Wakisali ni makelele makubwa sana, mpaka unashangaa, hivi haiwezekani wakiomba waombe kwa Sauti za kawaida tu na sio kupayukapayuka?
Wakianza kuabudu sasa, muziki utawekwa full blast, buzuki kubwa sana halafu ndani ya kanisa unakuta wako watu wanne tu wa familia Moja, hapo watapiga makelele...