Nimeona taarifa za malalamiko toka Z'bar. Nimeona tena taarifa ya maandishi toka kwa mjumbe wa Bara. Wote wanasema Mshindi wa nafasi alikuwa Antony Mtaka, badala yake kapewa mtu aliyepata kura moja, kwa amri ya Makonda.
Nasema hivi kama tumefikia hatua hii, kwamba tuna mawaziri hovyo kiasi hiki...