makocha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Makocha hao hapo sasa simba kazi kwenu

    Mnaotafuta Kocha kuna huyo Romuald Rakotondrabe pale Madagascar ✍️👊 Mwalimu sana huyu! Nabi Nessredine pia hana kazi kwa sasa✅ Jose Riveiro naye hakijaeleweka saaana ✅ Miloud Hamdi atafukuzwa pale Ismailia muda wowote wiki hii ✅ Wengine mnaoweza kuwatafuta: Miguel Gamondi - Singida Huwa...
  2. Taifa stars (kichwa cha mwendawazimu ), Haina makocha bali inawahuni tu na wapiga ramli chonganishi

    Benchi la Taifa stars kichwa cha mwendawazimu, limejaa uswahili Swahili mwingi , watu kama Julio kiwhelu , Juma Mgunda na Hemed Morocco hawafai kuwa hata wafua jezi wa timu ya Taifa .. Hao ni wahuni tu , ujuaji mwingi lakini maarifa sifuri...!!Kocha mkuu amejaa kiburi kisicho na faida , na...
  3. Hivi ni kwanini Vilabu vingi vya Tanzania vinapenda sana Kuchukua Makocha wa kujirudia rudia hasa walipoita Yanga na Simba?

    Sasa nyie Majirani zangu KMC FC huyo Kocha mnayemtambulisha leo hii Marcio Maximo ana jipya gani hasa la Kimpira?
  4. Yanga imebadilisha makocha mara tatu na bado imetwaa vikombe vyote msimu 2024/25

    Wakati msimu unaanza, Miguel Gamondi aliendelea na kazi yake, Ila mashabiki wengi hatukufurahishwa na mwenendo wa matokeo ya ushindi mwembamba, Yanga ilikuwa inashinda lakini kwa taabu, hatimaye Tabora na Azam wakachukua alama. Tukaona isiwe kesi, ikatua mashine ya Kijerumani, pira likaguswa...
  5. S

    Luis Enrique na Antonio Conte ndio makocha Bora duniani kwa Sasa wanaoweza kumbadilisha mchezaji kutoka chini na kuwa bora sio Fahdu Davis

    Timu nzuri inajengwa na kocha sio wingi wa mastaa, kocha ndio anajua taaluma yake inahitaji wachezaji wa aina gani, PSG iliwahi kujaza mastaa kibao na haikuwahi kufanya vizuri kama PSG hii yenye wachezaji wawili TU wanaojulikana sana Dembele na Hakeem. Wachezaji kama akina Vitinha alikuwepo...
  6. D

    Kwanini kuna kocha maalum wa makipa?? Wapo wapi makocha wa mabeki, forwards au midfielders??

    (1) Kwanini kuna makocha maalum wa makipa na hakuna makocha maalum wa forwards, mildfilders au mabeki?? (3) Kwanini wachezaji wengi wastaafu wakiamua kuwa makocha basi ni wale mabeki, forwards au viuongo wa zamani na sio makipa wa zamani?? Kwanini makipa wa zamani sio makocha wakuu wa timu...
  7. Inawezekana lugha inachangia kwa makocha wa kigeni kuwapendelea zaidi wachezaji wa kigeni

    Mara nyingi utasikia watu wanasema "mpira una lugha yake" ila wanachoshindwa kutambua ni kuwa kushindwa kuelewa lugha fulani kunaweza kukupunguzia uwezo wa kuelewa maelekezo kwa haraka na ufasaha na pia kukupunguzia confidence. Nikiangalia wachezaji wa Simba kama Karabaka, Mashaka, Balua...
  8. Hivi hawa makocha wa ligi yetu ya NBC mnawaelewa kweli. Kwanini wanaendekeza njaa zao na kudhalilisha taaluma zao za ukocha?

    Wewe ni kocha umesomea taaluma yako ya ukocha na ukapewa leseni ya ukocha unawezaje kupangiwa kikosi na kiongozi wa timu ambae hana uelewa wowote na taaluma ya coaching?!... Ifikie hatua haya malalamiko ya makocha kupangiwa timu na viongozi yafike mwisho Wewe ni kocha ukiona kiongozi...
  9. Wapo wapi makocha wa zamani wa Simba Zoran Mark, Robertinho na Benchikha?

    Hawa makocha baada ya kupigwa na Yanga walitimuliwa wote Kwa nyakati tofauti, hadi Leo hawajulikani wapo wapi? Labda wapi makwao wakilea wajukuu Yaani hao makocha hawana hadhi hata ya kufundisha championship Yanga ndo timu inawapa platform coaches, wanakuja Yanga wanapata jina na kuaminiwa na...
  10. G

    Makocha wa timu za taifa letu

    Hemed Morocco Juma Mgunda Jamuhuri Kihweru Amri Kiemba Bakari Shime Ahmed Ally Je umegundua nini hapo kuhusu soka la bongo?
  11. Mjadala: Matatizo ya Makocha WA mpira wa miguu Tanzania

    Wanamichezo naomba tujadili Kwa kina Matatizo ya Makocha wetu WA mpira miguu hapa nchini. Kwanini Makocha wetu hawaendi kufundisha nje ya Tanzania. Wana udhaifu gani na ni changamoto zipi wanazokumbuna ambazo huwafanya washindwe kutekeleza majukumu yao Kwa ufasaha.
  12. Makocha Saed Ramovic na Fadlu Davis, walalamikia wingi wa mechi.

    Misimu kadhaa iliyopita kuna wakati aliyekuwa kocha wa Simba Robert Oliveira "Robertinho" na kocha wa Yanga Nasridine Nabi walilalamikia wingi wa mechi na umbali ambao wachezaji husafiri baada ya kucheza mechi na kabla ya mechi inayofuata. Wote wawili walisema umbali na ukaribu wa kati ya...
  13. Ahmed Ally: Simba SC tunajivunia pakubwa, makocha wote walioipeleka Taifa Stars AFCON wanadamu ya Simba SC

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ametoa pongezi kubwa kwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia pamoja na timu ya Taifa Stars kwa mafanikio makubwa ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Pia, Soma: Simba SC yazindua rasmi uzi mpya wa michuano ya...
  14. Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024

    Its match day!! Ni Tanzania Vs Guinea katika dimba la Benjamin Mkapa kuanzia Saa 10:00 Jioni. Ni mchezo wa kufuzu AFCON ya mwaka 2025 pale Morocco ambapo kundi H Taifa Stars inahitaji ushindi wa namna yoyote ili ifuzu wakati Guinea wao wakihitaji ushindi au droo ili waweze kufuzu. Saa 10:00...
  15. STATUS ya makocha bora duniani

    Nini kimekushanga?
  16. G

    Video: Benchi la ufundi Singida Black Stars kalala chini baada ya kupigwa

    Ni baada ya kipindi cha kwanza kuisha kulizuka mzozo kwenye lango la kwenda vyumba vya mapumziko, baada ya varagati hilo alionekana moja ya makocha wa Singida Black Stars akiwa amelala chini.
  17. Rekodi za Makocha wa Manchester United kwenye michuano ya Ulaya tangu Fergie alipostaafu

    1. Michael Carrick Matches – 1, Wins – 1, Draw – 0, Loses – 0, Win % - 100 2. Jose Mourinho Matches – 29, Wins – 18, Draws – 6, Losses 10, Win % - 62 3. Ole Gunnar Solskjaer Matches – 35, Wins – 19, Draws – 6, Losses – 10, Win % - 54 4. David Moyes Matches – 10, Wins – 5, Draws – 3...
  18. Makocha wanaotisha zaidi Duniani

    Makocha ambao inabidi waheshimiwe kwa kuubadirisha ulimwengu wa soccer
  19. D

    Simba Sports Club inaongoza kuwa na makocha matapeli

    I will be short list yangu ya matapeli since 2014 - 1. Vítor Salvador (Jul 2014 - Jun 2015) 2. Goran Kopunovic (Jan 2015 - Jun 2015) 3. Dylan Kerr (Jul 2015 - Jun 2016) 4. Pierre Lechantre (Nov 2017 - Jun 2018) 5. Patrick Aussems (Jul 2018 - Nov 2019) 6. Sven Vandenbroeck (Dec...
  20. M

    Kocha Gamondi atafutiwe kocha msaidizi mzawa

    Nikiwa kama mdau na mshabiki wa soka la Tanzania, nami nimewiwa kuchangia hili kwa maendeleo endelevu ya soka la klabu ya Yanga na Taifa kwa ujumla Nashauri klabu ya Yanga ilete kocha kijana mzawa awe kwenye jopo/benchi la ufundi la kocha wa timu ya Yanga( Dar Young African FC). Hii ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…