tusingekuwa na rais pandikizi ambaye hatukumchagua. Tusingekuwa na utawala usiojua unachopaswa...
  15. JamiiForums Tanzania Makosa Yale Yale yanafanyika tena

    Yale ya kabla ya Oktoba 29 ndiyo yanarejea tena tujipange ikiwa litatokea la kutokea uwe na chakula ndani na vitu muhimu kwasababu hatuwezi kuona yajayo ila tunahisi
  16. K

    JamiiForums Tanzania Serikali fake: Tatizo ni kubwa haiwezekani kusingizia tena! Kubalini makosa kwanza

    Serikali fake: Tatizo ni kubwa haiwezekani kusingizia tena! Kubalini makosa kwanza. Hamtaweza kusingizia TEC, Chadema wala Diaspora. Tatizo la yote ni moja tu HAKI bila kuweka utaratibu wa kupata HAKI yote mnayofanya ni bure. Mazoea ya kujidanganya yamefika mwisho
  17. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Arusha: Bubu ashtakiwa kwa makosa ya Uhaini

    Bubu huyo ni miongoni mwa washukiwa wa makosa ya uhaini waliopandishwa leo kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi. Yupo pia mwandishi wa habari wa Millard ayo aitwaye Thomas pamoja na watoto ambao ni chini ya umri wa miaka 18. Swali langu, bubu anawezaje kufanya uhaini? Swali la pili, Ikiwa...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wanaobeza maandamano ya Desemba 9 wanarudia makosa haya

    Gen Z wa Tanzania walipotishia kuandamana kupinga uchafuzi ulioitwa uchaguzi, wengi, hasa machawa, waliwabeza wakijipa imani kuwa wasingeweza. Mbona waliweza. Hata haya maandamano yanayopangwa kufanyika siku ya kuadhimisha uhuru wa Tanganyika yatafanyika, na serikali haitafanya kitu. Mosi, Gen...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa shangazi Maria Sarungi: Ni makosa makubwa ya kimkakati kuitisha maandamano mengine hivi karibuni

    Shangazi wa Taifa Maria, pole sana kwa harakati zako za kupigania haki, na Tanzania yenye demokrasia ya kweli, maendeleo kwa watu na kupinga ufisadi na ubadhirifu na kila aina ya dhulma nchini. Nitoe pole nyingi sana kwa Watanzania waliofiwa na ndugu zao kutokana na yaliyojiri katika maadamano...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Ili kuiaibisha Serikali, Polisi na Mahakama, watuhumiwa wote wa Uhaini wakiri makosa yao

    Sitaeleza sana maana naamini kwa ufupi naweza kueleweka. Hawa vijana wa Kitanzania wa kiume na kike zaidi ya 200 wanaoshitakiwa kwa UHAINI, nawashauri wote kwa umoja wao wakiri mashitaka yao yote. Naamini Serikali imejipanga kuwaozesha jela kwa kesi ndeeefu halafu mambo yakipoa utasikia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…