makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. D

    JamiiForums Tanzania Wengi hamjui, ujasiri wa Makonda ulianzia hapa!

    Baada ya kutoka Kolomije na kufika Dar es salaam Makonda alifikia Lumumba kwa utambulisho wa uCCM. Alilala katika moja ya ofisi za chama hicho siku kadhaa kabla ya Mzee Samwel Sitta kumchukua nyumbani kwake kama rafiki na Msaidizi wake. Ni Sitta alifanikisha Makonda awe Katibu wa Chipukizi na...
  2. JamiiForums Tanzania MAKONDA MSHTAKIWA RASMI SASA BAADA YA KUTOKA KWENYE MFUMO

    Makonda ulinusurika kufanywa kama Sabaya, wazee wa korido au viambaza walikulinda kwa maelekezo ya Hangaya. Wajuzi wa mambo wakaenda mbali zaidi wakasema Hangaya alikupenda japo ulitoka familia ya jiwe,wengine wakasema Makonda hujawahi mchafua Hangaya akiwa makamu wa ofisi za Magigoni...
  3. JamiiForums Tanzania Makonda karibu Mtwara ila tunataka majibu juu ya bei ya korosho

    Kwanza kabisa tuipe pole familia ya mzee Lowasa kwa kuondokewa na kipenzi chao, pia pole kwa wa Tanzania kuondokewa na waziri mkuu mstafu. Makonda nakuita mara tatu, bado nitasema mimi ni shemeji yako, licha ya ushemeji kesho unakuja nyumbani mkoa wa Mtwara. Nitakukaangia korosho ambazo...
  4. JamiiForums Tanzania Naanza Kumuelewa na KUMKUBALI MAKONDA

    Makonda kwa sasa anafanya kazi za Taasisi nyingi Anasaidia Majukumu ya Wabunge Anasaidia Majukumu ya Mahakama Anasaidia Majukumu ya TAKUKURU Anasaidia Majukumu ya Polisi Anasaidia majukumu MENGI MENGINEYO ANAFICHUA MENGI YALIYOLALA
  5. JamiiForums Tanzania Makonda, ukimalizana na GSM, kaisambaratishe kampuni ya WASAFI ya Diamond, ulikuwa mlezi wao, ulipokosa madaraka wakakufukuza

    Makonda alikuwa mlezi wa kampuni ya wasafi inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Mara kadhaa alisikika akimkemea Harmonise asivute misokoto yake. Lakini tangu aukose ukuu wa Mkoa, Wasafi waliona kama wametua zigo la misumari, wakampiga chini. Nashauri Makonda asiwaache salama kwenye orodha yake...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Makonda suala la umeme, sukari na nauli yamemshinda?

    Makonda aache sanaa na janja janja. Na kwa kua ameamua kujipa hata kazi ambazo sio zake na kama kweli ana ubavu, tunamuagiza alivalie njuga suala la umeme, sukari na suala zima la nauli. Haya ndiyo mambo makuu ambayo ni kilio kwa Watanzania wengi wa hali ya chini na kati.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wamejaa matatizo, hivyo yoyote wa kuwapa matumaini, watamfuata kama watu walivyomfuata Yesu, Babu wa Loliondo. Sasa Mwamposa na Makonda

    Ukiacha matatizo ya kiafya(magonjwa, n.k), watanzania wana matatizo mengi huku wakiwa wamepoteza matumaini ya matatizo yao kutatuliwa na mfumo huu mbovu wa kiutawala tulionao. hivyo, yoyote wa kuwapa matumaini, watamfuata mradi tu awe na mamlaka na zaidi awe na kipaji cha kuigiza mbele ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mahakama kupitia Jaji Mkuu imjibu Makonda. Kukaa kimya wananchi wataamini asemayo

    Paul Makonda, Mwenezi wa CCM akiwa anazunguka nchi nzima kwa misafara mirefu kuliko kiongozi yeyote na kusikiliza kero na kuwalalamikia CCM wenzake kwa kutofanya kazi. Mwanzo alianza na kulalamikia CHADEMA, AKAJA KWA MBOWE SASA wana CCM wenzie. Makonda amewaambia wananchi na kuwaagiza...
  9. JamiiForums Tanzania CCM imevuliwa nguo na Makonda leo imechutama

    Chama cha mapinduzi CCM toka kimeanzishwa hakina utamaduni wa kuvuliwa nguo, hata babu zetu waliotangulia katika makaburi ya uko ginigi wanalijua ilo. Ukumbi wa Chimwaga Dodoma una historia ungekuwa unasema ungesema. Lakini kwakuwa hauna historia ya kusema hauwezi sema. Leo Makonda kijana...
  10. JamiiForums Tanzania Jiji la Mbeya: Mfupa Mgumu kwa Makonda na CCM

    Tumeona ziara ya Comrade Makonda MNEC na mwenezi wa CCM Taifa maeneo mengi ya nchi. Hata tuliokuwa tuna muona Makonda kama muhalifu (mwenye kudhulumu haki ya kuishi) sasa tuna muona shujaa. Ukiachana na kuwa watu wengi wana angalia vi clip ambapo vinaonesha jinsi anavyo tatua migogoro kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Yanayojiri ziara za Ndugu Paul Makonda maeneo mbalimbali nchini

    Karibu! Katika uzi huu tujadili yanayojiri moja kwa moja ziara za Muenezi Taifa Ndugu Paul Makonda. Tuanze na Makambako alipokuwepo siku ya jana 09 /02/2024.
  12. JamiiForums Tanzania Makonda amesema kweli; wengi wa viongozi wa Serikali hii ya CCM wanafanya usanii kumpa sifa Rais Samia, lakini kivitendo wanamhujumu

    Pengine mtu mbaye anabeba vichwa vya habari kwa sasa kuliko mtu mwingine yoyote hapa nchini kwa sasa ni Paul Makonda aka Bashite. Watu wanajiuliza maswali mengi, iweje mtu huyu huyu, kwenye utawala wa awamu ya 5, chini ya Mwendazake, alionekana kuwa ni mhalifu mkubwa, leo hii kwenye utawala wa...
  13. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Makonda ni tatizo, dalili mbaya au suluhisho?

    Paul Makonda ni zaidi Katibu Mwenezi wa chama Tawala. Tumewahi kuwa nao wengi na wapo wengi wa vyama vingine. Hakuna kama Makonda uzuri na kwa ubaya. Kwa nini? 1. Kama Makonda ni tatizo basi halina suluhisho. Kwa sababu ndani ya chama tawala huyu ndiye ameonekana. Na kama huyu ndiye bora zaidi...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa haya anayoyafanya Makonda najaribu kufikiri nje ya box

    Ndugu zangu wadanganyika, Matatizo au changamoto ambazo kiini chake ni mfumo mzima mbovu wa nchi hii, auwezi kutatuliwa kwenye mikutano na wananchi, kwa kuinua mwananchi mmoja na kumsikiliza kisha unampigia simu sijui waziri au mkurugezi kutatua shida ya huyo mwananchi. Ukweli ni kwamba...
  15. JamiiForums Tanzania Lissu: Watoto wangu wana uraia wa Marekani, mbona Makonda kama ana Wivu

    Akifanya mahojiano na Mwanahalisi, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amejibu maswali kuhusu uraia wa watoto wake na pia kufunga ndoa na Mzungu. Akijibu maswali hayo, Tundu Lissu amesema watoto wake ni Raia wa Marekani kwa kuzaliwa, na pia kuhusu kuoa yeye alimsikia Makonda "Makonda...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Makonda: Wafanyabiashara huichangia CCM kwa kuogopa wasiletewe TRA, TAKUKURU, uhamiaji ama Polisi

    Makonda amekiri kwamba matajiri wengi huchangia chama cha mapinduzi kwa uoga ila sio kwamba wanakipenda chama ili wasiletewe TRA, TAKUKURU, Uhamiaji ama Polisi. Msikilize mwenyewe. --- Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amesema...
  17. JamiiForums Tanzania Ziara za Makonda, malalamiko ya wananchi kutotendewa haki na watumishi, ni kuanzia mwaka 2021 hii maana yake nini?

    Wasalaam Tanzania. Nimekuwa mwingi wa kufuatilia mikutano ya ndugu Paul Makonda mwenezi wa CCM. Amekuwa akipokelewa na wananchi kwa wingi na mabango mengi yenye malalamiko dhidi ya watumishi wa Serikali n.k Kila ambaye amekuwa akipeleka malalamiko, anapoulizwa ni tangu lini, wengi wao...
  18. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Kero anazotatua Makonda zinamuhitaji azunguke nchi nzima miaka 60 ijayo

    Mimi ni mtu wa imani, mpenzi wa Biblia na mqmbo chanya kwenye Quran. Kwa upeo wangu hafifu kisiasa nimeangalia malalamiko anayotatua Mh Makonda nimeona anahitaji kuzunguka nchi nzima miaka 60 ijayo angalau hadi 2084 Feb. Kwanini? 1: Matatizo anayoletewa mtu kukatwa mapanga, kunyimwa malipo na...
  19. JamiiForums Tanzania Makonda: Stendi mpya Iringa ipewe jina la Chongolo

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda amesema ataishawishi Serikali na Uongozi wa juu mara baada ya kukamilika kwa stendi mpya Iringa ili ipewe jina la aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo kwakuwa ameacha alama ndani ya CCM. Makonda amenukuliwa akisema...
  20. JamiiForums Tanzania CCM wenye akili na vyama vya upinzani wote wamegoma kucheza ngoma ya Makonda

    Friends and our enemies, 'Anyone can become angry - that is easy.But to be angry with the right person,to the right degree,at the right time,for the right purpose,and in the right way - this is not easy.(ARISTOTLE,The Nicomachean Ethics). 'How you do anything,is how you do everything'...(Dante...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…