Mtoto wa Hayati Mwalimu Nyerere amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Butiama mkoani Mara. Ikumbukwe hivi karibuni Madaraka Nyerere ambaye ni ndugu yake naye aliita waandishi na kutangaza nia ya ubunge jimbo hilo.
Pia soma > Uchaguzi 2020 - Madaraka Nyerere, mtoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius...