Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mtwara, ili kuelekea mkoani Lindi, leo tarehe 18 Machi 2026.
Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Ufunguzi wa...
TAARIFA KWA VYOMBO HABARI
MAKAMU WA RAIS AZINDUA MPANGO WA USHIRIKIANO KATI YA TAASISI ZA ELIMU NA VIWANDA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametoa wito kwa sekta binafsi kushirikiana na Vyuo, kuwekeza katika tafiti hususan za sayansi na...
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (kushoto), akizungumza na Makamu wa Rais wa kampuni ya Dynamis Investment Partners, Bw. Bo Löfgren, mara baada ya kikao na wafanyabiashara na wawekezaji wa Sweden kwenye ofisi za ubalozi jijini Stockholm, mnamo tarehe 6 Februari, 2026 (Picha...
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI HAFLA YA KUSIMIKWA KWA UONGOZI MPYA WA BARAZA LA MAKANISA YA PENTEKOSTE TANZANIA
▪️ASISITIZA VIONGOZI WA DINI KUMUOMBEA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA TAIFA KWA UJUMLA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema...
MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS SAMIA KATIKA MAZISHI YA MAREHEMU MUNDE TAMBWE, MKOANI TABORA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mazishi ya Mjumbe wa...
MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA NCHINI
SERIKALI IMEENDELEA KUCHUKUA HATUA ZA MAKUSUDI ZA KUIMARISHA UHURU WA MAHAKAMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema kwa kutambua umuhimu...
Ile OFISI inayokarabatiwa ya MAKAMU wa Rais ni kuchezea fedha za UMMA,
MAKAMU wa Rais Tanzania ni OFISI ya kutulizia mijitu nguri michokonoko dhidi ya WENZAo ndio maana kupewa KAZI zinazo usu mazingira TU Sasa mtu WA mazingira OFISI kama Ile ya Nini?
Nchimbi kwa Nini hakupanda miti juzi?
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa wale washakunaku,wambeya ,wazushi ,mapashikuna Bebeni sasa Aibu hii bila kujificha. Mnapenda sana uongo na uzushi hasa Ma CHADEMA. Wanapenda sana kuzusha uongo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi leo tarehe 29 Januari...
Tangu kuingia kwa vyama vingi vya siasa na kufanyika uchaguzi mwaka 1995, hatujawahi kuwa na makamu wa rais anayeeleweka.
Mkapa ndio alianza na alituletea kitu cha ajabu kabisa. Dr Omary Ally Juma. Jamaa alikuwa kituko aisee. Amekaakaa kwenye hiyo nafasi kama boya
Baada ya kifo cha dr Omary...
Ndugu Wajumbe, kuna maswali mengi huku mtaani kuhusu ukimya uliotanda juu ya wapi alipo Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi?
Hivi majuzi kulikuwa na Kikao kikubwa cha Kamati Kuu kilichoketi Zanzibar kupitisha jina la mgombea ubunge Jimbo la Peramiho ambapo Jina la Mtoto wa Jenista lilikatwa...
Ofisi ya Makamu wa Rais imetangaza kwa masikitiko kifo cha aliyekuwa dereva wake, Bw. Joel Charles Kitundu.
Bw. Kitundu alifariki dunia tarehe 15 Januari 2026 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma, akiwa akipatiwa matibabu.
Uongozi na watumishi wote wa Ofisi ya Makamu wa Rais...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Mikami Yoichi, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, leo tarehe 14 Januari 2025.
Mazungumzo hayo yamelenga kuimarisha...
Kuna chaka ambalo linataka kutumika katika maridhiano la kumuahidi Umakamu wa Rais au Uwaziri Mkuu Tundu Lissu kama sehemu ya kumpoza na kurudisha imani ya Jumuiya ya Kimataifa ambayo kwa kika siku inayokwenda wanazidi kukaza kamba.
Hili chaka ka kuzawadia watu Umakamu wa Rais au Uwaziri Mkuu...
Swali tu wananchi wanaomba sana uwajibikaji katika kila sekta, je inaweza tokea makamu wa rais akajiuzulu?
Uwajibikaji si dalili ya udhaifu, bali ni hatua ya kwanza ya upendo baada ya kushindwa. Na hili Mara zote viongozi wa Afrika uwa wanashindwa,
Kwa ka skendo fulan nimepata ! Je yawezekana...
Ni mwajibikaji mstahimilivu sana, msikivu asie na papara na mwenye uwezo mkubwa mno wa kujidhibiti kikamilifu hususani kisiasa licha ya kua na ushawishi na uwezo mkubwa zaidi kisiasa.
Daima anahakikisha kwamba hafanyi lolote lile lililo nje ya wajibu wake wa kikatiba kama principal assistant of...
balozi
dkt. emmanuel nchimbi
emmanuel nchimbi
jamhuri
jamhuri ya muungano
makamumakamuwarais
mpya
muungano
muungano wa tanzania
mwaka
mwaka mpya
nchimbi
raisraiswa jamhuri
tanzania
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi Wanachama wa Mkataba wa Amani, Usalama na Ushirikiano kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na eneo la...
dkt. emmanuel nchimbi
dkt. nchimbi
emmanuel nchimbi
gani
jamhuri ya muungano
jumuiya
kabila
makamuwarais
maziwa makuu
museveni
nchi
nchimbi
raiswa jamhuri
wewe
yoweri
yoweri museveni
Ndugu zangu Watanzania,
Makamu wa Rais Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi,Anatarajiwa Kumuwakilisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika Mkutano wa Dharura wa SADC.
Embu soma hapo👉Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.