makete

Makete District is one of the six districts of Njombe Region of Tanzania. Its administrative seat is the town of Iwawa. It is bordered to the north and west by the Mbeya Region, to the east by the Njombe District and to the south by the Ludewa District. It is divided into six divisions and 17 wards. Makete District was founded in 1979 with the policy of the Ujamaa. Before, this part of Iringa Region belonged to Njombe District.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Makete District was 128,520.] The Wakinga people mostly live in Makete District.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    PostGE2025 Bodaboda Makete wamtimua aliyekuja kuwashawishi waandamane Disemba 9

    Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Mahamoud Banga amesema madereva bodaboda wilayani Makete hususan Makete mjini walimtimua mtu aliyekuwa amekuja kwao kwa ajili ya kuwashawishi waandamane Desemba 9, 2025 Akizungumza na waendesha bodaboda mjini Makambako hivi karibuni, Kamanda huyo amesema...
  2. Just Pray

    GE2025 Bi. Silivia Mahenge kujitokeza kuchukua fomu ya kugombea udiwani wa kata Iwawa Makete

    Kinyang'anyiro cha udiwani kata ya Iwawa wilayani Makete mkoani Njombe kinaendelea kushika kasi baada ya Bi. Silivia Mahenge kujitokeza kuchukua fomu ya kugombea udiwani wa kata hiyo Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Leo Juni 29,2025 amechukua fomu na...
  3. R

    DC Makete atoa onyo kwa wananchi kuacha wivu wa Misitu. Asema hasara imefikia Bilioni 80 ndani ya miaka minne

    Mkuu wa wilaya ya Makete mkoani Njombe Kissa Kasongwa ameagiza wakazi wa wilaya hiyo kuchukua tahadhari dhidi ya moto unaoteketeza misitu na kupoteza fedha nyingi kila mwaka hali inayopelekea kurudisha nyuma uchumi wa wanaMakete DC Kissa ameeleza hayo wakati akizungumza na wakazi wa Bulongwa...
  4. Waufukweni

    Kanisa la KKKT Makete lamzawadia Rais Samia Tuzo ya Amani na Umoja

    Katika hatua ya kutambua mchango wake mkubwa katika kudumisha amani, umoja na mshikamano nchini, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Kati limemzawadia tuzo Rais Samia. Tuzo hiyo imekabidhiwa rasmi leo Juni 7, 2025, katika Wilaya ya Makete, mkoani Njombe, na...
  5. Just Pray

    Makete: Vijana wachoma moto Jeneza la marehemu wakidai kutokea kwa vifo tata kwa vijana wanaoenda kufanya kazi Dar

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida baadhi ya vijana katika kijiji cha Kilanji kata ya Kipagalo wilayani Makete mkoani Njombe wamechoma moto jeneza lililokuwa limebeba mwili wa marehemu Kasinde Sanga (28) aliyefariki dunia jijini Dar es Salaam alikokuwa akifanya kazi dukani kwa madai kwamba kifo...
  6. Nipe Maji

    Afisa afya Makete: Wananchi acheni kula ngedere na nyani mtaambukizwa Mpox

    Wananchi wilayani Makete mkoani Njombe wametakiwa kuepuka tabia ya kusalimiana kwa kushikana mikono sambamba na kuacha kutumia vitoweo vya wanyama kama Nyani pamoja na Ngedere ili kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Mpox. Kauli hiyo imetolewa na Afisa afya halmashauri ya wilaya ya Makete na...
  7. Just Pray

    Makete: Mwananchi anayeshindwa kuhudhuria mkutano wa kitongoji atatozwa faini ya mfuko mmoja wa saruji (Cement)

    Kutokana na kitongoji cha Dombwela kata ya Iwawa wilayani Makete mkoani Njombe kukubaliana kujenga ofisi mpya za kitongoji hicho, wananchi wamekubaliana kubadilisha sheria kwa watakaokuwa hawafiki kwenye mikutano ili irahisishe shughuli za ujenzi huo Katika mkutano wa kitongoji hicho...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 BAWACHA yaonya wanachamana wake Makete kunyanyaswa

    Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) Taifa Sigrada Mligo akiwa kwenye mkutano wa hadhara eneo la soko kuu Makete mjini ameonya wanaowanyanyasa wanachama wa CHADEMA wilayani Makete kuacha tabia hiyo kwa kuwa kila chama kipo kwa mujibu wa sheria.
  9. Mindyou

    Mkuu wa Wilaya ya Makete amuagiza DED kukarabati vibanda vya stendi ya Makete Mjini ndani ya mwezi mmoja

    Mkuu wa wilaya ya Makete mkoani Njombe Kissa Kasongwa amemuagiza Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo ndani ya mwezi mmoja kufanya ukarabati wa vibanda vya wafanyabiashara wa stendi ya mabasi Makete mjini pamoja na kuifanya ipitike vizuri wakati wa mvua na jua. Mkuu huyo wa Wilaya ametoa...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 CHADEMA Makete: Tumebadili tu Gia, Mbowe hana baya

    Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Makete mkoani Njombe wamezungumzia uchaguzi wa viongozi wa chama hicho taifa pamoja na namna uchaguzi huo ulivyofanyika Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA...
  11. Waufukweni

    Makete: Mzee wa miaka 62 ambaka mwanafunzi wa kidato cha pili

    Mwanafunzi anayesoma kidato cha pili mkazi wa kijiji cha Ihela wilayani Makete mkoani Njombe ameelezea tukio la ubakaji alilofanyiwa na mzee wa miaka 62; "alisema nisiogope anafanya haraka na kundoka, nikaondoka kwa hasira na kwenda kukaa kwenye kitanda, nlisahau kufunga mlango, alivyoingia...
  12. Mindyou

    LGE2024 Njombe: Mbunge wa Makete Festo Sanga apiga kura kuchagua Mwenyekiti wa Kijiji

    Zoezi la kupiga kura kuchagua Viongozi wa Serikali za Mitaa limefunguliwa rasmi leo Novemba 27, 2024 kuanzia saa 2:00 asubuhi ambapo Mbunge wa Jimbo la Makete, Njombe Mhe. Festo Sanga ni mmoja kati ya wananchi waliotimiza haki yao kikatiba kwa kupiga kura ya kumchagua Mwenyekiti wa Kijijini cha...
  13. Waufukweni

    LGE2024 Tamko la Uongozi wa Makete kuhusu Kampeni na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Vyama vya siasa wilayani makete mkoani Njombe vinavyoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa vimetakiwa kufanya kampeni za kistaarabu kwa kunadi sera zao kwa wananchi badala ya kutoa matusi au kufanya fujo Rai hiyo imetolewa Novemba 19, 2024 na Msimamizi wa Uchaguzi ambaye ni Mkurugenzi wa...
  14. Waufukweni

    LGE2024 Mgombea wa CCM aliyedai Mwanamke kwenye Kampeni licha ya kuwa ni Mwanaume afafanua kauli yake

    Mwanaume aliyenukuliwa katika kipande kifupi cha video kwa kauli yake tata kuhusu jinsia yake baada ya kudai kuwa yeye ni mwanamke, licha ya kuwa ni mwanaume kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi huko Makate, ametoa ufafanuzi. Eston Chaula amedai kuwa hakuwa na lengo baya na kauli yake bali...
  15. Stephano Mgendanyi

    DED Makete Awahakikishia Wakulima wa Ngano Soko la Uhakika

    DED MAKETE AWAHAKIKISHIA WAKULIMA WA NGANO SOKO LA UHAKIKA Halmashauri ya Wilaya ya Makete Julai 23, 2024, imesafirisha Tani 32, za Ngano, ikiwa ni awamu ya Pili ya Ununuzi wa Ngano baada ya hapo awali kusafirisha kiasi cha Tani 30, ambazo zote zimenunuliwa na Kampuni ya Bakhresa iliyopo...
  16. BabaMorgan

    Current weather in Makete tubanane tu hapa mjini

    Wakati unalala ukiwa umewasha feni ama ac hii ndio hali halisi ya Makete.
  17. B

    Nishati Lutheran (DKK) Investment ya Ijangala, Makete Yaingiza Umeme KW360 Ktk Gridi ya Taifa

    MRADI WA UMEME WAKAMILIKA Wakazi 4,500 kunufaika na umeme wa gridi Makete, Njombe Tanzania. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Nishati Lutheran (DKK) wakati wakiwasha mitambo ya umeme wa mradi huu uliokamilika. Mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Ijangala, kijiji cha...
  18. BARD AI

    Mkurugenzi Mtendaji wa Makete ashtakiwa kwa ubadhirifu wa Tsh. Milioni 17.4 za Uchaguzi Mkuu 2015

    Watuhumiwa katika kesi hiyo ni William M. Makufwe ambaye kwasasa ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete kwa kushirikiana na Chrostopher M. Nyaki aliyekuwa Mweka Hazina wa Halmashauri ya Rungwe, Mbeya. Katika hati ya Mashtaka, watuhumiwa hao pamoja Mkurugenzi Mtendaji wa...
  19. benzemah

    Mbunge wa Makete Amshukuru Rais Samia Kwa Fedha za Kuboresha Elimu na Taa za Barabarani Makete Mjini

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mbunge wa Makete Festo Sanga ameandika ujumbu wa kumshukuru Rais Samia kwa kujibu kwa vitendo ombi la Wana-Makete la kuboresha zaidi miundombinu ya Elimu pamoja na barabara za mji wa Makete la kuwekewa taa zinazoongeza usalama na kuwezesha kuendelea kwa shughuli...
  20. M

    Festo Sanga wewe ni mbunge mzuri sana usijiingize kwenye mambo ya Makamba yatakuchafua

    Mbunge wa Makete, Festo Sanga achana na mambo ya kushabikia mambo yasiyoeleweka ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba yatakuharibia sifa uliyoanza kuijenga kwa wananchi wako. Jana wakati mjadala unaendelea kuhusu gharama za kuunganisha umeme, ulipost kwenye akaunti yako ya Instagram ukiituhumu...
Back
Top Bottom