makazi ya watu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Tabia ya kujenga Bandari Kavu kwenye makazi ya Watu inaongezeka Buza na Mwanagati, mamlaka zimeruhusu?

    Maeneo ya Buza pamoja na mji mpya wa Mwanagati kumekuwa na wimbi kubwa sana la kupachika hizi ICD (bandari kavu) katika makazi ya watu jambo linaloleta kero kubwa sana ya malori maeneo ya makazi na kuleta foleni kubwa sana. Tunaomba mamlaka ituangalie Wananchi na kuangalia namna ya kuzisogeza...
  2. A

    Mbeya vijijini acheni kupanda mahindi kwenye makazi ya watu

    Paukwa ? Mkurugenzi wa halmashauri ya mbeya vijijini hasa mji mdogo wa mbalizi kwa nini mnaruhusu watu kulima mahindi katikati ya makazi ya watu? Usalama wa wananchi umekuwa mdogo hasa kwa watoto mahindi yamechukua eneo kubwa yamekua kificho cha wezi mabalozi wa mtaa wapo, wenyeviti wapo...
  3. B

    Chui aliyejeruhi watu wanne Mwanza auwawa kwa risasi. Hili ni tukio la kutengeneza?

    Chui aliyevamia makazi ya watu katika mtaa wa Usalama, Kata ya Mahina Jijini Mwanza na kujeruhi watu wanne, akiwemo mtoto wa miaka kumi, mwananchi mmoja na askari wawili wa Mamlaka ya Uhifadhi wa Wanyama Pori, amedhibitiwa na kuuawa kwa kupigwa risasi kufuatia operesheni iliyoendeshwa na askari...
  4. Sales man

    Utaratibu wa kuanzisha kiwanda upoje, je ni sahihi mtu kuweka kiwanda katikati ya makazi ya watu ambacho kinazalisha environmental pollution?

    Leo , nipo kawe katika Siasa . Ila nimefika mtaa fulani nimekuta kuna kiwanda kipo na kina zaidi ya mwaka mmoja kinaleta environmental pollution. Je ni sahihi naomba watu wa mazingira tuwasiliane haraka.
  5. L

    Makelele ya muziki katika makazi ya watu bomu linalosubiri kulipuka

    Huu ujumbe uifikie taasisi yenye dhamana ya kuhifadhi mazingira. Sio siri kwa Mtanzania wa kawaida anakerwa na baadhi ya RAIA hasa maeneo ya vijijini kufungulia hoofer za kichina sauti za juu hadi kero. Maendeleo yana gharama zake nyingine ni hasi. Serikali imesambaza umeme vijijini ili watu...
  6. A

    KERO Bukombe: Dampo eneo la makazi ya watu mtaa Ntengere, Kata ya Igulwa Ushirombo ni hatarishi, mamlaka ziingilie kati

    Nina malalamiko kuhusu Kuanzishwa kwa Dampo (Jalala) Katika Nyumba ya Serikali, Eneo la Ntengere – Igulwa, Bukombe, katika kuliweka hili sawa kuna ushahidi wa picha zinazolionyesha eneo hili kwa hatua zaidi ambazo zitachukuliwa. Katika picha hii ni hali halisi ya dampo, dampo hili limevuka...
  7. Nipe Maji

    PreGE2025 Serikali yaahidi kufikisha huduma ya maji kwenye makazi ya watu, Msomera

    Serikali imejipanga kuhakikisha huduma ya maji inaimarishwa kwa wananchi walioamua kuhamia eneo la Msomera, Handeni. Naibu Katibu Mkuu Bi. Agness Meena akiongea kwa Niaba ya Waziri wa Maji kuhusu huduma ya maji amesema kazi kubwa inafanyika kuhakikisha miundombinu ya maji inafika katika maeneo...
  8. Dennis Robert Shughuru

    Nikiwa Rais wa Tanzania miji mikubwa na midogo itapigwa paving

    Mji wa Florence Italy ndo mji wa kwanza kupiga mji mzima paving mwaka 1339, leo hii ukitembelea nchi zilizoendelea ni nadra sana kukuta miji yao inavumbi, kama wao wameweza na sisi Tanzania tunaweza Miji kama seoul, Beijing, Tokyo ni mikubwa sana, inawatu wengi dar cha mtoto ila ukiambiwa...
  9. Ndagullachrles

    Nani anaruhusu ujenzi wa vituo vya mafuta kwenye makazi ya watu?

    Wakazi wa kata ya soweto Manispaa ya moshi wanaoishi kwenye maghorofa sita ya Shirika la Nyumba la Taifa (HNC)kiwanja namba 89 Kitalu L barabara ya Arusha,wamepaza sauti wakipinga ujenzi unaoendelea kwenye makazi yao. Wnahofia usalama wa maisha yao na mali zao endapo utatokea mlipuko wa moto...
  10. J

    Rais Samia: Vijana wanastahili makazi bora kwa gharama nafuu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuonesha dhamira yake ya dhati ya kuboresha maisha ya vijana kwa kutaka kuongezwa kwa uwekezaji katika ujenzi wa nyumba za bei nafuu. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995...
  11. L

    Vituo vya mafuta vinajengwa kiholela sana, hasa kwenye makazi ya watu

    Ukipita njia ya Vingunguti, Tabata, Tandale na maeneo mengine kumekuepo na ongezeko kubwa sanaa la vituo vya mafuta. Je, tathimini imefanyika vya kutosha kabla ya kutoa vibali? Je, tunasubiri maafa yatokee ndio tuunde tume?
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    Tukimaliza mjadala wa magorofa tuhamie kwenye vituo vya mafuta vinavyojengwa kwa wingi karibu na makazi ya watu

    Tukimaliza issue ya Maghorofa Kariakoo tugeukie na Petrol Stations zinazojengwa kama njugu mitaani Uzi tayari…
  13. Mkalukungone Mwamba

    KERO Tabora: Wakazi wa kidongo Chekundu wahofia watoto kufa maji na nyumba kubomboka baada mtaro wa maji unaopita pembezoni makazi yao kuongezeka kina

    Wakazi wa kata ya Kidongo Chekundu Manispaa ya Tabora wanaoishi karibu na shule ya msingi ya Mpepo wamekubwa na hofu kubwa kwa watoto wao kufa maji pamoja na kubomoka kwa nyumba zao baada mtaro wa maji unaopita pembezoni mwa shule hiyo na makazi yao kuongezeka kina na upana hali inayo...
  14. G

    West Bank - Palestina,: Maabara ya mabomu yakutwa ndani ya msikiti uliojengwa kwenye makazi ya raia.

    Jeshi la Israel limeingia Ukingo wa Magharibi (West Bank) kuanza operesheni kubwa kwenye miji inayoshikiliwa na Kundi la Palestine Islamic Jihad. operesheni hiyo imeweza kubaini msikiti wenye maabara ya mabomu ndani yake. imekuwa ni kawaida kwa vikundi hivi kuwatumia raia kama ngao kwa...
  15. G

    Hamas / hezbollah wanapenda kutumia raia kama ngao, kwa maksudi wanatunza na kurusha silaha kwenye makazi ya watu, Gaidi ni gaidi hata awe ndugu !!

    Siku chache zilizopita Israel imelipua ghala kuu la silaha wanazotumia Hezbollah kushambulia miji ya Israel, Ghala limejengwa kati kati ya mji wenye makazi ya watu wengine, Israel iliposhambulio kuna makombora yalianza kufyatuka bila mpangilio, Watu kadhaa wamefariki lakini hii imefichwa sababu...
  16. mdukuzi

    Wakazi wa kata ya Zuzu Dodoma kuandamaba wabadilishiwe jina la kata yao

    Duniani kuna mamboz,wakazi wa kata ya Zuzu iliyopo Manispaa ya Dodoma wanakusudia kuandamana kumshinimiza waziri wa TAMISEMI abadiil jina la kata yao. Hii si mara ya kwanza kuomba kubadilishiwa jina,waliwahi kufanya hivyo wakagonga mwamba,waziri TAMISEMI kipindi hicho aliwaambia Rais hajaridhia...
  17. BigTall

    KERO Utupaji wa takataka kwenye makazi ya Watu umekithiri kwa kisingizio cha kuziba makorongo hasa maeneo ya Mivumoni na Marobo (Tegeta) pamoja na Kinzudi

    Maeneo ya Kinzudi Utupaji wa takataka kwenye makazi ya Watu umekithiri kwa kisingizio cha kuziba makorongo ambacho ni kinyume na uhifadhi wa mazingira. Walianza kwenye viwanja vilivyo mabondeni, makazi ya watu na sasa wanamwaga kwenye mito iliyochimbika baada ya mvua kukatika. Adha, hii...
  18. Antivirus

    KERO Mwekezaji achimba mchanga karibu na makazi ya watu na kuharibu miundombinu ya barabara - Kitopeni Bagamoyo Pwani

    Katika kata ya Kiromo, Kijiji cha Kitopeni wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani eneo maarufu kama ranchi ya NAFCO eneo ambalo linenunuliwa na Mwekezaji ili kuchimba madini ya MCHANGA. Eneo hili lipo karibu kabisa na MAKAZI ya watu hivyo ni hatarishi wakati wa mvua na kupelekea mafuriko hapo baadae...
  19. Shark

    Kwako Waziri Silaa, vituo vilivyopo kwemye makazi ya watu siyo Mikocheni tu

    Za maandalizi ya Sikukuu wakuu? Tufurahi na Sikukuu lakini tukumbuke Kuna January pia. Ningependa kumpa Ujumbe Bwana Jerry Silaa, Waziri wa Ardhi kua vituo vingi vinaendelea kujengwa maeneo ya Makazi na labda anaweza kuviwahi na hivyo. Kuna kituo kingine cha hawa hawa Barrel kiko Kijitonyama...
  20. beth

    Kuongezeka kwa Ujenzi wa Vituo vya Mafuta kwenye makazi ya watu Serikali inasubiri ya Morogoro yatokee ndio ichukue hatua?

    Vituo vya Mafuta vinajengwa kila sehemu hadi kwenye makazi ya watu. Kwanini Serikali inatoa vibali kwa sehemu hatarishi? Kuna vituo vingi sana vya mafuta vinajengwa katika maeneo hatarishi kwa jamii na Serikali sijui inaridhia ujenzi huu kwa namna gani? Sijui kwanini haifikirii? Nakumbuka...
Back
Top Bottom