Makombora ya Urusi yaliyorushwa katikati ya Nchi ya Ukraine yameua takribani watu 20 kati yao wakiwemo watoto watatu na wengine 90 kujeruhiwa.
Msaidizi Mkuu wa Polisi, Kyrylo Tymoshenko amesema makombora matatu yameharibu ofisi na makazi ya watu maeneo ya Vinnytsia ambayo yapo kilometa 268...