mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,222
- 49,824
Duniani kuna mamboz,wakazi wa kata ya Zuzu iliyopo Manispaa ya Dodoma wanakusudia kuandamana kumshinimiza waziri wa TAMISEMI abadiil jina la kata yao.
Hii si mara ya kwanza kuomba kubadilishiwa jina,waliwahi kufanya hivyo wakagonga mwamba,waziri TAMISEMI kipindi hicho aliwaambia Rais hajaridhia ombi lao.
Diwani wa kata ya Zuzu amekuwa akitaniwa na Madiwani wenzake kumuita Zuzu.
Wasichokijua huko Zanzibar kuna majina yenye ukakasi kuliko hilo na hakuna anayelalamika.