Taarifa ya ghafla iliyosambazwa na Chama hicho inaeleza kwamba Mkutano huo utafanyika saa 7 kamili mchana wa leo , kwenye makao makuu ya Chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , Kinondoni , Mtaa wa Ufipa .
Waandishi mtakaohudhuria mnaombwa kufuata muongozo wa WHO wa kuzuia maambukizi ya...
Kuelekea Siku ya Mtoto wa Afrika, Serikali inatarajia kuzindua Makao ya Taifa ya Malezi na Makuzi ya Watoto yaliyojengwa katika Kata ya Kikombo, jijini Dodoma.
Akizungumza leo na Waandishi wa Habari jijini Dodoma, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto, Dkt Dorothy Gwajima...
Good evening jamiiforums.
Ndugu zangu, leo nilienda kumtembelea dada yangu mmoja (mtoto wa mama mkubwa) ameolewa eneo la Pugu huku Dar. Sasa wakati tupo tunakula mezani ule muda wa mchana, mtoto wake wa kiume (Uncle wangu) yupo kidato cha pili akaniuliza hivi;
Kwanini mkoa wa Geita...
MKOA MPYA NA MAKAO MAKUU MAPYA NYAKANAZI:
Anaandika Msakila M Kabende - Economist
KWA WAHESHIMIWA:-
(i). Aloyce Kamamba - Mbunge wa Jimbo la Buyungu
(ii). Ezra John Chiwelesa - Mbunge wa Jimbo la Biharamulo
(iii). Ndaisaba G. Luhoro - Mbunge wa Jimbo la Ngara
(iv). Fidel Chiza Nderego -...
Habari ya asubuhi ndugu wanajamvi, natumaini bila shaka mu wazima wa afya na mmeianza vema siku ya leo. Kwa ambao ni wagonjwa nawaombea kwa Mwenyezi Mungu Muumba wa awajalie nafuu ya haraka ili muweze kurejea katika majukumu yenu ya kila siku.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel...